Chochote kinacho abudiwa wenye kukiabudu wanakiita Mungu, tena wanaandika kwa kuanza na herufi kubwa.
Ili kuwatotautisha hao Miungu ni lazima uwataje kwa majina yao halisi.
Kuna Mungu wa Wahindu, Krishna.
Mungu wa wabudha, Budha
Mungu wa Waarabu, Allah.
Mungu wa Wayahudi, Yehova.
Ndio maana kila jamii lazima imtaje kwa jina Mungu wao wanapofanya ibada, ili kumlenga yeye wanayemwabudu.
Hivyo Mungu au illah wa Waarabu anaitwa Allah.
illah wa Wahindu anaitwa Krishna
illah wa Wayahudi, anaitwa Yehova
Nk.
Kila jamii inamheshimu mungu wake kama Waslamu wanavyo mheshimu Mungu wao Allah.
Ndio maana kila asubuhu kwenye adhana wanamtaja.
Allaaaah Mkubwa
Na sio
illaaaah mkubwa
Kwenye adhana ukiimba Munguuu mkubwa utakuwa hujamtaja Allah, bali umetaja cheo cha Mungu hivyo kuijumuisha Miungu yote.
Hata Wahindu wataifurahia Azana maana watadhani ni Mungu wao anatajwa hapo.
Ndio maana inaimbwa
Allaaah Akbar
Na sio
illaaaah Akbar