Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Allah ni neno la kiarabu, kama ilivyo GOD ni neno la kizungu, tafsiri ya maneno hayo kwa kiswahili ni MUNGU.
Sio kweli, hakukuwa na Neno Allah kwenye maandishi ya kiarabu hadi muddy alipolileta naada ya kukabwa kule pangoni. Kiarabu Mungu ni "illah" na sio allah.
 
Sio kweli, hakukuwa na Neno Allah kwenye maandishi ya kiarabu hadi muddy alipolileta naada ya kukabwa kule pangoni. Kiarabu Mungu ni "illah" na sio allah.
'illah" ni neno la kiarabu lenye maana ya kitu chochote ambacho kina abudiwa, yaweza kuwa sanamu, mdoli, jua, au kitu chochote kile.

Allah ni neno lenye maana ya Mungu mmoja, Muumba wa vyote, Mungu wa mbinguni na mwenye mamlaka yote.
 
Allah, Mungu, Yehova wote hawa ni Fictional characters( Viumbe wa kufikirika) sawa na hekaya za Abunuwasi au riwaya za Aladini.

Allah, Mungu hawajawahi kuwepo, hawapo na hata uwezekano wa kuwepo kwao haupo.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Kama unasema Mungu hayupo , kwenye maembe nani aliweka sukari ?
 
Kwanza kabisa ishamael sio baba wa waarabu, maana kiuhalisia kama ibrahimu alikuwa mzungu wa aina yeyote yule na alizaa na kijakazi wa kimisri(watu weusi) na itambulike wazi hapa misri ya kipindi cha ibrahimu ilikaliwa na watu weusii tii hakukuwepo muarabu wala mtu mweupe, tena hao waarabu hata hawakuwepo.

Kama ibrahimu alizaa na huyo binti wa kiafrika basi hata mtoto alizaliwa chotara yaan wa kizungu na kiafrika na sio mwarabu kama Quran inavyodanganya.

Ukiendelea mbele utagundua kuwa ishmael hausiki hata kidogo na uarabu wala uislamu maana hakuwa mtu wa asili hiyo, hapa unagundua kufeli wa Quran kumiliki historia ya asili yake na maandiko yake kudanganya.

Pili huyo Allah na huyo Mungu wa biblia ni vitu viwili tofauti ambavyo vinaing'ang'ania historia fulani iwe yao kupitia maandiko yao ya kucopy.

Tatu, dunia ina maelfu ya Miungu na mamia ya dini, je kuna uhakika gani na ushahidi gani kuwa Mungu wa dini fulani ndiye sahihi?.

Nne, kila dini inamafundisho yanayopingana na dini nyingine, je Mungu gani huyo awe mmoja huku aseme hivi na kule aseme tofauti?, hapa unazidi kujionea kuwa kila dini ina kiumbe chake ambacho watu wafuasi wa dini wanakiita Mungu na wamekipa sifa za Ukuu na uumbaji uku wakikitofautisha na Kiumbe(Mungu) wa dini zingine kuwa ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, huu ni uongo na uzushi mkubwa.

Mungu wa hizi dini angekuwepo kweli asingehitaji nguvu kubwa ya waumini wake kutumia kuaminisha watu uwepo wake wala asingetumia mikanganyiko na utata wa maandiko yake, yaani kila dini inamtafsiri hivi na wengine wanamtafsiri vile.

Kiufupi Dunia haijaumbwa na Mungu maana Mungu ni kiumbe chenye roho kama mwanadamu chenye sifa kama mwanadamu, kinaishi katika ulimwengu ambao viumbe walioumbwa wanaishi huko Rohoni,

Je Kama mbingu&ardhi ziliumbwa Muumbaji alikuwa wapi kabla ya hivi vitu kuwepo? Na inawezekana vipi muumbaji wa mbingu aje aishi mahala alipopaumba? Kabla ya kupaumba alikuwa wapi? Ukipata maswali ya haya majibu utajua kuwa kumbe Mungu si wa pekee bali kuna maelfu ya viumbe vinavyojiita Mungu ambavyo vinasifa kama ya viumbe wengine wa rohoni na vinaishi katika sehemu iliyoumbwa,

Hivyo basi viumbe hivi(Miungu) si waumbaji bali waliumbwa na wapo wengi kwa makundi mbalimbali kulingana na nguvu zao, na hawa Miungu ndio hawa wamejigawa dunian katika kila jamii kwa kujipa umiliki wa jamii fulani iwatumikie na kuwaabudu huku viumbe hawa wakiacha sheria zao na stori zao kupitia maandiko wanayoita matakatifu.

Kiundan kabisa na ukweli ambao ni mchungu, Mungu,Allah, Yesu, Yehova,Elshadai hawa ni aina ya mashetan/Aliens ambao walishuka dunian zamani sana kabla hata ya ujio wa vitoto vyao(white people) na kuanza kuudanganya ulimwengu wa watu weusi, na baada ya ujio wa watu weupe duniani, Ikawa rahisi utawala wa hao Fallen angeles(Miungu wa dini) kutawala ulimwengu kupitia watoto wao ambao ni watu wote wa jamii za wazungu, waarabu nakadhalika.

Ukweli ndio huo Miungu wote wa dini zote nia yao ni moja kuuteketeza uzao wa watu weusi kupitia hizo takataka ziitwazo dini na mafundisho yote ya dini zote.

Amkeni.
Nifungue zaidi mkuu,kwa nini wakiteketeze kizazi cha weusi,kiliwafanya nini?
 
Wataalamu wa dini mje hapa?

Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?

Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)

Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.

Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).

Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).

Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.

Mungu anajua kila lugha huitaji kutumia Lugha ya sehemu alipojifunua kwa mara ya kwanza ndio uwasiliane yeye hata kwa lugha yako ya asili anaijua

Allah ye anajua kiarabu Lugha nyingine hazijui,Hivo inabidi watu wajifunze kiarabu ndio wawasiliane nae hata jina lake Haliruhusiwi kuitwa kwa Lugha nyingine isipo kua kiarabu.

Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?

NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Mungu na Allah wanafanana ila tofauti iko kwa Isaka na Ishmael ndo chanzo cha kuwa na itikadi tofauti kwa viumbe hawa kutokana na kusudi Mungu ( Allah ) aliloliweka kwa kila mmoja . Isaka alipendelewa zaidi na Mungu ( Allah ) kuliko Ishmael .
Ishmael ( waislamu) ana hasira , chuki , wivu na kinyongo dhidi ya Isaka ( wakristo ) sababu alinyimwa urithi kutoka kwa baba yake na kuambiwa kwenda kuishi jangwani . Ishmael hampendi Isaka na kupelekea kuanzisha vita mara nyingi dhidi ya Isaka na uzao wake .

Isaka alipendelewa na Mungu ( Allah ) kuwa na akili nyingi pia . Ishmael ni kichwa kisicho na akili .
 
Mkuu sikuwai kuwaza hivi kwa namna fulani ni fumbo la akili
 
Hairuhusiwi na nimeshuhudia shahada kibao watu wakishahadia kwa lugha zote mwisho hutaja alaah na sio Mungu kwa lugha husika

Kwa mfano waSwahili wasiokuwa kiarabu hushuhudia hivi " Hapana Mungu anayepaswa kuabudiwa isipokuwa "Allah" na Muhammad mtume wake"

Kingereza hushuhudia hivi
I bear witness that there is no God but Allah – i.e. there is none worthy of worship but Allah), and Muhammad is the Messenger of Allah.

Unaona hapo? Lugha mbili zimetumika kushuhudia ila neno Allah limetokea ilhali lugha zote hizo Zina tafsiri ya Mungu katika lugha husika
Mbona Ulichoongea Ni simple tu Kukijibu..
Allah ni Jina La Mungu..

Ni kama Ilivyoandikwa Kwenye Yeshayahu (Isaya) 45:5..

אָנֹכִי יְהוָה וְאֵין עוֹד זוּלָתִי אֵין אֱלֹהִים אֲאַזְּרְךָ וְלֹא יְדַעְתָּנִי

Inatamkwa Hivi..

Anokhi Yhwh ve'ein od zulati ein Elohim aza'rka ve'lo yeda'tani.

au Tafsiri yake..

Mimi ni YHWH, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu....

Sasa Hiyo inatofauti gani Na Mtu akisema Shahada Ya kiislamu na akatoa neno YHWH akaweka Neno Allah?

Ndo maana Sikuzote nasema Siku ambayo watu wakiacha chuki na wakachunguza Kila andiko La Biblia, Bhagavad Gita, Quran na wakajifunza Mystery zote ndyo siku watagundua kuwa..

Hakuna Jipya Chini Ya Jua na vyote ni Sawa
 
Mungu na Allah wanafanana ila tofauti iko kwa Isaka na Ishmael ndo chanzo cha kuwa na itikadi tofauti kwa viumbe hawa kutokana na kusudi Mungu ( Allah ) aliloliweka kwa kila mmoja . Isaka alipendelewa zaidi na Mungu ( Allah ) kuliko Ishmael .
Ishmael ( waislamu) ana hasira , chuki , wivu na kinyongo dhidi ya Isaka ( wakristo ) sababu alinyimwa urithi kutoka kwa baba yake na kuambiwa kwenda kuishi jangwani . Ishmael hampendi Isaka na kupelekea kuanzisha vita mara nyingi dhidi ya Isaka na uzao wake .

Isaka alipendelewa na Mungu ( Allah ) kuwa na akili nyingi pia . Ishmael ni kichwa kisicho na akili .
Haya umeyatoa wapi?
Ni kutokusoma Biblia Au ni nini?

Umesahau Kuwa Vita kati ya Isaka na Ishmaili ilikuwa Kwa wazazi na sio kwao na ndo maana wote walipewa Urithi na Mungu kwa kila mtu alivyostahili..
Na wote walimzika Baba yao au nyinyi huwa mnasoma wapi?

Chuki zisiwafanye mkakufuru kwa Mungu zenu
 
Usha
Allah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Ushahidi Kuwa ni Mungu wa Warabu huu hapa!
👇👇
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mji wa makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
Allah ni neno la kiarabu, kama ilivyo GOD ni neno la kizungu, tafsiri ya maneno hayo kwa kiswahili ni MUNGU.
Yahweh, jina la Allah wa Waisraeli, linalowakilisha matamshi ya kibiblia ya “YHWH,” jina la Kiebrania lililofunuliwa kwa Musa katika kitabu cha Kutoka. Jina YHWH, linalojumuisha mfuatano wa konsonanti Yod, Heh, Waw, na Heh, linajulikana kuwa tetragramatoni.

Jee Allah wa Warabu Jina lake ni Nani??
 
"Hakuna awezaye kwenda kwa Baba bila kupitia kwangu"
Naon nao huu ni utofauti mkubwa sana
Maelezo yaliyothibitishwa kuwa Mungu katamka hivyo kwamba hakuna awezaye kwenda kwake bila kupitia kwa Yesu yako wapi?
 
unge iquite iyo aya
Hizi hapa ayat!
👇👇
[suràtul al layl]
إِنَّ اللَّهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا تَسْلِيمًا

وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba kiume na kike!
إِ
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنْثَىٰ ( 3 )
وإلى الذي خلق الذكر والأنثى
wama khalaq aldhakar wal'unthaa.

[ AL-AH'ZAB - 56 ]
Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.

Dhahir eeh?!
 
Maelezo yaliyothibitishwa kuwa Mungu katamka hivyo kwamba hakuna awezaye kwenda kwake bila kupitia kwa Yesu yako wapi?
Maelezo Yanayothibitisha haya hapa!
👇👇
John 14:6
[6]Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Waafrika nguvu zote ni kwenye Dini, huku JF hoja zinazoongoza ni kukashfiana, kukebehiana, kudharauliana kwa Wakristo dhidi ya Waislaam na Waislaam dhidi ya Wakristo. Watu wanaandika utafikiri wana uhakika na wanavyoviamini, kumbe ni mambo ya kusadikika tu. Dini ndio utaalam pekee tulionao na tunaouweza sana.

Njoo kwenye utaalam wa uvumbuzi na uundaji wa vitu vinavyoonekana kama vile magari, ndege, vifaa tiba, komputa, simu, ujenzi wa viwanda, utaalam wa masuala mbalimbali ya kiteknolojia na maendeleo hapo mwafrika anarudi nyuma.

Vitu viwili tunaviweza sana Ngono na Dini...na hapo kwenye Dini tunakesha tukiomba kusubiri miujiza ya kupata mafanikio. Africans ....Africans...Africans. Asubuhi hii Waafrika wameamka wapo JF wanabishana kuhusu Miungu na Dini.
 
Huyu Allah anaonekana kuwa yupo Mungu mkubwa zaidi yake ambaye na yeye humuomba kama sisi na kuapa kwake kama sisi. Ushahidi ni Sura 70 : 40
Mfano huu hapa!
👇👇
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. MwenyeziMungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Kwanza kabisa ishamael sio baba wa waarabu, maana kiuhalisia kama ibrahimu alikuwa mzungu wa aina yeyote yule na alizaa na kijakazi wa kimisri(watu weusi) na itambulike wazi hapa misri ya kipindi cha ibrahimu ilikaliwa na watu weusii tii hakukuwepo muarabu wala mtu mweupe, tena hao waarabu hata hawakuwepo.

Kama ibrahimu alizaa na huyo binti wa kiafrika basi hata mtoto alizaliwa chotara yaan wa kizungu na kiafrika na sio mwarabu kama Quran inavyodanganya.

Ukiendelea mbele utagundua kuwa ishmael hausiki hata kidogo na uarabu wala uislamu maana hakuwa mtu wa asili hiyo, hapa unagundua kufeli wa Quran kumiliki historia ya asili yake na maandiko yake kudanganya.

Pili huyo Allah na huyo Mungu wa biblia ni vitu viwili tofauti ambavyo vinaing'ang'ania historia fulani iwe yao kupitia maandiko yao ya kucopy.

Tatu, dunia ina maelfu ya Miungu na mamia ya dini, je kuna uhakika gani na ushahidi gani kuwa Mungu wa dini fulani ndiye sahihi?.

Nne, kila dini inamafundisho yanayopingana na dini nyingine, je Mungu gani huyo awe mmoja huku aseme hivi na kule aseme tofauti?, hapa unazidi kujionea kuwa kila dini ina kiumbe chake ambacho watu wafuasi wa dini wanakiita Mungu na wamekipa sifa za Ukuu na uumbaji uku wakikitofautisha na Kiumbe(Mungu) wa dini zingine kuwa ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, huu ni uongo na uzushi mkubwa.

Mungu wa hizi dini angekuwepo kweli asingehitaji nguvu kubwa ya waumini wake kutumia kuaminisha watu uwepo wake wala asingetumia mikanganyiko na utata wa maandiko yake, yaani kila dini inamtafsiri hivi na wengine wanamtafsiri vile.

Kiufupi Dunia haijaumbwa na Mungu maana Mungu ni kiumbe chenye roho kama mwanadamu chenye sifa kama mwanadamu, kinaishi katika ulimwengu ambao viumbe walioumbwa wanaishi huko Rohoni,

Je Kama mbingu&ardhi ziliumbwa Muumbaji alikuwa wapi kabla ya hivi vitu kuwepo? Na inawezekana vipi muumbaji wa mbingu aje aishi mahala alipopaumba? Kabla ya kupaumba alikuwa wapi? Ukipata maswali ya haya majibu utajua kuwa kumbe Mungu si wa pekee bali kuna maelfu ya viumbe vinavyojiita Mungu ambavyo vinasifa kama ya viumbe wengine wa rohoni na vinaishi katika sehemu iliyoumbwa,

Hivyo basi viumbe hivi(Miungu) si waumbaji bali waliumbwa na wapo wengi kwa makundi mbalimbali kulingana na nguvu zao, na hawa Miungu ndio hawa wamejigawa dunian katika kila jamii kwa kujipa umiliki wa jamii fulani iwatumikie na kuwaabudu huku viumbe hawa wakiacha sheria zao na stori zao kupitia maandiko wanayoita matakatifu.

Kiundan kabisa na ukweli ambao ni mchungu, Mungu,Allah, Yesu, Yehova,Elshadai hawa ni aina ya mashetan/Aliens ambao walishuka dunian zamani sana kabla hata ya ujio wa vitoto vyao(white people) na kuanza kuudanganya ulimwengu wa watu weusi, na baada ya ujio wa watu weupe duniani, Ikawa rahisi utawala wa hao Fallen angeles(Miungu wa dini) kutawala ulimwengu kupitia watoto wao ambao ni watu wote wa jamii za wazungu, waarabu nakadhalika.

Ukweli ndio huo Miungu wote wa dini zote nia yao ni moja kuuteketeza uzao wa watu weusi kupitia hizo takataka ziitwazo dini na mafundisho yote ya dini zote.

Amkeni.
Kuwa na akili,waarabu asili yao ni watu weusi,ni baada ya hawa waarabu wa asili(weusi),kuoana na watumwa wanawake wa Kizungu,wa ulaya mashariki,ndio kukapatikana waarabu weupe.Na waarabu weusi wa asili,ambao babu zao hawakuoa wanawake watumwa wa ulaya ya mashariki,mpaka leo wapo hao weusi,hasa Yemen wapo wengi kwenye kisiwa cha Scotra.Na ndio ukaona kukitokea machafuko nchi za waarabu,bila wao kujijua,wanakbilia kwa wazungu,asili ya mababu zao.Na ndio pia wazungu,wanawahesabu waarabu ni Black people,sio white.
 
Back
Top Bottom