professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Haya umeonyesha upopomaUnasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo
Ikiwa sahih in chain inamaana chain imefika kwa muhammad naona sasa wewe unasema chain imefika kwa muhammad ila Muhammad kaongea uongo kuwa makiniHaya umeonyesha upopoma
Wewe na hao walio andika, nani anajua, kama ingekuwa chain imetoka kwa Mohamed kwanini wasiieke kwenye kundi la sahihi moja kwa moja?
Unasema wewe usinizushie . Kokote utako nikuta wewe nikute tu niko hapa kuondoa ukoko mlio nao huko kichwani.Unasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo
sahih in chain, this means that it has been authenticated that it originated from the Prophet
Acha kumzulia Muhammad kwamba kasema uongo
Wewe nilikukuta kule unamzulia Allah na sasa unazua kwa muhammad
Acha makasiriko hiyo Hadith ni kweli na Ina supotiana na ile ya bhukar uliyowekaUnasema wewe usinizushie . Kokote utako nikuta wewe nikute tu niko hapa kuondoa ukoko mlio nao huko kichwani.
Ikitoka kwa Mohamed moja kwa moja wanaeka sahihi basi
Hiyo ina mashaka na nilisha kuekea matatizo ya hiyo hadithi. Ila ukajifanya umeruka baadhi ya maneno na kuyajibu mengine pale tu nikaona naongea na asie jitambua
Waambie wao sasa wamekosea hii hadithi ni sahihi yote na sio upande mmoja tu
Wakibadilisha ndio urudi kama umeshindwa kaa pembeni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jua tusipo liona Kwa mujibu wa Allah linakuwa linasujudu kuomba ruhusu kuchomoza tena 😂😂😂😂, na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji 😂😂😂🤣Unasema wewe usinizushie . Kokote utako nikuta wewe nikute tu niko hapa kuondoa ukoko mlio nao huko kichwani.
Haya sasa unalazimisha mada kuhitimisha kwa uongo wako.Acha makasiriko hiyo Hadith ni kweli na Ina supotiana na ile ya bhukar uliyoweka
Allah anakaa kwenye kiti na kiti chake chini Kuna maji ,Jua linaienda kwa Allah kusujudu hii maana yake litakuwa kwenye maji
Tumalize mada mambo ya kuwa waislamu mnaandika uongo mnaweka kwenye vitabu vyenu ayo ni yenu ya ndani , kaeni my edit vitabu vyenu mbakize yaliyo kweli
Huna jipya ona unavyo hangaika. Mara utoe baadhi ya maneno mara uweke yani kamaJua tusipo liona Kwa mujibu wa Allah linakuwa linasujudu kuomba ruhusu kuchomoza tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Swali nakuuliza tenaHadithi ya Bukhary haija taja maji usimsingizie Bukhary. Tafuta hadithi yako sahihi inayo taja maji ila ya Bukhary imekuumbua
Nikupe elim kidogo hadith sahih huzingatia chain and content, kikitiliwa shaka kimoja kati ya chain au content bas hio hadith haiwez kuwa sahih.Unasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo
sahih in chain, this means that it has been authenticated that it originated from the Prophet
Acha kumzulia Muhammad kwamba kasema uongo
Wewe nilikukuta kule unamzulia Allah na sasa unazua kwa muhammad
Sema na hii ni dhaifHuna jipya ona unavyo hangaika. Mara utoe baadhi ya maneno mara uweke yani kama
Haliendani na mada na kama utataka kuulizana maswali nami nikuulize maswali ili twende nje ya mada kabisaSwali nakuuliza tena
Chini ya kiti Cha Allah Kuna maji au hakuna maji?
Yani kama unataka kujinyeaSema na hii ni dhaif
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Elimu tayari ninayoNikupe elim kidogo hadith sahih huzingatia chain and content, kikitiliwa shaka kimoja kati ya chain au content bas hio hadith haiwez kuwa sahih.
Sahih in chains means imetoka kwa mtume mpaka kwa msimuliaji,lakin kuna mashak kweny content means humu kati kati kuna kuongeza au kupunguza kwa content japo chain ni sawa.
Mfano ni:
-Mwalimu anamwamibia mwanafunzi kesho aje na 5000 ya ulinzi.
-Mwanafunzi anamwambia mama ametumwa 10,000 ya ulinzi.
-Mama anamwambia baba mtoto ametumwa 20,000 ya ulinzi.
•Hapa flow of information ni sahih ila content of information ndo changamoto.Ukiona hadith imepewa grade ya sahih faham imethibitishwa chain yake na content yake.
•Kipind cha mtume walikuwepo wanafki wanaogeuza hadith na wamendelea kuwepo kweny upokeaji,upokeaji utakuwa kweli umetoka kwa mtume ila taarifa anayosema mpokeaji sio sahih.
•Qur'an ni moja ya rejea kweny kuthibitisha hadith. Hadith sahih haziwez kwenda kinyume na qur'an unless hadith dhaif kama hio uloleta.
CONTENT COMPARISONS
QUR-AN [18:86]
Dhul-Qanain aliona jua likizama kweny chem chem ya TOPE JEUSI.
HADITH
Inasema chem chem ya MAJI YA MOTO.
Mpaka hapa content imepingan na qur'an hivyo hadith hii sio sahihi [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777].
Jibu swaliHaliendani na mada na kama utataka kuulizana maswali nami nikuulize maswali ili twende nje ya mada kabisa
Yani kama unataka kujinyea
Ila waislamu Yani vitabu vyenu Eti Kuna mpaka uongo mmeweka ,😂😂😂😂Yani kama unataka kujinyea
Jibu swali kwanini wanawake wa kisister huvaa vitambaa kichwaniJibu swali
Chini ya kiti Cha Allah Kuna maji au hakuna maji?
Safi ya kwanza ushakubali udhaifu wakeRelax zipo za kutosha
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Mbona mbishi na sio muelewa au roho mtakatif ndo alivo.Umeambiwa sio sahihi sabub ulipoitoa wameandika sahih in chains na sio content.Elimu tayari ninayo
Mnakimbiaga mada kizembe Sana , mnalotaka ata Hadith iseme dhaif mnakubali , mkiona mnabanwa kama hilo la Jua kuzama hamiyah mnakataa ata iandikwe sahih
Pinga na hii
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Hua situmii Hadith dhaifu mimi wala waislamu hata huo uthibitisho huna acha kuropokaElimu tayari ninayo