Nimekupa kazi ndogo tu unarusha mateUpumbavu wako uta kuponza una bishana na mtu wa quran na hadithi hapa
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupa kazi ndogo tu unarusha mateUpumbavu wako uta kuponza una bishana na mtu wa quran na hadithi hapa
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutuHio sio hadith sahih qur'an inasema chemchem ya tope jeusi na sio chemchem ya maji ya moto.
Wambie warekebishe ndo uje tujadili.
Kazi kampe bibi yako mimi ninachojua ni dhaifuNimekupa kazi ndogo tu unarusha mate
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
😂😂🤣 Nikukanyaga ukiniona kuwa makini husidanganyeKazi kampe bibi yako mimi ninachojua ni dhaifu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo hadithi sio sahihi mwenyewe anaweka wazi kuku wewe[emoji23][emoji23][emoji1787] Nikukanyaga ukiniona kuwa makini husidanganye
Kazi bado ipo
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
Aliyesema hayo sio Mungu bali ni allahQuran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka.
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Nimeuliza hivyo kwasababu Sayansi ya Dunia inatuambia kwamba Jua liko mahapa pamoja ila Dunia ndio hulizunguka hivyo halina kuzama wala kuibuka.
Je, mwenyezi Mungu SWT alikua na maana gani kusema hivyo?
Ahsante.
Tumemaliza , usirudie tena kudanganyaHiyo hadithi sio sahihi mwenyewe anaweka wazi kuku wewe
Ona tofauti ya hadithi mbili hapo zilizowekwa View attachment 2490301View attachment 2490302
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ushaumbuka aya unaelewa hata iyo chain ndio niniTumemaliza , usirudie tena kudanganya
Hayo ni maneno yako na si hadithiKusujudu Jua linasujudu limesimama ? Tumia akili
Linaenda kwenye kiti Cha Allah kusujudu na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji , embu connect dots
Ingine hii Muhammad kapigilia msumari
![]()
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Wewe tukana ila umeumbuka Eti dhaifuUshaumbuka aya unaelewa hata iyo chain ndio nini
Hakuna hadithi utaokota tusiijue mbwa wewe
Jua tusipo liona usiku linakuwa limeenda wapi kwa mujibu wa Muhammad?
Jitoe tena akili nianze kukupopoa tena kuku wewe kwanza hadithi zako za kuokota usituletee hapaJua tusipo liona usiku linakuwa limeenda wapi kwa mujibu wa Muhammad?
Chain ndio sahihi na sio hadithi usipotoshe watuWewe tukana ila umeumbuka Eti dhaifu
Husirudie tena kudanganya , Hadith zote zina chain ya masimulizi na hiyo imepita na kuwa ni sahih
Yani ni kweli Muhammad alisema Jua linazama kwenye chemchem ya maji joto
Hivi kwanin masister wanavaa vitambaa kichwan meanwhile wakristo wa kike hawavai.Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
Kaka tangu dunia ilipo umbwa mpaka leo hakuna mkiristo hata mmoja anaweza kuthubutu kujibu maswali tutakayo waulizaHivi kwanin masister wanavaa vitambaa kichwan meanwhile wakristo wa kike hawavai.
Wewe tukana ila tumeshamaliza, usirudie tena kudanganyaUshaumbuka aya unaelewa hata iyo chain ndio nini
Hakuna hadithi utaokota tusiijue mbwa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha ukichaaChain ndio sahihi na sio hadithi usipotoshe watu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unauliza swali nje ya mada unategemea ujibiweKaka tangu dunia ilipo umbwa mpaka leo hakuna mkiristo hata mmoja anaweza kuthubutu kujibu maswali tutakayo wauliza
Mbwa hao!!!
Mijadala mingi naona waislamu tu ndio hujibu hoja kwa hoja.
Humu nimeona mmeuliza maswali zaidi ya matano lakini kwa sababu hawana elimu hawaja jibu hata moja.
Mimi ndio maana husema ukristo ni dini ya mapunguani.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Maandiko Yako yanaokotezwa 😂😂😂🤣Yani wanaokoteza okoteza huko alafu wanajiona ndio washa soma
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukichaa wameufanya hao walio kutofautishia hadithi sahihi na musnad sahihiAcha ukichaa