Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ni spelling tu.Nakujibu na wewe usiyejua maana ya ilaah na illah!
Allah ni Mungu wa waislamu na illah au ilaah ni mungu kwa kiarabu.Nakujibu na wewe usiyejua maana ya ilaah na illah!
kwanza tuwekane sawa hapa unasema Ishmael ni mtoto wa nje wa ndoa kwa kigezo kipi?Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Sijaona chuki ila wewe ndo unaipandikizaKwenye andiko lako hili
Hapa uliandika nini, na kwa lengo gani????
Lete uongo wako wa kujitetea.
ChaiWataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Wataalamu wa dini mje hapa?

nani kakwambia sifa haziwezi kuwa jina?Hayo sio majina ni sifa 99.
Rahman- mwenye Rehema
Al-Hakim- ni hakimu
Nk.
Hizo ni sifa 99 na sio Jina la Mungu wa Waislamu.
Kijana kadri unavyo ongea unaonesha hujui chochote kwenye dini yako.
Wewe hujui kitu zaidi ya kukaririshwa na huna exposure ndio maana hujui kama kiarabu ni lugha tu sio kila muarabu ni muislamuElimu yako ya dini yako ni ndogo sana.
Nimekuuliza Mungu wako anaitwa nani umeshindwa kujibu.
Mungu wa Wayahudi anaitwa Yehova, pia alijitambulisha kwa jina la MIMI NIKO AMBAYE NIKO na maandiko yapo.
Badala ya kunipa jina la Mungu wako unanipa sifa 99 za Allah.
Kesho uwahi kwenda msikitini kamwulize imamu wako kuwa Mungu wa Waislamu anaitwa nani ?
Kama huelewi hata Shahada ya dini yako ya Kiislamu inavyosema, ambayo ndio nguzo yako ya kwanza katika doni.
Nina uhakika huelewi chochote kwenye dini yako.
Kwa lugha ya kiarabu
Mungu anaitwa, illah
Shahada yako inaimbwa hivi.
{"La illah ila Allah, Muhamadi rasul illah"
" Hakuna Mungu ila Allah, Na Muhamadi ni mjumbe wa Mungu"}
Na kama hujui hata maana ya shahada ya kiislamu, wewe ni Muislamu maamuma.
Usibishane na mimi, nenda kaulize huko msikitini watakuambia kama ninavyo kuambia mimi.
Tuliwaambia Waislamu, hamuijiu qurani yenu sababu hamuijiu lugha ya kiarabu mnabisha bisha tu.
Pata shule ya lugha mbali mbali wewe unajua kinyakyusa tu utajua wapi vitu kama hivi umekarisrishwa halafu unaleta ujuajiNiliandika Mungu wa Waislamu anaitwa Allah.
Na neno ilaah maana yake ni Mungu kwa kiarabu.
Wewe unasemaje?
Yahweh maana yake ni mungu kwa kiibrania acha kudanganya watuYahweh ni jina katika utambulisho yenye maana "Mimi ndiye" au "Mimi ninayekuwepo" inayowakilisha ukuu wa Mungu lakini hakuna muislamu atakayekubali kumuita Mungu Yahweh au Yehova
Hizi mbuzi za maporini ni za kusamehe, basi tu tunajumuika humu kwenye hivi vijiji vya mitandao ya kijamiiWewe hujui kitu zaidi ya kukaririshwa na huna exposure ndio maana hujui kama kiarabu ni lugha tu sio kila muarabu ni muislamu
Kiarabu mungu= allah awe
Kibrania mungu= yahweh
KIngereza mungu= god
Punguza ujinga mkristo mwenzako mwenye elimu kaelezea vizuri kabisa na ametembea duniani wewe tatizo ukisafiri sana umeenda arusha na sumbawanga utajua wapi mambo ya dunia
Hiyo historia umeisomea wapi unayoijua ambayo hatujui we jamaa yaani umechanyanya unga na pumba halafu unajinasibu unaijua historia ya Ukristo!Huo sio elimu ya madrasa ni elimu ya historia ya bara arab!
Tatizo wengi wenu hamna elimu, mnapenda kukariri sana!
Na mmemezeshwa itikadi za kijinga, ko ukitaka waarabu wasiwe na uhusiano na ukristo we kama nani!
Fuatilia kuhusu Misri na Lebanon kuna wakristo kibao na sio ukristo wa kupelekwa na wazungu ni wa asili!
Halafu aliyekudanya kwamba Accient Lebanon na Misri walikaa waarabu ni nani?Huo sio elimu ya madrasa ni elimu ya historia ya bara arab!
Tatizo wengi wenu hamna elimu, mnapenda kukariri sana!
Na mmemezeshwa itikadi za kijinga, ko ukitaka waarabu wasiwe na uhusiano na ukristo we kama nani!
Fuatilia kuhusu Misri na Lebanon kuna wakristo kibao na sio ukristo wa kupelekwa na wazungu ni wa asili!
hayaMtoa mada ni mporipori wa kilugaluga
asamehewe kwa kuzaliwa maporini ....
AiseeDini zililetwa kuchanganya watu lakini Mungu yupo kabisa
Hayo maeneo kiasiri mfano misri ilikua ya nubian tena black kabisa mpaka pale ilipo anza arabs invansion ndo zikajaa waarabuHalafu aliyekudanya kwamba Accient Lebanon na Misri walikaa waarabu ni nani?
Unajua wakazi wa Asili wa maeneo hayo hawakua na uhusiano wowote na Arabs na mpaka karne ya 6 hawakuwahi kua na uhusiano wowote wa vinasaba Kati yao?
Unajinasibu unaijua historia hivi nikuletee madesa hapa uone ulivyo mtupu?
nakubaliYahweh maana yake ni mungu kwa kiibrania acha kudanganya watu
HahahaaaAllah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Ni sahihi na vijana wengi wa sasa hawajui hilo kuwa wale Waarabu wamekuja pale majuzi na ndio wakaanza kujiambatanisha na akina Ishamel na Ibrahim ila ni sawa na wazigua leo waseme nao ni uzao wa Yakobo.Hayo maeneo kiasiri mfano misri ilikua ya nubian tena black kabisa mpaka pale ilipo anza arabs invansion ndo zikajaa waarabu