Mungu mwenye Upendo hawezi kuchoma watu kwa moto. Huo ni Ushetani

siwezi kumshauri Mungu.

ushawishi na usumbufu ni wa shetani,ila dhambi ni za kwako.

faida utakayopata ni kuchomwa pamoja nayeye kama ulivyokuwa naye hapa mnapeana michongo.
Kwahyo dhambi haijaanzishwa na shetani.....hio idea ya dhambi aliweka mungu mwenyewe....au ndo utakuja kwenye story za tunda la mtini ...ya nini yote hayo Hadi kuweka Hilo tunda kama kweli alitaka tuishi tu bila huo ufaham ...hakuona kwenye CCTv camera zake kwamba huyu Eva ata muingiza mkenge Adam.... Ujue mungu asitutanie ..Yan ajue kinachofata na bado ahukum
 
Hiyo akili ya kuumba miungu yao wameipata wapi kama sio kwa huyo Mungu mkubwa muumba mbingu na nchi?
Ameshindwa kuumba watu wenye akili anazotaka yeye?
Ina maana hakuwa akijua kwamba binadamu anayemuumba atakuja kumsaliti baadae, haiingii akilini bana.

Unakataza mtu asinywe pombe hiyo pombe binadamu kaijuaje kama sio Mungu mwenyewe ametaka tuijue?
Na huyo kitimoto kama ni haram aliletwa duniani kwaajili gani.

Mitego kila kona.
 
Ilimradi tu akuchome 😂😂 pia mungu fundi sana ..Kuna watu wanajikuta wauni ila mungu n muuni kupitiliza 😂 sio kwa ule utam
 
Tuwe na utulivu katika kuyasoma maandiko na kuyaelewa nje ya imani ili ukweli au uongo ukapate kujidhihirisha...!

Hivi kati ya Mungu na Mwanadamu ni nani umewahi kumkosea kiasi cha Kumuomba msamaha na alipokusamehe ukabaki na amani ya kweli katika maisha yako?

hivi ule mstari wa Tumeumbwa kwa Mfano wa Mungu mnauelewaje wapendwa!?

Nani anakusaidia wakati wa shida kayi ya Mungu na Mwanadamu.

Simpingi Mungu na uwepo wake ila mengi alishayamaliza, Mema na Mabaya yanamuhusu mwanadamu na mwanadamu ndio mwenye uwezo wakujihukumu maana kila tutendacho au kutendeana kina hukumu ya kweli hata kama ni matendo ya sirini bado umepewa uwezo wakujihukumu wewe mwenyewe au kuhukumiwa na wenzako maana wanadamu wote tunam wakilisha Mungu katika utendaji kazi wake kupitia haya maisha yetu yakutegemeana.

Tenda mema unayoelekezwa na wewe wa ndani na watu wema wakuzungukao, huyo ndio Mungu wa Kweli.. na shetani nae ni kinyume chake.. ukitenda mabaya unayoagizwa na wewe wa ndani au watu wabaya wakuzingukao huyo ni Shetan.
 
We unaamini katika ule moto wa milele au hauamini ????? Maelezo Yako umeyaweka namna flani ya kutoamini uwepo wa ule moto wa jehannam..... Tuko pamoja kabisa
 
We unaamini katika ule moto wa milele au hauamini ????? Maelezo Yako umeyaweka namna flani ya kutoamini uwepo wa ule moto wa jehannam..... Tuko pamoja kabisa
Moto au Peponi tunapaishi kayika uhalisia wetu.. siamini kama kuna hizo sehemu phisically zaidi ya kuamini ni fumbo kama fumbo la maandiko
engi ya bible.

ninachoamini mimi maumivu ya moyo au raha ya peponi vyote tunaviiahi katika maiaha ya uhai wetu..

hivi mkuu kama kweli wewe ni mkweli je hauwezi kujua kama ukifa sasa hivi uelekeo wako utakua wapi kati ya hizo sehemu mbili za kufikirika? ref: ni matendo na maneno yako kwa watu wengine au weww binafai sirini.
 
Nipe experience ya kushinda kuzini na mrembo mzuri Aliye pita mbele yangu
 
Mungu anaweza kuwepo na kutokuwepo kwa wakati mmoja?

Unaposema kwamba [emoji116] naku nukuu hapa,

"Na kusema kwambaMungu Mkuu hayupo Haibabadilishi chochote kwamba yupo au hayupo, kwamba hata hilo wazo limetokea kwake"

Huoni hii statement yako ina contradiction?Kwamba ina lazimisha upande mmoja wa Mungu kuwepo kwa kusema kwamba "Hata hilo wazo la kusema yupo au hayupo limetokea kwake"

Sasa naku uliza hivi, Unathibitishaje kwamba WAZO la mtu kusema Mungu yupo au hayupo limewekwa na Mungu?

Kwa nini ulazimishe wazo hili la kusema Mungu yupo au hayupo liliwekwa na Mungu?
 
Yan me uaga najisemea tu ,kabla mama yangu hajanizaa nilikua sipo na nilikua silijui lolote...B's hata nikifa ndio inakua hivyo hivyo....nakua sijitambui kama tu nilivyokua sijazaliwa
 
Njoo tu discus kuhusu ulemavu na ujumla wake upofu, rangi ya ngozi na nk

Hapo una mawazo gani? Kwa hiloo mkuu

Mtu anazaliwa ana kichwa kikubwa au kidogo, mdomo wazi, mguu mmoja au mguu una hitlafu mfupi au laah watu wafupi zaidi au warefu kupitiliza

Naomba nisikie kutoka kwako kuhusu hilo ..please
 
Unaandika haya rejea ikiwa nini!?
 
Kakupa hiyari/utashi,anajua baadhi watafuata atakavyo wengine watapotoka,ndiyo maana akaumba pepo na moto
 

MPAKA SASA UPO NEUTRAL

kaka robert kadri unavyozidi kusoma naona unafunguka kuwa tu mkweli kama sisi mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na nguvu zote hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…