Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
Wavaa kobaz simnasemaga nyie ni miamba ya vita mkachokoza na kuua kikatili watu wasio na hatia na bado mkasheherekea uhaini mlioufanya kwa binadamu wenzebu. Sasa mnaanza kulia lia nini Mungu mnaye mtaja huko majibu yake haya hapa someni polepole alafu mlinganishe na kile kinacho wakuta huko..


Zaburi 109
1 Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze,

2 Kwa maana wamenifumbulia kinywa; Kinywa cha mtu asiye haki, cha hila, Wamesema nami kwa ulimi wa uongo.

3 Naam, kwa maneno ya chuki wamenizunguka, Wamepigana nami bure.

4 Badala ya upendo wangu wao hunishitaki, Ijapokuwa naliwaombea.

5 Wamenichukuza mabaya badala ya mema, Na chuki badala ya upendo wangu.

6 Uweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki asimame mkono wake wa kuume.

7 Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki, Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.

8 Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.

9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane.

10 Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.

11 Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.

12 Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.

13 Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.

14 Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za Bwana, Na dhambi ya mamaye isifutwe.

15 Ziwe mbele za Bwana daima, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.

16 Kwa kuwa hakukumbuka kutenda fadhili, Bali alimfukuza mnyonge na mhitaji, Hata akamfisha mtu aliyevunjika moyo,

17 Naye alipenda kulaani, nako kukampata. Hakupendezwa na kubariki, kukawa mbali naye,

18 Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake. Ikamwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwake.

19 Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima.

20 Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa Bwana, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.

21 Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.

22 Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji, Na moyo wangu umejeruhi ndani yangu.

23 Ninapita kama kivuli kianzacho kutoweka, Ninapeperushwa kama nzige.

24 Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta.

25 Nami nalikuwa laumu kwao, Wanionapo hutikisa vichwa vyao.

26 Ee Bwana, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe sawasawa na fadhili zako.

27 Nao wakajue ya kuwa ndio mkono wako; Wewe, Bwana, umeyafanya hayo.

28 Wao walaani, bali Wewe utabariki, Wameondoka wao wakaaibishwa, Bali mtumishi wako atafurahi.

29 Washitaki wangu watavikwa fedheha, Watajivika aibu yao kama joho.

30 Nitamshukuru Bwana kwa kinywa changu, Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.

31 Maana atasimama mkono wa kuume wa mhitaji Amwokoe na wanaoihukumu nafsi yake.
 
Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
Netanyahu hawezi kuangamizwa na Mungu maana kazi anayofanya ni ya Mungu. Netanyahu ameshughulikia magaidi yaliyojuwa yamejipanga kuiangamiza Israel taifa la Mungu. Maandiko yapo wazi na Biblia ni Neno la Mungu. Netanyahu anatimiza Maandiko maana Imeandikwa siku za mwisho Mungubatawarejesha tena Israel katika ardhi yao na hakuna mtu atakayeweza kuwaondoa tena. Masihi Yesu Kristo atarudi na kuangamiza mataifa yatajayojuwa yameizingira Israel ili kuiangamiza. Hayo mataifa ndiyo yataangamizwa na Mungu.
 
Netanyahu hawezi kuangamizwa na Mungu maana kazi anayofanya ni ya Mungu. Netanyahu ameshughulikia magaidi yaliyojuwa yamejipanga kuiangamiza Israel taifa la Mungu. Maandiko yapo wazi na Biblia ni Neno la Mungu. Netanyahu anatimiza Maandiko maana Imeandikwa siku za mwisho Mungubatawarejesha tena Israel katika ardhi yao na hakuna mtu atakayeweza kuwaondoa tena. Masihi Yesu Kristo atarudi na kuangamiza mataifa yatajayojuwa yameizingira Israel ili kuiangamiza. Hayo mataifa ndiyo yataangamizwa na Mungu.
Hakuna Mungu mbaguzi mwenye taifa la Mungu na taifa lisilo la Mungu,mataifa yote ni ya Mungu
 
Najua hiyo ni propaganda,lanini utafute ukweli ipo siku itaujua,pia sio kila mtinanayewayetea wapalestina ni muislamu,hiyo pia djana potofu,wapalestina wanaonewa,wamedhulumiwa ardhi yao,wamefungwa kwa marlefu huko kwenye magereza ya israeli,wanauawa hovyo kama kuku,wanalawitiwa,na kufanyiwa kila uovu.Yapo maazimio kadhaa ya umoja wa mataifa wakiitaka israeli kuwarudishia wapalestina ardhi yao lakini hawataki,lakini ipo siku haki ya wapalestina itarejea kwao
Kwa hiyo pale wayahudi siyo kwao siyo?
 
Huku bongo Huwa mnatutisha sijui mna kurujuani, albadiri nk mbona waarabu ambao ndio wagunduzi wa teklonojia za kutengeneza majini duniani wasimsomee hayo maandishi ya albadiri? Mbona bado anadunda?
Myahudi hajui mambo ya majini wala albadiri. Kazi yake ni kutoa dozi nzito kwa magaidi ya kidini hapo Gaza mpaka yamalizike
 
Simple Mungu ndie anayeangamiza kila mtu
Kwa hiyo yale mabom yenye rangi ya chocolate yaliyomzika gaidi Nasra na vibaraka wenzake wa Iran yalidondoka kutoka kwa allah ama?!
Ustaazi acha kutupiga Kamba 😆😆
 
Kwa hiyo yale mabom yenye rangi ya chocolate yaliyomzika gaidi Nasra na vibaraka wenzake wa Iran yalidondoka kutoka kwa allah ama?!
Ustaazi acha kutupiga Kamba 😆😆
Hakuna kinachokufa bila ruksa kila nafsi imewekewa uangalizi, na taarifa zote zimekabidhiwa Kwa malaika wahusika, Kama siku,saa,dk mahali na namna ya kuondoka
 
Back
Top Bottom