professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Swali dogo tu kwanini masister huvaa vitambaa kichwaniSwali dogo tu
Chini ya kiti cha allah kuna maji au hakuna maji?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali dogo tu kwanini masister huvaa vitambaa kichwaniSwali dogo tu
Chini ya kiti cha allah kuna maji au hakuna maji?
UlishajibiwaSwali dogo tu kwanini masister huvaa vitambaa kichwani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unajibiwa hauwi makini na majibu
Sasa unashangaa jua kusujudu, we bado mchanga sana.Ata utukane , haisaidii mwisho wa siku Allah kasema jua linaenda kusujudu, Yani Tanzania ikifika usiku jua limesepa kusujudu 🤣 , ndio nakauliza kwa mujibu wa allah jua lipo moja au zaidi ya moja?
Pia jua linaenda kusujudu kwenye kiti cha Allah na chini ya kiti cha Allah kuna maji , hii maana yake jua litakua lipo kwenye maji tunamaliza kibabe
Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Nani kakwambia kwamba nashangaa? Issue inakuja watoto shulkeni wanafundoshwa tofauti ni ngumu kwa watoto wa kiislamu kutoboa kwenye masomo ya sayansiSasa unashangaa jua kusujudu, we bado mchanga sana.
Ngoja nikuongezee vingine vinavyosujudu ili uchanganyikiwe kabisa 😏.
Toa jibu hapa weweUnajibiwa hauwi makini na majibu
Sasa kama ushangai basi jua ni kawaida maana hata shuleni pia hawafundishwi hivi [emoji116]Nani kakwambia kwamba nashangaa? Issue inakuja watoto shulkeni wanafundoshwa tofauti ni ngumu kwa watoto wa kiislamu kutoboa kwenye masomo ya sayansi
Akili mingiHuyo Dhur Qarnain,ndio aliona jua,soma vizuri aya.
Hiki ni kisa,kinasimuliwa,kwa msimuliaji,ndio anaelezea kuhusu huyu aliyeona jua likizama.Hiki kisa kimekuja katika lugha ya kiarabu,kila lugha huja na utamaduni wa wenye hiyo lugha,ukitafsiri kuleta lugha nyingine,inatakiwa anayetafsiriwa kwa hiyo lugha,ajuwe utamaduni wa lugha husika,kwa mfano wazungu,kuna KUOA,hakuna kuolewa ,mwanamke anaoa na mwanamme,anaoa,Mwanamme atamuuliza mwanamke "Will you marry me"(je utanioa?),kwenye kiswahili kuna kuolewa na kuoa,mwanamme haolewi,anaoa.
Jinsi ilivoandikwa naamini ndio ukweli ..hata masuala ya solar system theory ziko nyingi ..juzi tuh elon musk kasema ile safar ya mwezini ilikua uongo .hapo inatupa picha kua mambo mengi wanatudanganya ...jua kuzama kwenye tope inawezekana hasa ukiangalia lile joto lake la mchana Ni tofaut na usiku au asubui .nb sio kila wasemacho hao wazungu Ni kweli mfano story za aliens Ni hao hao nasa ndio wameleta
Umeeleza vizuri sana....tusaidie pia na origin of life(universe) kiongoziView attachment 2488686
Watu huko kwenye science world wametuma chombo kwa jina (Parker Solar Probe) kimenasa kwenye orbit ya jua kinalizinguka kulisoma. Kumbuka jua alipo stationary na lenyewe linatembea kwa hivyo wanaenda nalo chezea mzungu.
Moja ya vitu wanavyotaka kuvielewa ni solar flares zina impact kubwa sana (uharibifu) kwenye miundombinu ya umeme ambayo inaweza kuleta athari kubwa sana ya power cuts.
Sasa watu hilo jua lenyewe wanalizunguka, wanaelewa elements zinazofanya liwe moto, halafu bado tu kuna mtu anasikiliza hadithi kutoka vitabu vya dini kuhusu how the universe work that is beyond me.
Copernicus mtu wa kwanza kubaini dunia ndio inalizunguka jua, not vice versa kama church ilivyokuwa inahubiri; alikuwa priest. George Lemaitre alieleta theory ya ‘Big Bang’ was a priest.
Ifike mahala as human beings common sense has to prevail, and not sticking to religious ideologies wakati the facts are out there.
Ni kweliTatizo ni kutafsiri kutoka lugha ya kiarabu kuja kiswahili.Kisa kinasimuliwa kuhusu huyo aliyeona jua kuzama.Yeye huyo anayesimuliwa kisa chake,ndio yeye aliona jua kuzama.Kila lugha ina uandishi wake,kutegemea na lugha husika.
Ukisoma,tafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine,inatakiwa ujuwe utamaduni wa lugha husika,katika kiswahili,mtu aliyekuzidi umri,huwezi kumwamkia kwa kumwambia habari yako,lakini kwa wazungu na lugha nyingi duniani,hazitofautishi katika kuamkiana,akiwa ni baba yako,mama yako,mkubwa wako,wote ni "How are you".
Kujuwa utamaduni wa lugha iliyotafsiriwa ni muhimu.
Ufunuo huo na wala haina mahusiano na sayansi ya JuaSasa kama ushangai basi jua ni kawaida maana hata shuleni pia hawafundishwi hivi [emoji116]
Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa hoja yako Iko wapi ?Punguza makasiriko na waelimishe kina professional Driver waamini Jua linazama kwenye maji
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Hoja yangu ni kuthibitisha Jua linasujudu , yani ikifika mda wa usiku jua linakuwa limeenda kusujudu na nimefanikiwa kuwakilisha hoja yangu vyemaSasa hoja yako Iko wapi ?
Swali zuri, uongo unao ona kwenye vitabu vya Hadithi wote unajulikana ndiyo maana utaikuta Hadithi sahihi, dhaifu na zilizo zuliwa. Elimu hurithishwa ndiyo na wapo walio andika mambo ya uongo na kuzua kwa ajili ya uadui na kupotosha. Ndiyo maana Allah akawaleta na kuwachagua waja miongoni mwa waja wake kufanya kazi ya kuhakiki maneno ya Mtume na kuyachambua na kutuandikia katika vitabu ili tujue lipi la kweli na lipi la uongo.Mlikuwa wapi mpaka vitabu vyenu vikaingizwa uongo, na mpaka Leo uongo upo ndani ya vitabu vyenu
Ni wapi wakristo wamesema Habari za luti , Yesu ni za uongo taja wakristo waliosema hivyo?Swali zuri, uongo unao ona kwenye vitabu vya Hadithi wote unajulikana ndiyo maana utaikuta Hadithi sahihi, dhaifu na zilizo zuliwa. Elimu hurithishwa ndiyo na wapo walio andika mambo ya uongo na kuzua kwa ajili ya uadui na kupotosha. Ndiyo maana Allah akawaleta na kuwachagua waja miongoni mwa waja wake kufanya kazi ya kuhakiki maneno ya Mtume na kuyachambua na kutuandikia katika vitabu ili tujue lipi la kweli na lipi la uongo.
Sasa nyinyi mlikuwa wapi mpaka zikanukuliwa habari za uongo juu ya nabii Luti kwamba alizini na watoto wake ? Nyinyi mlikuwa wapi mpaka mkanukuliwa habari ya kuwa Yesu ni Mungu au Yesu ni mwana wa Mungu au Yesu ni alisulubiwa ? Kwanini hamsemi na hamuyaweki wazi mambo ya uongo na ushirikina yaliyomo kwenye vitabu vyenu ?
Sasa katika Elimu na uhakiki wa habari hakuna dini inayo ifikia Uislamu katika hili, Sasa msije kujilinganisha na Waislamu au mkahisi Wanachuoni wetu walilala kama nyinyi.
Ndiyo maana nikakuuliza linapozama unajua lina ENDA wapi ? Hujajibu swali hilo.Hoja yangu ni kuthibitisha Jua linasujudu , yani ikifika mda wa usiku jua linakuwa limeenda kusujudu na nimefanikiwa kuwakilisha hoja yangu vyema
au una cha kuongeza
Jua haliendi popoteNdiyo maana nikakuuliza linapozama unajua lina ENDA wapi ? Hujajibu swali hilo.