4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
-
- #41
Hivi wafikiri Mwamposa ndo huakilishi pekee ulio hai mbele za Bwana , popote pale sali ila juwa Mungu anaowateule wake bila kujali ni Mwamposa n.k ,hujui Dunia na Mbingu weweMungu wa Mwamposa huyu
Kama mungu wako ni yule aliyezaliwa na mwanamke endelea tu kuotaAmani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo sijafafanuliwa .
Makongoro Nyerere kama hupo jf njoo in box upo mwongozo wako Mungu kanipa siwezi weka adharani utaki acha.
Thanks
Mungu ananiambia ataenda kuwa Mtu mkubwa ,kivipi sijui ,sasa wajinga wanafikiri Urais tu , binafsi sina jibu mpaka mda huu.Makongoro ni kiongozi, ni mcheshi na mtu wa watu...ana haiba ya uongozi.
Thanks ,ila nikuombe usinijalibu ,hujui DuniaKama mungu wako ni yule aliyezaliwa na mwanamke endelea tu kuota
gentleman,Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo sijafafanuliwa .
Makongoro Nyerere kama hupo jf njoo in box upo mwongozo wako Mungu kanipa siwezi weka adharani utaki acha.
Thanks
Comedian tulionao hapa nchini wanatoshaUmri sio shida ,akili mbovu ndo shida, pumbavu
Nilijua lazima ufike , ilewa usishindane na mwana wa Mungu anaepata mkate wa kila siku ,bila uchawa , nakueshim sana , humjui Mungu wangu kaa mbali na mimi, nikisema ni mamlaka kamili ya Kimungu na lazima utii sio ombigentleman,
ushirikiana kwenye karne hii ya sayansi na technolojia huambatana na mawenge ya kuwango cha juu sana.
kwamba unatengeneza mazingira ya kumtapeli mtu ambae jua linakaribia kuzama kwa heshima, then unataka kumloga mtu achanganyikiwe na kupoteza uelekeo kama yule Mzee a.k.a jaji ambae sasa ni msemaji wa Chadema anaehangaika na kujifanya ni Gen z π
Sasa mbona unatukana tukana watu?Umri sio shida ,akili mbovu ndo shida, pumbavu
Mkuu ndio mmeaambiwa hivyo juma pili ya leo?2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Askofu Josephat Gwajima kupitia tiketi ya CHADEMA .
Tunza hii comment!
Alaah...... Aote na Mimi nijue utajiri naufikia liniOya Monetary doctor njoo kashuhudie vituko uswahiliniππππ
ulipo nipo gentleman,Nilijua lazima ufike , ilewa usishindane na Mwangu anaepata mkate wa kila siku ,bila uchawa , nakueshim sana , humjui Mungu wangu kaa mbali na mimi, nikisema ni mamlaka kamili ya Kimungu na lazima utii sio ombi
Huyu jamaa ni hatari.Alaah...... Aote na Mimi nijue utajiri naufikia lini
Cc: secretarybird
Hahahaha kazi ipo kuelekea 2025 mambo ni mengi mkuu π πHuyu jamaa ni hatari.
Ni Jambo la kisubiri na kuona mkuu.Hahahaha kazi ipo kuelekea 2025 mambo ni mengi mkuu π π
Subili Mungu akunyooshe ,alafu njoo na hoja kuomba michango pitia andiko hili,Kama ukichaa ndo uko hivi sijui Nani atasalimika.
Hujui duniaKama mungu wako ni yule aliyezaliwa na mwanamke endelea tu kuota
Hahaha humu jukwaa la utanashati halipo nikaone mambo huko π π Mimi na siasa siwezi kabisaNi Jambo la kisubiri na kuona mkuu.
Dunia imejiumba yenyew mkuu, everything fell into place just by coincidence, chemical zilireact zikatengeneza DNA mara misuli mara mfupa mara ngozi mara jicho, jicho lenye lens ya ku-focus wakati unaangalia na pupil ya ku-control kiwango cha mwanga kinachoingia machoni, hayo yote yametokea tu just by coincidence bro, bahati iliyoje? Na bahati iliyoje jua lipo katika distance ambayo ni nzuri kabisa ku-support life on eath, halipo mbali sana tusiteseke na baridi wala halipo karibu sana tukateketea na joto, ni bahati tu lipo katika distance ambayo it can support life? Hata hivo ni bahati pia kwamba chakula chetu kinatokana na mwanga wa bahati wa jua, maana bila mwanga wa jua mmea haiwez kufanya photosynthesis na bila photosynthesis itakufa na sisi wanyama tungekufa kwasababu wote tunategemea mimea ambayo nayo yenyew imejiotea kibahati, siku tu ikaanza kujiotea na kwa bahati ikagundua kwamba inahitaji mwanga wa jua ili ijitengenezee chakula chake, yaan bahati juu ya bahati juu ya bahati, broo bahati tu.Mtu hawezi hata kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu halafu anadai kamwonyesha, Africa ina wimbi la ujinga sugu.