4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu uliona kwenye ndoto nyevu au wapi.Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo sijafafanuliwa .
Makongoro Nyerere kama hupo jf njoo in box upo mwongozo wako Mungu kanipa siwezi weka adharani utaki acha.
Thanks
Kiswahili kinakupa shida, anywayAmani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo sijafafanuliwa .
Makongoro Nyerere kama hupo jf njoo in box upo mwongozo wako Mungu kanipa siwezi weka adharani utaki acha.
Thanks
Mkuu tueshimianeMkuu uliona kwenye ndoto nyevu au wapi.
Pumbavu hatupo jf kwa ajili ya mwandikoKiswahili kinakupa shida, anyway
Ila huyu jamaa keshazeeka, labda kuwa kama babu wa kikombe kule loliondo.
Mungu wa Mwamposa huyuAmani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo sijafafanuliwa .
Makongoro Nyerere kama hupo jf njoo in box upo mwongozo wako Mungu kanipa siwezi weka adharani utaki acha.
Thanks
Akshay kumarMungu yupi mkuu?
Mtu hawezi hata kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu halafu anadai kamwonyesha, Africa ina wimbi la ujinga sugu.Akshay kumar
Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo sijafafanuliwa .
Makongoro Nyerere kama hupo jf njoo in box upo mwongozo wako Mungu kanipa siwezi weka adharani utaki acha.
Thanks
Itakua Jehova WanyonyiMungu yupi mkuu?