Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

Sijakuelewa kuhusu hekima(Sophia) ni Nani na anakuwaje hekima?

Sophia maana yake hekima
Ambaye anasemekana alikuwepo katika kumpa mungu mawazo katika uumbaji yaani mungu alitumia hekima kuiumba dunia lakini siamini katika hili kwani uthibitisho haupo
 
Sophia maana yake hekima
Ambaye anasemekana alikuwepo katika kumpa mungu mawazo katika uumbaji yaani mungu alitumia hekima kuiumba dunia lakini siamini katika hili kwani uthibitisho haupo
Yaani wakati Mungu anaumba alikua pamoja na huyo Sophia? Tupeleke mjini
 
Sophia maana yake hekima
Ambaye anasemekana alikuwepo katika kumpa mungu mawazo katika uumbaji yaani mungu alitumia hekima kuiumba dunia lakini siamini katika hili kwani uthibitisho haupo
Usitutoe kwenye reli Sophia
 
Yohana 1:1-3

[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.

[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
The same was in the beginning with God.

[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
 
Habar za jion wakuu
I hope mko good.

Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na uwepo wa mungu. Kwa sasa nimepata majibu lakin ndipo nikaja kugundua pia kwamba huyu Mungu niliekuwa na mashaka naye hakuyaumba maji

Kwanini ninasema hivyo?

Kwasababu katika kusoma Biblia sjaona mahali palipo andikwa kuwa mungu aliyaumba maji(kama kuna mtu anaushahidi aulete). Hivyo kwa akili yangu nafikiri kuwa maji ni kitu ambacho ni cha kale katika dunia kwa kiasi cha kuwa yana kumbukumbu ya kila kitu kilicho tokea duniani tangu kale.

Pia nina imani maji yana nguvu za uponyaji alafu pia maji ni muhitajika muhimu sana wa viumbe vyote vilivyo hai ulimwenguni hivyo maji yana nafasi kubwa katika maisha ya hapa duniani.

Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.

Asanteni nafungua mjadala.
Mkuu usijiwekee mipaka katika kufikiri na kufikia tamati.
Kila kitu kilichopo, inamaana hata wakati (muda) umeumbwa, sembuse maji yaliyopo kwenye ulimwengu ulioumbwa?

Atmosphere unayoiona wewe kama tupu, siyo tupu, imeumbwa na kujazwa hewa.

Kifupi ni hivyo, hakuna kitu kilichojitokeza chenyewe from no where.

Sema nini, SirGod hana pressure wala nini katika kuumba.

Yaweza kuwa ilichukua matrillion ya miaka kutoka maji kuja kupatikana kiumbe hai na kisha binadamu ambaye ndiye kiumbe cha mwisho kuumbwa.
 
Back
Top Bottom