Likiwa linasujudu bado linamulika au ni mpaka limalize ndio liruhusiwe kumulika kutoa mwanga, Jua ni kiumbe hai ?Tunakuwa gizani pale tu linapo zama. Kwahiyo hesabu ni muda gani. Kingine nani alikwambia mtu akienda kusali au kusujudu Ina maana ya kuwa hafanyi shughuli nyingine tena ? Hii akili ya wapi ?
Usiwe na hasira , hii ni sayansi ya Allah ambayo dunia haijagundua bado , unapopata mda kama huu unaelemisha Allah anasemaje kuhusu solar system yake ?Tunakuwa gizani pale tu linapo zama. Kwahiyo hesabu ni muda gani. Kingine nani alikwambia mtu akienda kusali au kusujudu Ina maana ya kuwa hafanyi shughuli nyingine tena ? Hii akili ya wapi ?
Be specific because origins of life on earth and the origin of the universe are two different things.Umeeleza vizuri sana....tusaidie pia na origin of life(universe) kiongozi
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Naona umeishiwa hoja.Nani kakwambia kwamba nashangaa? Issue inakuja watoto shulkeni wanafundoshwa tofauti ni ngumu kwa watoto wa kiislamu kutoboa kwenye masomo ya sayansi
Nimewakilisha Hoja na mmekosa pa kukimbilia , Jua linaenda kusujudu na kutumbukia kwenye maji chini ya kiti cha Allah , hii ni sayansi ya Allah ambayo inapingana na sayansi ya darasani ya darasa la nneNaona umeishiwa hoja.
Zimebaki porojo tu. Na sina muda wakujibu porojo zako
Jua linazama kwenye maji , tumefunga mada kwa uthibitisho
Huyu ndiyo nani?Dhul- Qarnain
Tulishajibu vihoja vyako. Ulichobakisha ni kung’ang’ania porojo tu kwasababu ww upo kwaajili ya UBISHI na USHINDANI na sio kwaajili ya knowledge.Nimewakilisha Hoja na mmekosa pa kukimbilia , Jua linaenda kusujudu na kutumbukia kwenye maji chini ya kiti cha Allah , hii ni sayansi ya Allah ambayo inapingana na sayansi ya darasani ya darasa la nne
Koran 11:7 ...Na Kiti chake cha Enzi kilikuwa juu ya maji...Tulishajibu vihoja vyako. Ulichobakisha ni kung’ang’ania porojo tu kwasababu ww upo kwaajili ya UBISHI na USHINDANI na sio kwaajili ya knowledge.
Leta aya au hadithi inayosema “ jua hua linaenda kutumbukia kwenye maji” acha kuongeza kitu ambacho hakijatajwa kwenye hadithi.
Allah kusema Jua linasujudu ni kihoja na porojo?Tulishajibu vihoja vyako. Ulichobakisha ni kung’ang’ania porojo
Inaonekana kichwa chako kina virus😀Allah kusema Jua linasujudu ni kihoja na porojo?
Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )Allah kusema Jua linasujudu ni kihoja na porojo?
Nishajibu, rejea post #292.Koran 11:7 ...Na Kiti chake cha Enzi kilikuwa juu ya maji...
Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Koran 11:7 ...Na Kiti chake cha Enzi kilikuwa juu ya maji
Aya twambie hicho kiti kilikuwepo au bado kipo kwa mujibu wa aya yako hapo
Resultat av Googles bildsökning efter https://www.wouldjesusdiscriminate.org/assets/images/billboard-images/wjd-billboard-born-gay.jpgKwani jua uwa hatulioni kwa mda gani , yani tunakuwa gizani kwa mda gani?
Aya kwa mujibu wa aya yako hapo hicho kiti bado kipo huko hukoKoran 11:7 ...Na Kiti chake cha Enzi kilikuwa juu ya maji...
Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Sio Aya hiyo tu mpaka sasa Allah kiti chake kipo juu ya maji , nenda kasomeAya kwa mujibu wa aya yako hapo hicho kiti bado kipo huko huko
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuonyeshe maneno haya toka kwa Mtume. Namaanisha haya uliyo yaandika.Muhammad anasema likiwa linazama yani mda ambao hatuliona usiku linakuwa limeenda kusujudu na kuomba kibali cha kutokea tena , likitokea inamaana limepewa kibali , hii maana yake ni usiku wote linasujudu au ni tofauti
Likiwa linasujudu bado linamulika au ni mpaka limalize ndio liruhusiwe kumulika kutoa mwanga, Jua ni kiumbe hai ?