Elimu yako ya dini yako ni ndogo sana.
Nimekuuliza Mungu wako anaitwa nani umeshindwa kujibu.
Mungu wa Wayahudi anaitwa Yehova, pia alijitambulisha kwa jina la MIMI NIKO AMBAYE NIKO na maandiko yapo.
Badala ya kunipa jina la Mungu wako unanipa sifa 99 za Allah.
Kesho uwahi kwenda msikitini kamwulize imamu wako kuwa Mungu wa Waislamu anaitwa nani ?
Kama huelewi hata Shahada ya dini yako ya Kiislamu inavyosema, ambayo ndio nguzo yako ya kwanza katika doni.
Nina uhakika huelewi chochote kwenye dini yako.
Kwa lugha ya kiarabu
Mungu anaitwa, illah
Shahada yako inaimbwa hivi.
{"La illah ila Allah, Muhamadi rasul illah"
" Hakuna Mungu ila Allah, Na Muhamadi ni mjumbe wa Mungu"}
Na kama hujui hata maana ya shahada ya kiislamu, wewe ni Muislamu maamuma.
Usibishane na mimi, nenda kaulize huko msikitini watakuambia kama ninavyo kuambia mimi.
Tuliwaambia Waislamu, hamuijiu qurani yenu sababu hamuijiu lugha ya kiarabu mnabisha bisha tu.