Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Wahubiri wana jazba hawa!!! ngoja tuone mwisho wao, bdo nafuatilia🙋🙋🙋
 
Ni seme hibi Jehova au Mungu Mkuu na alah ni vitu viwili tofauti kwa sababu zifuatazo

1. Mungu ana nafsi tatu
Baba, Mwana na Roho Mtakatifu

Alah anapinga utatu

2. Mungu ametupa amri kuu ya upendo anasema nawapani amri kuu mpendane nyingi kwa nyinyi na mpende jirani yako kama unavyojipenda

Alah anasema wachukieni makafiri, adui yenu ni wakristo na wayahudi mkiweza waueni tu

3). Mungu kupitia Yesu anasema yeye ni roho na watakao enda mbiguni wote Wana roho

Alah anasema mwanaume ukienda mbingini atapewa wanawakake bikra 72 yaani ( mahurulain)

4). Mungu anasema msihukumiane kwa ishara, siku, vyakula Wala Mavazi

Alah anasema kitimoto mwiko, ukifunga na kufungua Ramadhani uangalie kuandama kwa mwezi

Ni mambo mengi siwezi kuyamaliza yote

Ila Mungu na Allah ni tofauti kwa mafundisho na kwa nguvu za Uungu
 
Wazungu wanaingiaje hapa umepewa verse usome huyo Baba wa Yesu aliye Mbinguni ni nani?
Kama Baba wa Yesu yupo Mbinguni kwanini hutaki kukubali ya kwamba Aliyepo Mbinguni ni Mungu baba na Yesu ni mwanae?
Halafu mbona unachukua verse chache na nyingine nyingi za msingi unaacha?
Hiyo anayosema yeye na Baba ni wamoja mbona unairuka?
😁😁
 
Huyu Kafir wa Macca Wazolee analazimisha Allah awe JEHOVA wakati mmoja ni mungu na mwingine ni Mungu!
Hata ki sifa hawafanani hata robo!
 
Yaani mtu mzima kabisa na akili zako timamu unamuabudu mungu wa waQuraysh mpaja unawaita watanzania na waafrica wenzio makafir
 
Allah, siyo Mungu. at best ALLAH ni yule Shetani anayeitwa Rusifa
Andiko hili la Quran 6:51 linamtambulisha Allah kama Intercessor wa waislam. Intercessor ni mtu anayemsihi a higher being (Mungu) akufanyie wepesi wa mambo Yako; anaiweza pia kukuombea msamaha au kukupatanisha na Mungu.
VileVile Quran inaonyesha kuwa Allah & Mohammed wako level Moja ya kufanyaaamuzi-Quran 33:36
Ktk screenshot ya pili Quran 17:42 Allah anamrefer Mungu muingine (Him) ikionyesha kuwa Kuna Mungu mwingine
Mwisho waulize Hawa Waislam Mungu ana majina mangapi? Watasema 99, mojawapo ni ALLAH. Iwapo kitabu chao Quran, kinatambua Mussa alishushiwa Torati, waulize je iwapo Mungu alijitambulisha kwa Moses kwa jina kuwa yeye anaitwa YAHWEH je jina hilo nalo lipo kati ya majina 99 ya Mungu wao?? Jibu halipo



 
Hii ngumu kumeza
 
Nyinyi wagalatia mmechanganyikiwa na lazima mchanganyikiwe Kwa sababu hamumjui Mungu wa kweli mtu ambaye hamjui Mungu wake alimuumba hana tofauti na mnyama

Hilo andiko la 6:51 nilawalenga makafiri kama wewe Kwa sababu Quran imeletwa Kwa ajili ya binadamu wote kwahiyo hata ukiikata ndio kitabu chako ambacho unatakiwa ukifuate

Utawala wa Taurati, Zaburi na Injiri umeshapita Sasa hivi mtawala ni Quran


Quran 6:51
- Na waonye kwayo wanao ogopa kuwa watakusanywa kwa Mola wao Mlezi, hali kuwa hawana mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye, ili wapate kuchamngu.

Hapa Mtume Muhammad anaambiwa awaonye watu Kwa kutumia Quran na awambie hao watu ukiwepo wewe kuwa Kuna siku itafika binadamu wote watakusanywa mbele ya Allah na hiyo siku hakutakuwa na kiumbe yoyote wakuwasaidia na ghadhabu ya Allah Kwa wale wakosefu isipokuwa ni Allah mwenyewe

Na hiyo Aya Quran 33:36
Inaelezea Mila ambazo waarabu walikuwa nazo Quran ikaja kuzivunja hizo Mila ikiwepo Mila ya kuwapa majina Yao ya ukoo watoto waliawaasili

Mtume alikuwa na mtoto wa kuasili akaoa mke alipo muacha huyo mke Allah akamwambia amuoe huyo mke Kwa sababu mtoto wa kuasili sio mwanawe hivyo asimuone huyo mwanamke kama alikuwa mke wa mtoto wake ukiendelea hapo 37 na 38 utaona hayo maelezo

Hiyo Aya ya Quran 17:42 pia inakukanyageni nyinyi makafiri mnaosema Mungu wapo zaidi ya mmoja Allah anasema yeye yupo peke yake

Quran 17:42
- Sema: Lau kuwa wangeli kuwa pamoja naye miungu mingine kama wasemavyo, basi wangeli tafuta njia ya kumfikia Mwenye Kiti cha Enzi.
Quran 17:43
- Subhanahu Wa Taa'la, Ametakasika na Ametukuka juu kabisa na hayo wanayo yasema.
Quran 17:44
- Zinamtakasa zote mbingu saba na ardhi na vyote viliomo ndani yake. Na hapana kitu ila kinamtakasa kwa sifa zake. Lakini nyinyi hamfahamu kutakasa kwake. Hakika Yeye ni Mpole na Mwenye maghfira.


Wewe ni kafiri na Jahannam inakusubiri hauna mlango wa kutoka
Kwa sababu
Ukristo sio dini
Yesu sio Mungu
Jumapili sio siku ya ibada
Paulo sio mtume

Hayo yote mmedanganywa na Wazungu
 
YEHOVA ndiyo Mungu wa kweli Juu mbinguni na chini duniani hakuna kama yeye..Yesu ni mwana wake mpendwa ...Unakumbuka wanafunzi wake walivyo omba kufundishwa kusali...Mathayo 6:9....na kingine YEHOVA ni Mungu wa wote wale wanao fanya mapenzi yake na ndiye alie umba kila kitu kinacho onekana..
 
Nyinyi wakristo tukikuambieni kuwa hamumjui Mungu aliyekuumbeni mnaona tunawakashifu

Katika Uzi hu hu Kuna wakristo wenzako wengi tu Wanasema Yesu ndio YEHOVA alafu wewe unasema YEHOVA ndio baba na Yesu ni mwana

Usilolikia hata huyo YEHOVA ni Mungu wa uongo

Kama unao ushahidi kuwa Mungu alijitambulisha Kwa Musa kuwa yeye ni YEHOVA weka hapa maana neno YEHOVA ni kigiriki sio kiebrania
 

Nami nitakuuliza swali ukinijibu sawa..kwanza ongera kwa kuliandika jina la YEHOVA vizuri..Je unajua maana Yake..nenda kasome kwanzia Mwanzo 3 :13 alafu urudi...nipo pale nimekaa nakusubiri.
 
Wanaonekana ni different entities
 
Ila ni bora zaidi ya Phd ya theology ya divinity and bible knowledge kutoka st joseph and Augustine universities,,,,,!!!
Si kweli hata siku moja, unajidanganya tu. Madrasa wangekuwa wanafundisha mambo ya divinity vitoto vya Kiislam vingekuwa mbali mno kiakili, matokeo yake nadhani hata wewe mwenyewe unayajuwa, vimejawa na unafiki na joho ya kufuga majini ili wawe wanawatumia kwa jailli ya chuma ulete.
 
Ni different entities, Mungu wa Kiislam ni shetani na Allah ni Aunty Muddy na majini ambao ni wasaidizi wa shetani (Mungu wa Kisiłam), hawataki tu kusema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…