physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Umemaliza mjadala.Allah ni neno la kiarabu, kama ilivyo GOD ni neno la kizungu, tafsiri ya maneno hayo kwa kiswahili ni MUNGU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza mjadala.Allah ni neno la kiarabu, kama ilivyo GOD ni neno la kizungu, tafsiri ya maneno hayo kwa kiswahili ni MUNGU.
Na Kulaumiana kama Unavyofanya ww!Waafrika nguvu zote ni kwenye Dini, huku JF hoja zinazoongoza ni kukashfiana, kukebehiana, kudharauliana kwa Wakristo dhidi ya Waislaam na Waislaam dhidi ya Wakristo. Watu wanaandika utafikiri wana uhakika na wanavyoviamini, kumbe ni mambo ya kusadikika tu. Dini ndio utaalam pekee tulionao na tunaouweza sana.
Njoo kwenye utaalam wa uvumbuzi na uundaji wa vitu vinavyoonekana kama vile magari, ndege, vifaa tiba, komputa, simu, ujenzi wa viwanda, utaalam wa masuala mbalimbali ya kiteknolojia na maendeleo hapo mwafrika anarudi nyuma.
Vitu viwili tunaviweza sana Ngono na Dini...na hapo kwenye Dini tunakesha tukiomba kusubiri miujiza ya kupata mafanikio. Africans ....Africans...Africans. Asubuhi hii Waafrika wameamka wapo JF wanabishana kuhusu Miungu na Dini.
Ngoja waje waarabu weusi kukushambuliaMungu na Allah wote ni wahusika wa hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hadithi hizo hakuna Mungu wala Allah.
Yani hata huyo Allah au Mungu ukichambua habari zake utaona contradictions zinazoonesha hii ni story ya kuungaunga ya watu tu.
Mfano huu hapa!
👇👇
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. MwenyeziMungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
Zipo nyingi sana..Unaweza ukaweka Tofauti zao mkuu
Yesu alikuwa Binadamu wa kawaida Japo alizaliwa na Mama peke yake..Zipo nyingi sana..
Yesu hakuwa binadamu wa kawaida kwa kuwa hakuwa na baba.. Muhamadi alikuwa binadamu wa kawaida mwenye baba na mama..
kuhusu Kufufuka Kwa Yesu All Authentificated Gospel zimereport matukio Tofauti kwahyo kuna Mashaka pia..Yesu alikufa na kufufuka.. Muhamadi alikufa Moja kwa moja..
miujiza Ya Yesu yote Its Not Authentic Kwa sababu its self centered Report hakuna Ushahidi wa Kihistoria..Yesu alitenda miujiza mingi sana na mpaka Leo jina lake ni kuu kuliko majina yote hata majini na mapepo yanaogopa jina la Yesu wakati Muhamadi hakutenda muujiza wowote na jina lake hakuna anayeliogopa..
Wote Yesu, Mohamedi na Krishna wanafundisha Upendo japo Mohamedi na Yesu pia Wanafundisha Chuki..Yesu alifundisha upendo wajati Muhamadi alifundisha chuki..
kwa Mujibu wa Gospel of Thomas na Gospel of Philip yesu Alioa Na alioa Mariam MagdalenaYesu hakuoa wakati Muhamadi alikuwa na wanawake kibao mpaka vitoto vidogo..
Badi unataka kuniambia kuwa hao watu ni sawa..??
Alisikika mlevi mmoja wa Makurunge kwa Kivuzi akinenaNi tofauti kabisa Yehova sio Allah
Huyu Allah anaonekana kuwa yupo Mungu mkubwa zaidi yake ambaye na yeye humuomba kama sisi na kuapa kwake kama sisi. Ushahidi ni Sura 70 : 40
'illah" ni neno la kiarabu lenye maana ya kitu chochote ambacho kina abudiwa, yaweza kuwa sanamu, mdoli, jua, au kitu chochote kile.
Allah ni neno lenye maana ya Mungu mmoja, Muumba wa vyote, Mungu wa mbinguni na mwenye mamlaka yote.
Basi itakuwa waislamu hawa muabudu Mungu wa kweli ila kuna mtu tu asiye na nguvu zozote za kimungu alifanikiwa kuwadanganya . Maana wana chuki , hasira na wivu usio na kifani .Huyu Allah anavituko sana. Naye anaapa kwa Mungu wake.
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
(AL - MAA'RIJ - 40)
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza.
SURA 70 : 40unge iquite iyo aya
Tuwekee shahada ya UislamuMbona Ulichoongea Ni simple tu Kukijibu..
Allah ni Jina La Mungu..
Ni kama Ilivyoandikwa Kwenye Yeshayahu (Isaya) 45:5..
אָנֹכִי יְהוָה וְאֵין עוֹד זוּלָתִי אֵין אֱלֹהִים אֲאַזְּרְךָ וְלֹא יְדַעְתָּנִי
Inatamkwa Hivi..
Anokhi Yhwh ve'ein od zulati ein Elohim aza'rka ve'lo yeda'tani.
au Tafsiri yake..
Mimi ni YHWH, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu....
Sasa Hiyo inatofauti gani Na Mtu akisema Shahada Ya kiislamu na akatoa neno YHWH akaweka Neno Allah?
Ndo maana Sikuzote nasema Siku ambayo watu wakiacha chuki na wakachunguza Kila andiko La Biblia, Bhagavad Gita, Quran na wakajifunza Mystery zote ndyo siku watagundua kuwa..
Hakuna Jipya Chini Ya Jua na vyote ni Sawa
Hiyo Aya 70:40 lazima wataibadirisha kwenye Qurani za baadae.Basi itakuwa waislamu hawa muabudu Mungu wa kweli ila kuna mtu tu asiye na nguvu zozote za kimungu alifanikiwa kuwadanganya . Maana wana chuki , hasira na wivu usio na kifani .
Allah ni miungu ya kiarabu na si Mungu muumba wa vyote,asante kwa mada nzuriWataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Mungu anajua kila lugha huitaji kutumia Lugha ya sehemu alipojifunua kwa mara ya kwanza ndio uwasiliane yeye hata kwa lugha yako ya asili anaijua
Allah ye anajua kiarabu Lugha nyingine hazijui,Hivo inabidi watu wajifunze kiarabu ndio wawasiliane nae hata jina lake Haliruhusiwi kuitwa kwa Lugha nyingine isipo kua kiarabu.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Yaani wewe mvaa kobazi unanifundisha mimi maana ya jina Yahweh heee 😂 🤣 makubwaYahweh maana yake ni mungu kwa kiibrania acha kudanganya watu
AShhadu alla ilaha illallah..Tuwekee shahada ya Uislamu
Hayo ni ya Yesu,nataka aliyoyatamka Mungu kusema kwamba ili uunde kwake lazima upitie kwa mwanae Yesu.Maelezo Yanayothibitisha haya hapa!
👇👇
John 14:6
[6]Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Afadhali mkuu umenisaidiaUsha
Ushahidi Kuwa ni Mungu wa Warabu huu hapa!
👇👇
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mji wa makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ
[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
Yahweh, jina la Allah wa Waisraeli, linalowakilisha matamshi ya kibiblia ya “YHWH,” jina la Kiebrania lililofunuliwa kwa Musa katika kitabu cha Kutoka. Jina YHWH, linalojumuisha mfuatano wa konsonanti Yod, Heh, Waw, na Heh, linajulikana kuwa tetragramatoni.
Jee Allah wa Warabu Jina lake ni Nani??
Vyema ila Leo ngoja nikuongezee maarifa YAHWEH si jina la moja kwa moja linalosimama kumaanisha Mungu tafsiri ya neno Yahweh ni "Mimi Niko" au "Mimi ninayekuwepo", kwahiyo hii maana yake Yahweh inawakilisha ukuu na uwepo wa Mungu ni kama kujitambulisha kuwa yeye ni hali ambayo kwa tafsiri ya uelewa wa kisasa tutasema ni kama Mungu amejipambunua kuwa yeye ni ASILI au NATUREMbona Ulichoongea Ni simple tu Kukijibu..
Allah ni Jina La Mungu..
Ni kama Ilivyoandikwa Kwenye Yeshayahu (Isaya) 45:5..
אָנֹכִי יְהוָה וְאֵין עוֹד זוּלָתִי אֵין אֱלֹהִים אֲאַזְּרְךָ וְלֹא יְדַעְתָּנִי
Inatamkwa Hivi..
Anokhi Yhwh ve'ein od zulati ein Elohim aza'rka ve'lo yeda'tani.
au Tafsiri yake..
Mimi ni YHWH, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu....
Sasa Hiyo inatofauti gani Na Mtu akisema Shahada Ya kiislamu na akatoa neno YHWH akaweka Neno Allah?
Ndo maana Sikuzote nasema Siku ambayo watu wakiacha chuki na wakachunguza Kila andiko La Biblia, Bhagavad Gita, Quran na wakajifunza Mystery zote ndyo siku watagundua kuwa..
Hakuna Jipya Chini Ya Jua na vyote ni Sawa