Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Allah ni neno la kiarabu, kama ilivyo GOD ni neno la kizungu, tafsiri ya maneno hayo kwa kiswahili ni MUNGU.
Sio kweli, hakukuwa na Neno Allah kwenye maandishi ya kiarabu hadi muddy alipolileta naada ya kukabwa kule pangoni. Kiarabu Mungu ni "illah" na sio allah.
 
Sio kweli, hakukuwa na Neno Allah kwenye maandishi ya kiarabu hadi muddy alipolileta naada ya kukabwa kule pangoni. Kiarabu Mungu ni "illah" na sio allah.
'illah" ni neno la kiarabu lenye maana ya kitu chochote ambacho kina abudiwa, yaweza kuwa sanamu, mdoli, jua, au kitu chochote kile.

Allah ni neno lenye maana ya Mungu mmoja, Muumba wa vyote, Mungu wa mbinguni na mwenye mamlaka yote.
 
Kama unasema Mungu hayupo , kwenye maembe nani aliweka sukari ?
 
Nifungue zaidi mkuu,kwa nini wakiteketeze kizazi cha weusi,kiliwafanya nini?
 
Mungu na Allah wanafanana ila tofauti iko kwa Isaka na Ishmael ndo chanzo cha kuwa na itikadi tofauti kwa viumbe hawa kutokana na kusudi Mungu ( Allah ) aliloliweka kwa kila mmoja . Isaka alipendelewa zaidi na Mungu ( Allah ) kuliko Ishmael .
Ishmael ( waislamu) ana hasira , chuki , wivu na kinyongo dhidi ya Isaka ( wakristo ) sababu alinyimwa urithi kutoka kwa baba yake na kuambiwa kwenda kuishi jangwani . Ishmael hampendi Isaka na kupelekea kuanzisha vita mara nyingi dhidi ya Isaka na uzao wake .

Isaka alipendelewa na Mungu ( Allah ) kuwa na akili nyingi pia . Ishmael ni kichwa kisicho na akili .
 
Huyu Allah anaonekana kuwa yupo Mungu mkubwa zaidi yake ambaye na yeye humuomba kama sisi na kuapa kwake kama sisi. Ushahidi ni Sura 70 : 40
 
Mkuu sikuwai kuwaza hivi kwa namna fulani ni fumbo la akili
 
Mbona Ulichoongea Ni simple tu Kukijibu..
Allah ni Jina La Mungu..

Ni kama Ilivyoandikwa Kwenye Yeshayahu (Isaya) 45:5..

אָנֹכִי יְהוָה וְאֵין עוֹד זוּלָתִי אֵין אֱלֹהִים אֲאַזְּרְךָ וְלֹא יְדַעְתָּנִי

Inatamkwa Hivi..

Anokhi Yhwh ve'ein od zulati ein Elohim aza'rka ve'lo yeda'tani.

au Tafsiri yake..

Mimi ni YHWH, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu....


Sasa Hiyo inatofauti gani Na Mtu akisema Shahada Ya kiislamu na akatoa neno YHWH akaweka Neno Allah?

Ndo maana Sikuzote nasema Siku ambayo watu wakiacha chuki na wakachunguza Kila andiko La Biblia, Bhagavad Gita, Quran na wakajifunza Mystery zote ndyo siku watagundua kuwa..

Hakuna Jipya Chini Ya Jua na vyote ni Sawa
 
Haya umeyatoa wapi?
Ni kutokusoma Biblia Au ni nini?

Umesahau Kuwa Vita kati ya Isaka na Ishmaili ilikuwa Kwa wazazi na sio kwao na ndo maana wote walipewa Urithi na Mungu kwa kila mtu alivyostahili..
Na wote walimzika Baba yao au nyinyi huwa mnasoma wapi?

Chuki zisiwafanye mkakufuru kwa Mungu zenu
 
Usha
Allah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Ushahidi Kuwa ni Mungu wa Warabu huu hapa!
👇👇
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mji wa makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
Allah ni neno la kiarabu, kama ilivyo GOD ni neno la kizungu, tafsiri ya maneno hayo kwa kiswahili ni MUNGU.
Yahweh, jina la Allah wa Waisraeli, linalowakilisha matamshi ya kibiblia ya “YHWH,” jina la Kiebrania lililofunuliwa kwa Musa katika kitabu cha Kutoka. Jina YHWH, linalojumuisha mfuatano wa konsonanti Yod, Heh, Waw, na Heh, linajulikana kuwa tetragramatoni.

Jee Allah wa Warabu Jina lake ni Nani??
 
"Hakuna awezaye kwenda kwa Baba bila kupitia kwangu"
Naon nao huu ni utofauti mkubwa sana
Maelezo yaliyothibitishwa kuwa Mungu katamka hivyo kwamba hakuna awezaye kwenda kwake bila kupitia kwa Yesu yako wapi?
 
unge iquite iyo aya
Hizi hapa ayat!
👇👇
[suràtul al layl]
إِنَّ اللَّهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا تَسْلِيمًا

وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba kiume na kike!
إِ
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنْثَىٰ ( 3 )
وإلى الذي خلق الذكر والأنثى
wama khalaq aldhakar wal'unthaa.

[ AL-AH'ZAB - 56 ]
Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.

Dhahir eeh?!
 
Maelezo yaliyothibitishwa kuwa Mungu katamka hivyo kwamba hakuna awezaye kwenda kwake bila kupitia kwa Yesu yako wapi?
Maelezo Yanayothibitisha haya hapa!
👇👇
John 14:6
[6]Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Waafrika nguvu zote ni kwenye Dini, huku JF hoja zinazoongoza ni kukashfiana, kukebehiana, kudharauliana kwa Wakristo dhidi ya Waislaam na Waislaam dhidi ya Wakristo. Watu wanaandika utafikiri wana uhakika na wanavyoviamini, kumbe ni mambo ya kusadikika tu. Dini ndio utaalam pekee tulionao na tunaouweza sana.

Njoo kwenye utaalam wa uvumbuzi na uundaji wa vitu vinavyoonekana kama vile magari, ndege, vifaa tiba, komputa, simu, ujenzi wa viwanda, utaalam wa masuala mbalimbali ya kiteknolojia na maendeleo hapo mwafrika anarudi nyuma.

Vitu viwili tunaviweza sana Ngono na Dini...na hapo kwenye Dini tunakesha tukiomba kusubiri miujiza ya kupata mafanikio. Africans ....Africans...Africans. Asubuhi hii Waafrika wameamka wapo JF wanabishana kuhusu Miungu na Dini.
 
Huyu Allah anaonekana kuwa yupo Mungu mkubwa zaidi yake ambaye na yeye humuomba kama sisi na kuapa kwake kama sisi. Ushahidi ni Sura 70 : 40
Mfano huu hapa!
👇👇
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. MwenyeziMungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Kuwa na akili,waarabu asili yao ni watu weusi,ni baada ya hawa waarabu wa asili(weusi),kuoana na watumwa wanawake wa Kizungu,wa ulaya mashariki,ndio kukapatikana waarabu weupe.Na waarabu weusi wa asili,ambao babu zao hawakuoa wanawake watumwa wa ulaya ya mashariki,mpaka leo wapo hao weusi,hasa Yemen wapo wengi kwenye kisiwa cha Scotra.Na ndio ukaona kukitokea machafuko nchi za waarabu,bila wao kujijua,wanakbilia kwa wazungu,asili ya mababu zao.Na ndio pia wazungu,wanawahesabu waarabu ni Black people,sio white.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…