Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

1 Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. 2 Nayo nchi haikuwa na umbo na ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji. Roho wa Mungu alikuwa akielea juu ya uso wa maji.
Sasa kama Dunia ilikiwa tupu hayo maji ambayo juu yake roho wa bwana ilikiwa inalea yalitoka wapi? Au maji pia ni utupu?

Jibu langu nalitaka.
 
Na viongozi wa Tanzania
 
Sio doughts ni Doubt. Halafi maji ni simply Hydrogen na Oxygen molecules, H20, kama ilivyo kwa compounds zingine na molecules zingine alizoumba Sir God.
Ukungu mzito yaan gesi isiyoonekana H2O, hahaha majibu mengine km hujasoma huwezi kuyajibu kiwepesi
 
Ukungu mzito yaan gesi isiyoonekana H2O, hahaha majibu mengine km hujasoma huwezi kuyajibu kiwepesi
Yes ukungu wa Hydrogen na Oxygen ambazo ndizo basics za Uhai wa viumbe vyote. Hauwezi kusema Mungu hajaumba Jua wakati Jua ni simply a ball of burning Hydrogen ambayo Sir God ndiye kaitengeneza hiyo Hydrogen 😀
 
Mleta mada kashaishiwa pozi hapa hana lingine la kuongea majibu yote amepatiwa mujarabu kabisa labda aje na maelezo yake ya kutoka huko mafichoni ila kila kitu amekwisha ambiwa nini na nini kilikua nini kikatokea nini
 
Kwenye Qur'an ipo imeelezwa Allah ameumba maji( amekuumbieni maji ) Aya nyingi zinaelezo Hilo.
 
Sasa kama Dunia ilikiwa tupu hayo maji ambayo juu yake roho wa bwana ilikiwa inalea yalitoka wapi? Au maji pia ni utupu?

Jibu langu nalitaka.
Kuna aina tatu za maji kwa mujibu wa kemia na maji yanayozingatiwa hapa ni katika gas na ndio element ya kwanza kuumbwa according to Islam. Oksijeni ni uhai na kila kitu kiliumbwa kwa maji.
 
Mleta mada kashaishiwa pozi hapa hana lingine la kuongea majibu yote amepatiwa mujarabu kabisa labda aje na maelezo yake ya kutoka huko mafichoni ila kila kitu amekwisha ambiwa nini na nini kilikua nini kikatokea nini
Maji Ni maji . Leteni Andiko Mungu kaumba maji kwenye Biblia ndo anachotaka muulizaji
 
Hapa anaongelewa mwana wa Mungu
 
Hii maada imenifanya nirudi kwanza nisome kitabu cha mwanzo

Nimerudi kusoma nimegundua MUNGU MWENYEZI ndo aliyaumba maji siku ya kwanza kabisa

Nimejifunza nini bas? Nimejifunza kwamba Dunia ni maji yaan Dunia aliyoiumba MUNGU MWENYEZI ilikuwa ni maji tupu

Kupitia maji ndo MUNGU MWENYEZI akapata nchi kavu, udongo kwa ajili ya kumuumbia mwandam, udongo kwa ajili ya kuoteshea mimea

Yaan mpaka siku ya pili MWENYEZI MUNGU alikuwa anahangaika na maji tu

Ilipofika siku ya tatu baada ya kumalizana na maji na kuweka mfumo sawa sawa kwa ajili ya viumbe vyake ndo MWENYEZI MUNGU akashusha pumzi kubwa sana akasema ni VYEMA

Hakika MUNGU ni MWAMINIFU sana

Nakupenda ee MWENYEZI MUNGU nguvu yangu
 
Kw wataka kusema kuwa maji yalikuwepo kabla ya mungu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…