Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Unasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo
Haya umeonyesha upopoma

Wewe na hao walio andika, nani anajua, kama ingekuwa chain imetoka kwa Mohamed kwanini wasiieke kwenye kundi la sahihi moja kwa moja?

Yani tatizo mnajisomea somea ndio mnaona mshamaliza

Chain haijatoka kwa Mohamed na kama ime toka kwa Mohamed waambie waeke kua hadithi ni sahihi yote alafu urudi hapa

Kukurupuka tu!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya umeonyesha upopoma

Wewe na hao walio andika, nani anajua, kama ingekuwa chain imetoka kwa Mohamed kwanini wasiieke kwenye kundi la sahihi moja kwa moja?
Ikiwa sahih in chain inamaana chain imefika kwa muhammad naona sasa wewe unasema chain imefika kwa muhammad ila Muhammad kaongea uongo kuwa makini

sahih in chain, this means that it has been authenticated that it originated from the Prophet
 
Unasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo

sahih in chain, this means that it has been authenticated that it originated from the Prophet

Acha kumzulia Muhammad kwamba kasema uongo

Wewe nilikukuta kule unamzulia Allah na sasa unazua kwa muhammad
Unasema wewe usinizushie . Kokote utako nikuta wewe nikute tu niko hapa kuondoa ukoko mlio nao huko kichwani.

Ikitoka kwa Mohamed moja kwa moja wanaeka sahihi basi

Hiyo ina mashaka na nilisha kuekea matatizo ya hiyo hadithi. Ila ukajifanya umeruka baadhi ya maneno na kuyajibu mengine pale tu nikaona naongea na asie jitambua

Waambie wao sasa wamekosea hii hadithi ni sahihi yote na sio upande mmoja tu

Wakibadilisha ndio urudi kama umeshindwa kaa pembeni

Acha makasiriko hiyo Hadith ni kweli na Ina supotiana na ile ya bhukar uliyoweka

Allah anakaa kwenye kiti na kiti chake chini Kuna maji ,Jua linaienda kwa Allah kusujudu hii maana yake litakuwa kwenye maji

Tumalize mada mambo ya kuwa waislamu mnaandika uongo mnaweka kwenye vitabu vyenu ayo ni yenu ya ndani , kaeni my edit vitabu vyenu mbakize yaliyo kweli
 
Jua tusipo liona Kwa mujibu wa Allah linakuwa linasujudu kuomba ruhusu kuchomoza tena 😂😂😂😂, na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji 😂😂😂🤣

  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
 
Acha makasiriko hiyo Hadith ni kweli na Ina supotiana na ile ya bhukar uliyoweka

Allah anakaa kwenye kiti na kiti chake chini Kuna maji ,Jua linaienda kwa Allah kusujudu hii maana yake litakuwa kwenye maji

Tumalize mada mambo ya kuwa waislamu mnaandika uongo mnaweka kwenye vitabu vyenu ayo ni yenu ya ndani , kaeni my edit vitabu vyenu mbakize yaliyo kweli
Haya sasa unalazimisha mada kuhitimisha kwa uongo wako.
hadithi haziendani Kabisa tafuta zinazo fanana usilazimishe wenye hadithi zao wamekwambia hazi fanani wewe nani tukusikilize.

Hadithi ya Bukhary haija taja maji usimsingizie Bukhary. Tafuta hadithi yako sahihi inayo taja maji ila ya Bukhary imekuumbua

Ulicho kisema hapo ni mawazo yako na sio ya wanazuoni hivyo baki nayo.

Siku nyingine usikurupuke.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jua tusipo liona Kwa mujibu wa Allah linakuwa linasujudu kuomba ruhusu kuchomoza tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Huna jipya ona unavyo hangaika. Mara utoe baadhi ya maneno mara uweke yani kama

Unataka kujinyea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo

sahih in chain, this means that it has been authenticated that it originated from the Prophet

Acha kumzulia Muhammad kwamba kasema uongo

Wewe nilikukuta kule unamzulia Allah na sasa unazua kwa muhammad
Nikupe elim kidogo hadith sahih huzingatia chain and content, kikitiliwa shaka kimoja kati ya chain au content bas hio hadith haiwez kuwa sahih.

Sahih in chains means imetoka kwa mtume mpaka kwa msimuliaji,lakin kuna mashak kweny content means humu kati kati kuna kuongeza au kupunguza kwa content japo chain ni sawa.

Mfano ni:
-Mwalimu anamwamibia mwanafunzi kesho aje na 5000 ya ulinzi.
-Mwanafunzi anamwambia mama ametumwa 10,000 ya ulinzi.
-Mama anamwambia baba mtoto ametumwa 20,000 ya ulinzi.

•Hapa flow of information ni sahih ila content of information ndo changamoto.Ukiona hadith imepewa grade ya sahih faham imethibitishwa chain yake na content yake.

•Kipind cha mtume walikuwepo wanafki wanaogeuza hadith na wamendelea kuwepo kweny upokeaji,upokeaji utakuwa kweli umetoka kwa mtume ila taarifa anayosema mpokeaji sio sahih.

•Qur'an ni moja ya rejea kweny kuthibitisha hadith. Hadith sahih haziwez kwenda kinyume na qur'an unless hadith dhaif kama hio uloleta.

CONTENT COMPARISONS

QUR-AN [18:86]
Dhul-Qanain aliona jua likizama kweny chem chem ya TOPE JEUSI.

HADITH
Inasema chem chem ya MAJI YA MOTO.

Mpaka hapa content imepingan na qur'an hivyo hadith hii sio sahihi [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777].
 
Huna jipya ona unavyo hangaika. Mara utoe baadhi ya maneno mara uweke yani kama
Sema na hii ni dhaif
  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
 
Sema na hii ni dhaif
  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Yani kama unataka kujinyea

Elimu tayari ninayo

Mnakimbiaga mada kizembe Sana , mnalotaka ata Hadith iseme dhaif mnakubali , mkiona mnabanwa kama hilo la Jua kuzama hamiyah mnakataa ata iandikwe sahih

Pinga na hii

Relax zipo za kutosha

Safi ya kwanza ushakubali udhaifu wake

Haya sasa hadithi yako inapingana na maswali ya mtoa mada rudi kwenye mada tuendelee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Elimu tayari ninayo

Mnakimbiaga mada kizembe Sana , mnalotaka ata Hadith iseme dhaif mnakubali , mkiona mnabanwa kama hilo la Jua kuzama hamiyah mnakataa ata iandikwe sahih

Pinga na hii
  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Mbona mbishi na sio muelewa au roho mtakatif ndo alivo.Umeambiwa sio sahihi sabub ulipoitoa wameandika sahih in chains na sio content.

Okay tuseme jua linazama kweny hayo maji. Nikuulize swali.

Jua lipo mbali na dunia ,matope yapo kweny uso wa dunia tafsir ni kwamb jua linakuja mpka dunian sehm yeny matope kisha huzama ,tulitegemea liibukie[mawio] yawe hapo lilipozamia au sehem yenye matope lakin haikua hivyo bali kweny aya zinazofata kweny hio sura [18:86-102] inasema dhul-Qanain alitoka ilo eneo na kwenda mbali na hapo akakuta machweo ya jua na sio kweny matope .

Swali Je ni vip jua lizame kweny matope kisha liibukie sehem isyo na matope?
 
Elimu tayari ninayo

Mnakimbiaga mada kizembe Sana , mnalotaka ata Hadith iseme dhaif mnakubali , mkiona mnabanwa kama hilo la Jua kuzama hamiyah mnakataa ata iandikwe sahih

Pinga na hii
  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Hua situmii Hadith dhaifu mimi wala waislamu hata huo uthibitisho huna acha kuropoka

Back
Top Bottom