Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Kivipi mkuu leta swali hilo
kwa kutumia nadharia hii
Ukiangalia Dunia na vilivyomo ndani yake lazma ujue kama Kuna muweza wa yote siyo lazma mpaka uambiwe kwenye vitabu vya dini
ambayo nimekuunga mkono pia.
kama umeshindwa kuona kuna vitu vingine havipo okay -- hata niweke mifano mia hatutoelewana mkuu