Mungu kanionesha ndugu Makongoro Nyerere kuwa mtu mkubwa siku za usoni

Hayo ni maoni na mtazamo wako kaka
 
Msingi huo huo unaoutumia kujiuliza je dunia imejiumba yenyewe ni msingi mzuri sana kuutumia kujiuliza je Mungu amejiumba mwenyewe pia🤔
 
Ikitokea ikawa basi jueni Mimi Kama rafiki yenu soon nitakuwa mteuliwa mwandamizi .
Believe yule ni rafiki ,shemeji na mwisho mlevi mwenzangu .

Hii ndoto wacha niendelee kuiombea iwe
Bwana min -me Mungu ametukumbuka Kaka kupitia ndugu yetu
 
Msingi huo huo unaoutumia kujiuliza je dunia imejiumba yenyewe ni msingi mzuri sana kuutumia kujiuliza je Mungu amejiumba mwenyewe pia🤔
Ukianza kujiuliza mungu kaumbwa na nani alaf ukapata jibu, huoni kwamba hilo jibu litazaa swali lingine kwamba je huyo aliyemuumba mungu naye kaumbwa na nani, na huyo je aliyeumba kilichoumba kilichomuumba mungu nayeye kaumbwa na nani?

Tunaposema Mungu tunamaanisha a "singularity", a point of "Occurrence" tunamaanisha kwamba he is at top of the chain, the "Creator", a creator can not be created, if you're looking for the creator of the creator, you won't find anything.

Hivi mfano min -me nikakualika mezani nikaeka mbele yako biriani, kuku rosti na mbuzi choma laini, alaf ukaniuliza kapika nani msosi nikakwambia hamna mpishi, vimejipika vyenyew, mchele kwa bahati nzuri ukadondoka kweny sufuria ambayo kwa bahati vilevile chumvi na mafuta vinadondokea kweny sufuria hiohio baada ya kupushiwa na upepo, kuku naye kwa bahati alidondokea panga aka katika shingo wakati huohuo akapigwa take na mbwa akadondoka kweny sufuria iliyojaa mafuta kwa bahati mbaya na viungo vilivyoandaliwa kwa miujiza vikapeperushwa hadi kweny sufuria aliyepo kuku vikapipika, utaniangalia mwisho wa siku utaniambia sina akili, haiwezekani, sasa ukiangalia mwili wako na physiology zinazoendelea pamoja na mfumo wa uzazi then ukasema haya yote yametokea kwa bahati mbaya, huoni kwamba unajidanganya?
 
Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Iwe pia nawe
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
ndie yeye na tunafahamiana Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo sijafafanuliwa .
Kwa vile mtu mkubwa sana ni mmoja tuu, then kama ulichoambiwa ni lile jambo letu la 2025,hata kama HII
issue ni kweli, huyu hatufai,ni cha pombe sana na yale mambo yetu yale!。
Makongoro Nyerere kama hupo jf njoo in box upo mwongozo wako Mungu kanipa siwezi weka adharani utaki acha.

Thanks
Pole sana, sio member humu。
P
 
Achaga ujinga ww makongoro mwenyewe anamika karibia 70
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…