Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Tulia tu Sheikh wangu. Jamaa tuliwachokoza tulipoteka na kuua watu wao. Mayahudi si kama Wakristo. Hawa wanaamini katika kisasi. Wamelipiza. Wamepitiliza katika kulipiza...Najua hiyo ni propaganda,lanini utafite ukweli ipo siku itaujua,pia sio kila mtinanayewayetea wapalestina ni muislamu,hiyo pia djana potofu,wapalestina wanaonewa,wamedhulumiwa ardhi yao,wamefungwa kwa marlefu huko kwenye magereza ya israeli,wanauawa hovyo kama kuku,wanalawitiwa,na kufanyiwa kila uovu.Yapo maazimio kadhaa ya umoja wa mataifa wakiitaka israeli kuwarudishia wapalestina ardhi yao lakini hawataki,lakini ipo siku haki ya wapalestina itarejea kwao
Hili swali halijajibiwa mbona😁Nani aliyewaangamiza Haniya na Nasrallah? Mungu au shetani?
Hata watoto, wazee, madokta na manesi wa ki Israel waliouwawa October 7 hawakuwa na hatiaHakuna mtu anatetea kuuawa kwa binaafamu bika hatia yoyote ile,hao watoto wa kipalestina wanaouawa,wazee wanauawa,madokta,manesi na waandishi wa habari wa palestina wao wana hatia ipi?
Uliwakemea wenzako wakati wakishangilia? Ulitegemea nini baada ya tukio lile la kichokozi? Wakichekee tu sio?wakati nashangilia uliniona? au uliona nimeandika kitu hapa kushangilia?Tuache kukurupuka tu sio haki kuua raia wasio na hatia iwe ni waisraeli au wapalestina
Wenzangu maana yake nini?Uliwakemea wenzako wakati wakishangilia? Ulitegemea nini baada ya tukio lile la kichokozi? Wakichekee tu sio?
ni kweli lakini unajua ni nani aliwauwa hao waisraeli?Hata watoto, wazee, madokta na manesi wa ki Israel waliouwawa October 7 hawakuwa na hatia
Wapalestina ndio wapumbavu,waliambiwa waunfe taifa moja na israeli wakagoma,wakaambiwa basi yawepo mataifa mawili napo wakagoma eti wanataka wayafutilie mbali mayahudi yote,wakaungana na waarabu wenzao kobazi ili waifute israeli,walipigwa kipigo kitakatifu wakapoteana hadi leo taifa kama misri halitaki kabisa kujihusisha na vita dhidi ya israel.Hoja sio kunyooshana,hoja ni kila myu apewe haki yake,wapestina wanaonewa waziwazi
Manake kama hauko upande wa mayahudi then automatically upo upande wa kobazi palestina hamas magaidi.Wenzangu maana yake nini?
Haya maoni yako,hayana ithibati wala ukweli wa kihistoria,bali yamejengwa juu ya ushabiki,upofu wa kishabiki na ubarakala,lakini siku moja ukweli utadhihiriWapalestina ndio wapumbavu,waliambiwa waunfe taifa moja na israeli wakagoma,wakaambiwa basi yawepo mataifa mawili napo wakagoma eti wanataka wayafutilie mbali mayahudi yote,wakaungana na waarabu wenzao kobazi ili waifute israeli,walipigwa kipigo kitakatifu wakapoteana hadi leo taifa kama misri halitaki kabisa kujihusisha na vita dhidi ya israel.
Kiufupi mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote,ndio kilicho wakuta palestina.
Mungu ibariki Israel,Long live USA
kwanza soma hoja zako unavyoziandika,unatumia lugha za kiwendawazimu kutokana na upofu wa kihistoria unaokusumbua na mapokeo ya hadithi za kubumba,haki za binadamu hazina utaifa,binadamu ni wajibu wetu kuwatetea watu wanaoteswa na kukandamizwaManake kama hauko upande wa mayahudi then automatically upo upande wa kobazi palestina hamas magaidi.
Israel anatoa fundisho kwa washezi wote ulimwenguni,msipo jifunza kwa hili jiandaeni na kiama chenu.
Nakushauri jikite zaidi kulipambania taifa na familia yako dhidi ya umasikini,maradhi na ujinga.
Vita ya israel na palestina wataimaliza wao wewe utabaki kupoteza muda tu humu kulalamika na kulia kama mbwa jike anayepelekewa mashine.
Umekula lakini ustaadhi?Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
acha ujinga mie sio muislamu na niko mbali mno na uislamu hapa naongea ukweli na huyo natanyahu siongelei dini yake namuongelea yeye mwenyewe,kwa upofu unaokusumbua,unashindwa kujadili hoja unakimbilia hoja zinazojengewa juu ya ukichaa wa kidini,pole sanaUmekula lakini ustaadhi?
We ungekuwa hukurupuki na hukushangilia mauaji ya waisrael usingeandika netanyahu ataangamizwa ungeandika mungu atawaangamiza wale wote waliohusika na mauaji ya watu wasio na hatia na uchokozi kwa wenzaowakati nashangilia uliniona? au uliona nimeandika kitu hapa kushangilia?Tuache kukurupuka tu sio haki kuua raia wasio na hatia iwe ni waisraeli au wapalestina
natanyahu narudia,tena bila hofu wala wasiwasi,ataangamizwa na Mungu na hapa siwataji waisraeli ambao hawana hatia ni natanyahuWe ungekuwa hukurupuki na hukushangilia mauaji ya waisrael usingeandika netanyahu ataangamizwa ungeandika mungu atawaangamiza wale wote waliohusika na mauaji ya watu wasio na hatia na uchokozi kwa wenzao
kwanza mimi sio muislamu lakini nimekaa na waislamu wa kweli,hakuna muislamu ambae anaijua dininyake huwa anaongea kuhusu kurujuani wala hiyo alal badr kwani masna yake sio hiyo inayoongelewaHuku bongo Huwa mnatutisha sijui mna kurujuani, albadiri nk mbona waarabu ambao ndio wagunduzi wa teklonojia za kutengeneza majini duniani wasimsomee hayo maandishi ya albadiri? Mbona bado anadunda?
Unaongelea humanity eeeeh.Vipi wakurd wanaouwawa na Edorgan kila kukicha mbona huwi vocal kwao?Why wapalestina tuu.acha ujinga mie sio muislamu na niko mbali mno na uislamu hapa naongea ukweli na huyo natanyahu siongelei dini yake namuongelea yeye mwenyewe,kwa upofu unaokusumbua,unashindwa kujadili hoja unakimbilia hoja zinazojengewa juu ya ukichaa wa kidini,pole sana
Unakadiria uwezo wa Mungu?Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
"natanyahu" ndiyo nani huyo?Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
Tuelezee sasa, sisi tunajua ni magaidi ya Hamas.ni kweli lakini unajua ni nani aliwauwa hao waisraeli?