professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Haya umeonyesha upopomaUnasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo
Wewe na hao walio andika, nani anajua, kama ingekuwa chain imetoka kwa Mohamed kwanini wasiieke kwenye kundi la sahihi moja kwa moja?
Yani tatizo mnajisomea somea ndio mnaona mshamaliza
Chain haijatoka kwa Mohamed na kama ime toka kwa Mohamed waambie waeke kua hadithi ni sahihi yote alafu urudi hapa
Kukurupuka tu!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app