Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

Swali la kipumbavu mno ...kwani ni lazima ufanye yote unayo weza ?wewe mbona ipo hai mbona ukujiua na uwezo huo unao ? Je wewe mbona ukutembea uchi mitaani na uwezo huo wa kutembea uchi unap ..je mbona wewe leo ukutupa fedha mtaani na usezo huo unao ...kuweza na kutaka ni vitu viwili tofauti.
Kitendo cha wewe unaemjua Mungu kuanza kutukana hovyo inaonesha ulivyo. Inaonesha uluvyojaa matusi kuliko huyo Mungu wako. Ungekuwa umemjaa Mungu Ungeandika sana kuhusu Mungu kuliko kutokea na Jaziba. Hii ni dalili kuwa hujui lolote kuhusu huyo Mungu wako wa mchongo. Tapeli.

Mungu muweza wa Yote. Mungu ajuae kesho yangu kabla sijazaliwa. Kwanini nikizaliwa na nilianza kumtukana makosa yanakuwa ni yangu. Yani Mungu anaumba mtu kuwa tapeli halafu anamukumu Kwa utapeli.
 
Ukusoma Mungu anawaita wapumbavu wale wasemao hakuna Mungu ? Tatizo lako ujui tusi ni nini ...makaya kuitwa makaya s8yo tusi na m9umbavu kuitwa mpumbavu siyo tusi kwa sababu ni mpumbavu ...mke wa nabari alumwita mumewe ni moumbavu na uoumbavu anao hivyo daudi amsamehe ..daudi akamwambia mke wa nabari kwa yake maneno kuwa ni mungu ndiye aliye mtuma huyo mkekumzuia daudi ...sasa kama ni tusi kwanini daudi anamtukuza mungu kwenye maneno ya mke wa nabari ? Ninao uwezo wa kukupa mifano zaidi ya,1000 ndani ya biblia
 
Kitendo cha wewe unaemjua Mungu kuanza kutukana hovyo inaonesha ulivyo. Inaonesha uluvyojaa matusi kuliko huyo Mungu wako. Ungekuwa umemjaa Mungu Ungeandika sana kuhusu Mungu kuliko kutokea na Jaziba. Hii ni dalili kuwa hujui lolote kuhusu huyo Mungu wako wa mchongo. Tapeli.

Mungu muweza wa Yote. Mungu ajuae kesho yangu kabla sijazaliwa. Kwanini nikizaliwa na nilianza kumtukana makosa yanakuwa ni yangu. Yani Mungu anaumba mtu kuwa tapeli halafu anamukumu Kwa utapeli.
Mbona hata swali la pili ni lakipumbavu ...Mungu kampa mwabadamu jambo jema na mungu atatenda hukumu ya HAKI hakuna atakaye hukumiwa kwa uonevu ...mungu alipo muumba mwanadamu alimuumba ila sharti huyo mwanadamu aishi kwa haki na kumtii yeye kwa kuwa ndiye mkuu na utii wenyewe ni kuishi kwa haki ....Tena huyo mungu kaifanya tunzo kwa hao watakao vuka maisha haya kwa kusimama na haki ndiyo watapewa maisha bora na manyoofu tena wataitwa watoto wake ....wewe ulitaka mungu aruhusu mtu kumdhurumu mwenzie , ulitaka mungu aruhusu rushwa yenye kuumiza wengine au ukitaka mungu asilipe kwa kuhukumu kwa haki damu za walio dhurumiwa na wenye kiburi na jeuri ya uovu je huyo mungu ulitaka asimame upande wa waovu au ukitaka asimame vipi ? Tuambie wewe ulimtaka mungu aweje ? Awe ni mungu asiye jali haki ? au ?MUNGU AKUMUUMBA MWANADAMU ISIPOKUWA AMEMUUMBA AISHI KWA HAKI NA HAKI YA KWANZA NI KUMTII YEYE ALIYE TUUMBA NA HAKI YA PILI NI KUISHI KWA HAKI BAINA YETU SISI KWA SISI...HIVYO KABLA UJAMLAUMU MUNGU JIULIZE UNAPENDA KUTENDA HAKI AU MAOVU ? TATIZO SIYO MUNGU TATIZO NI WEWE MWENYEWE ...KUPENDA MAOVU NA KUCHUKIA MEMA NA HAKI.
 
Back
Top Bottom