Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Una Umuhimu sana wa Quran kuwa kuwa Kwa lugha Moja. Tafsiri Huwa zinachanganya watu. Naomba usome hii tafsiri hapa utapata jibu.

Quran: 18. 86

"until he reached the setting ˹point˺ of the sun, which appeared to him to be setting in a spring of murky water, where he found some people. We said, “O Ⱬul-Qarnain! Either punish them or treat them kindly.”
 
Appeared to him,hapo ndio aliona yeye huyo mtu(imemtokea yeye kuona hivyo).
 
DHUL QARNAIN ni nani?! hadi Mwenyezi Mungu aliyeumba mbigu na dunia na vyote vilivyomo amsimulie Muhamad uongo wake?? Au kulikuwa na maana nyingine?! maana ni kituko.
Mkuu usitafute matusi, vijana "WAAMINIFU" hawatokaa wakujibu wanajua huo ni mojawapo ya uongo ndani ya kitabu chao.
 
Jinsi ilivoandikwa naamini ndio ukweli ..hata masuala ya solar system theory ziko nyingi ..juzi tuh elon musk kasema ile safar ya mwezini ilikua uongo .hapo inatupa picha kua mambo mengi wanatudanganya ...jua kuzama kwenye tope inawezekana hasa ukiangalia lile joto lake la mchana Ni tofaut na usiku au asubui .nb sio kila wasemacho hao wazungu Ni kweli mfano story za aliens Ni hao hao nasa ndio wameleta
 
Tena kituko kweli kweli! Eti Mungu anamsimulia Mtume alichoona Dhul Qarnain! Utetezi wa ajabu hasa!
Huyo mtu Kuna baadhi ya wana history wanasema ndio Alexandra the great ...Kwan alikua anashinda kila vita na alikua na kofia yenye pembe mbili (the one with two horns) na muhamad alipewa habar za huyo dhul qarnain baada ya watu kuja na kuanza kumuuliza maswali kuhusu huyo mtu .
 
Vijana "WAAMINIFU" wameshikwa pabaya... haya mie naapita.....
 
Maneno mengine yameandikwa kwa mafumbo na kwa lugha ya enzi zile za karne ya 6.

Ukiwa unataka kujua hasa tafadhali wasiliana na wataalamu wa elimu ya fiqhi (tafsiri ya quran) lakini ukija kuuliza humu ina maana una ajenda yako nyingine.
 
Sure umeongea neno linalo hitaji fikra yakinifu.

Key point here is si lazima kila wanachokuja nacho jamaa ni kukipokea tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni Hao mods kwani nikileta Mada Kama hizi huwa haziweki. Sijui anaogopa kitu gani na hatukanwi mtu hapa
 
Bado, mbinguni kuna mito ya lager...
 
Maneno mengine yameandikwa kwa mafumbo na kwa lugha ya enzi zile za karne ya 6.

Ukiwa unataka kujua hasa tafadhali wasiliana na wataalamu wa elimu ya fiqhi (tafsiri ya quran) lakini ukija kuuliza humu ina maana una ajenda yako nyingine.
Kimeumana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…