Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Hio sio hadith sahih qur'an inasema chemchem ya tope jeusi na sio chemchem ya maji ya moto.

Wambie warekebishe ndo uje tujadili.
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
 
[emoji23][emoji23][emoji1787] Nikukanyaga ukiniona kuwa makini husidanganye

Kazi bado ipo
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
Hiyo hadithi sio sahihi mwenyewe anaweka wazi kuku wewe
Ona tofauti ya hadithi mbili hapo zilizowekwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aliyesema hayo sio Mungu bali ni allah
 
Hayo ni maneno yako na si hadithi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ushaumbuka aya unaelewa hata iyo chain ndio nini

Hakuna hadithi utaokota tusiijue mbwa wewe
Wewe tukana ila umeumbuka Eti dhaifu
Husirudie tena kudanganya , Hadith zote zina chain ya masimulizi na hiyo imepita na kuwa ni sahih

Yani ni kweli Muhammad alisema Jua linazama kwenye chemchem ya maji joto
 
Hivi kwanin masister wanavaa vitambaa kichwan meanwhile wakristo wa kike hawavai.
Kaka tangu dunia ilipo umbwa mpaka leo hakuna mkiristo hata mmoja anaweza kuthubutu kujibu maswali tutakayo wauliza

Mbwa hao!!!

Mijadala mingi naona waislamu tu ndio hujibu hoja kwa hoja.

Humu nimeona mmeuliza maswali zaidi ya matano lakini kwa sababu hawana elimu hawaja jibu hata moja.

Mimi ndio maana husema ukristo ni dini ya mapunguani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unauliza swali nje ya mada unategemea ujibiwe

Apa tupo na science ya Allah Jua kuzama maji ya matope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ