Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Sasa unashangaa jua kusujudu, we bado mchanga sana.
Ngoja nikuongezee vingine vinavyosujudu ili uchanganyikiwe kabisa 😏.

Ukiachana na jua, NYOTA, WANYAMA, MIMEA, MALAIKA vyote vinamsujudia Mungu 👇👇

Quran 16:49-“And to Allah prostrates whatever is in the heavens and whatever is on the earth of creatures, and the angels and they are not arrogant “

Quran 55:6-“And the stars and trees prostrate”
 
Sasa unashangaa jua kusujudu, we bado mchanga sana.
Ngoja nikuongezee vingine vinavyosujudu ili uchanganyikiwe kabisa 😏.
Nani kakwambia kwamba nashangaa? Issue inakuja watoto shulkeni wanafundoshwa tofauti ni ngumu kwa watoto wa kiislamu kutoboa kwenye masomo ya sayansi
 
Nani kakwambia kwamba nashangaa? Issue inakuja watoto shulkeni wanafundoshwa tofauti ni ngumu kwa watoto wa kiislamu kutoboa kwenye masomo ya sayansi
Sasa kama ushangai basi jua ni kawaida maana hata shuleni pia hawafundishwi hivi [emoji116]

Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Likizama kwenye matope,,asubuhi linachomoza likiwa safi,,kuna watu wanaliosha huko????
 
Akili mingi

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo unakubali jua linazama kwenye matope ? Kaa tambua kukiwa usiku Tz au East Africa kuna nchi nyingine ni mchana na jua ndipo unapogundua dunia ndio inayo lizunguka jua

 
Umeeleza vizuri sana....tusaidie pia na origin of life(universe) kiongozi

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ufunuo huo na wala haina mahusiano na sayansi ya Jua
tunazungumzua usiku na mchana na jua kuzama hamiyah hii ni sayansi ya Allah anaelezea , sasa
Mtoto wa kiislamu anafundishwa usiku ukiingia jua limeenda kujitupa kwenye maji linasujudu ausbuhi linarudi linakuwa limeruhususiwa , akienda darasani anakutana na solar system lazima afeli na matokeo mnayaona kabisa wanavyofeli
 
Sasa hoja yako Iko wapi ?
 
Sasa hoja yako Iko wapi ?
Hoja yangu ni kuthibitisha Jua linasujudu , yani ikifika mda wa usiku jua linakuwa limeenda kusujudu na nimefanikiwa kuwakilisha hoja yangu vyema

au una cha kuongeza
 
Mlikuwa wapi mpaka vitabu vyenu vikaingizwa uongo, na mpaka Leo uongo upo ndani ya vitabu vyenu
Swali zuri, uongo unao ona kwenye vitabu vya Hadithi wote unajulikana ndiyo maana utaikuta Hadithi sahihi, dhaifu na zilizo zuliwa. Elimu hurithishwa ndiyo na wapo walio andika mambo ya uongo na kuzua kwa ajili ya uadui na kupotosha. Ndiyo maana Allah akawaleta na kuwachagua waja miongoni mwa waja wake kufanya kazi ya kuhakiki maneno ya Mtume na kuyachambua na kutuandikia katika vitabu ili tujue lipi la kweli na lipi la uongo.

Sasa nyinyi mlikuwa wapi mpaka zikanukuliwa habari za uongo juu ya nabii Luti kwamba alizini na watoto wake ? Nyinyi mlikuwa wapi mpaka mkanukuliwa habari ya kuwa Yesu ni Mungu au Yesu ni mwana wa Mungu au Yesu ni alisulubiwa ? Kwanini hamsemi na hamuyaweki wazi mambo ya uongo na ushirikina yaliyomo kwenye vitabu vyenu ?

Sasa katika Elimu na uhakiki wa habari hakuna dini inayo ifikia Uislamu katika hili, Sasa msije kujilinganisha na Waislamu au mkahisi Wanachuoni wetu walilala kama nyinyi.
 
Ni wapi wakristo wamesema Habari za luti , Yesu ni za uongo taja wakristo waliosema hivyo?

Anae sema habari za waislamu ni za uongo na zipo kwenye vitabu vyenu ni waislamu wenyewe na wala hakuna mkristo amewaambia mseme ni za uongo
 
Hoja yangu ni kuthibitisha Jua linasujudu , yani ikifika mda wa usiku jua linakuwa limeenda kusujudu na nimefanikiwa kuwakilisha hoja yangu vyema

au una cha kuongeza
Ndiyo maana nikakuuliza linapozama unajua lina ENDA wapi ? Hujajibu swali hilo.

Naam, sahihi lina enda kusujudu, na sisi tunaamini hivyo ila hatujaambiwa namna linavyo sujudu na hatujaliona likisujidu.

Sasa unataka uthibitisho wa kuliona au unatakanini hasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…