TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
Utakuja kunielewa tu usijaliMungu ameumbwa na wanadamu ? hivi kichwani zimo kweli?
Utakuja kunielewa tu usijaliMungu ameumbwa na wanadamu ? hivi kichwani zimo kweli?
Twende tukakojolee vitabu watutangazie kunyongwa tupate umaarifu.How'sit?Sawa, ntashukuru
Ngoja uone wafia dini wakishafika hasa wavaa kobaziDamu itatokea wapi kwenye miandiko?
Umeuliza swali la kwanza linasema kumtetea mungu ni shobo ?Unajua kukujibu wewe lazma nijue una mlengo Gani kuhusu imaan dhidi ya uwepo wa MUNGU. Kama unaamin au huamini mbona unaogopa kutoa jibu tuendelee na mada
Safi, tukiuawa tunaenda peponi kula bikra 🔥Twende tukakojolee vitabu watutangazie kunyongwa tupate umaarifu.How'sit?
Marvelous!We eat them still unripe?Deal done!🫸🫷😝😝😝😝Safi, tukiuawa tunaenda peponi kula bikra 🔥
jiniasi unaweza kusoma na kuelewa kweli mkuu?Mungu ameumbwa na wanadamu ? hivi kichwani zimo kweli?
Hatuwezi kusema Mungu anapata shida au hapati kwakuwa hatujui alivyo na Wala hatuna uhakika kama Kuna vitu vinamchallenge kwenye cycle yakeUmeuliza swali la kwanza linasema kumtetea mungu ni shobo ?
Jibu: sio shobo ni jambo la busara na la hekima.
Unaniuliza swali la pili je wewe unaamini uwepo wa mungu.
Jibu lako ni hili: Ndio ninaamini mungu yupo na nimtakatifu muweza wa yote asiye shindwa na jambo lolote.
Vipi mpaka hapo umelizika ? usianze kusema sijui vitu gani.
Sasa turudi kwenye swali langu,
je mungu anaweza kupata shida?
kuna utofauti mkubwa kati ya kusoma maandishi na kuelewa maandishi kwako nime soma maandishi ila vitu unavyo viongea havieleweki sijui umevitoa vijiweni.jiniasi unaweza kusoma na kuelewa kweli mkuu?
Mungu ulimjulia wapi ? vipi sehemu uliyo mjulia na kumuamini kuwa yupo inasemaje kuhusu yeye ?Hatuwezi kusema Mungu anapata shida au hapati kwakuwa hatujui alivyo na Wala hatuna uhakika kama Kuna vitu vinamchallenge kwenye cycle yake
Then tunajipoza kwenye mifereji ya pombe na kitimoto 😎Marvelous!We eat them still unripe?Deal done!🫸🫷😝😝😝😝
Hilarious and hooray to us!Tunakuwa tunajidekeza mtoni huku hatuna kivazi chochote kwenye miili yetu.Then tunajipoza kwenye mifereji ya pombe na kitimoto 😎
Ukiangalia Dunia na vilivyomo ndani yake lazma ujue kama Kuna muweza wa yote siyo lazma mpaka uambiwe kwenye vitabu vya diniMungu ulimjulia wapi ? vipi sehemu uliyo mjulia na kumuamini kuwa yupo inasemaje kuhusu yeye ?
naam bila shaka mkuu, lakini shida kwa nadharia hiyohiyo kuna vitu pasua kichwaUkiangalia Dunia na vilivyomo ndani yake lazma ujue kama Kuna muweza wa yote siyo lazma mpaka uambiwe kwenye vitabu vya dini
Niambiy mkuu nini ni pasua kichwanaam bila shaka mkuu, lakini shida kwa nadharia hiyohiyo kuna vitu pasua kichwa
Sasa jibu swali langu direct maana naona tunazunguka sana so negative.Ukiangalia Dunia na vilivyomo ndani yake lazma ujue kama Kuna muweza wa yote siyo lazma mpaka uambiwe kwenye vitabu vya dini
utajibu kiimani mkuu 😁Niambiy mkuu nini ni pasua kichwa
Mitamuongeleaje wakati sijawahi kumuona me naamini yupo ila sijui anachopitia mkuuSasa jibu swali langu direct maana naona tunazunguka sana so negative.
Je mungu anaweza kupata shida? ndio au hapana ?
Kivipi mkuu leta swali hiloutajibu kiimani mkuu 😁