Kwaiyo Mungu na Mudy walikua wanalishana matango pori?Aliyeona jua linazama kwenye matope ni huyo dhul Qarnain na si MUNGU.
hapo MUNGU anamsimulia muhammad ambaye hakuwepo wakati tukio linatokezea.
Yalaumiwe macho ya DHUL QARNAIN
Mwisho wa uelewa wangu
Mimi namsoma binadamu yake Muhammad, tena Muhammad alimsifu akasema hakuna mfasiri hodari kama ibn AbbasUmeambiwa kasome tafsiri ya aya kwa ibn kathir
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani tope halina maji 😂😂
Tupe sheikh alie sema mimi ndio mwisho wa watafsiri wa quranMbona ukiyowema ni ya sahih international na ni translation ya juzi
Ngoma hii hapa
18:86 ,Yusuf Ali: Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
Kwani tope halina maji [emoji23][emoji23][/QUOTE ] kwa hiyo unakisia Jitekenye ukimaliza uoneshe tope kwenye hadithi yako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watajua wenyewe! Tutakutana getini siku ya kihamaHii ni baada ya Mchungaji YULE kuwaita "WAAMINIFU"
Proved by science and daily life experienceKwanini umuamini Albert anayoyasema kuhusu ulimwengu?
Kwa uelewa wangu mdogo Dhul-qarnaini ni kama alitumwa na Mungu kuwaeleza wanadamu juu ya mema amabyo Mungu anawawazia binadamu lakini kwa bahati mbaya alikuta watu wenyewe wánaotakiwa kuelezewa hizo habari njema kuhusiana na SWT wameshaharibiwa kimaadili na kwamba hawawezi tena kuelewa yale ambayo Mungu amemwagiza.Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka.
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Nimeuliza hivyo kwa sababu Sayansi ya Dunia inatuambia kwamba Jua liko mahapa pamoja ila Dunia ndio hulizunguka hivyo halina kuzama wala kuibuka.
Je mwenyezi Mungu SWT alikua na maana gani kusema hivyo?
Ahsante.
Kama tunavyojua, hakuna njia ambapo jua linatua
Kuna bwana hapo juu anadai jua ni kweli linazama topeni ndio maana liki rise huwa linakuwa halina makali🤣 sababu tope hulipoozaAliye ona, msimuliaji na msimuliwaji wote ndo walewale
Hao ndio machawa wa mnyazi OG mungu kitukoKuna bwana hapo juu anadai jua ni kweli linazama topeni ndio maana liki rise huwa linakuwa halina makali🤣 sababu tope hulipooza
Ndio maana tunakiendesha kijeshi, Kwa viapo sio tafakari.Tena tunaambiwa kua Allah alimshushi Mtume Mohamed moja kwa moja kwenye kichwa chake.
Tunaambiwa ni kitabu kitakatifu alichokishusha Mungu mwenyewe.
Ghafla tunaambiwa tena kuna maneno ya watu wengine.
Sasa yapi ni ya Mungu na yapi ni ya binadamu? Ya binadamu ni nani alimshushia Mtume?
Ni kweli Ibn Abasi alisifiwa na Mtume kwamba ni mfasiri bora wa qoran, tunaposema Messi ni mchezaji bora hatumaanishi yeye ndio kila kitu uwanjani.Mimi namsoma binadamu yake Muhammad, tena Muhammad alimsifu akasema hakuna mfasiri hodari kama ibn Abbas
18:86 Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs
(Till, when he reached the setting place of the sun) where the sun sets, (he found it setting in a muddy spring) a blackened, muddy and stinking spring; it is also said that this means: a hot spring, (and found a people thereabout) these people were disbelievers: (We said: O Dhu'l-Qarnayn!) We inspired him (Either punish) either kill them until they accept to believe that there is no deity except Allah (or show them kindness) or you pardon them and let them be.
Ndipo muhammad anawaweka sawa sio perception ni halisi Jua linazama kwenye maji , tena ni chemchem inaitwa hamiyahMaana sometimes mtu unaweza kuliona jua linazama milimani, au maporini kulingana na ulipo.
Hiyo ni perception binafsi ya mtu, na wala haimaanishi jua linazama hapo!
Hebu lete source basi ya hiyo hadithi. Usije ukawa umepunguza au umeongeza kituNdipo muhammad anawaweka sawa sio perception ni halisi Jua linazama kwenye maji , tena ni chemchem inaitwa hamiyah
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih