St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Nipe mfano wao. Usiniulize maswali .Unataarifa kwamba Wote wamehidi vitu sawa??
Je Mungu wa Biblia Hajaahidi Pombe??
Unaamini Mungu wa Biblia Hajafundisha kisasi?
Unaamini Kwamba Mitume wa Biblia (Yahudi) ni sawa na Mitume wa Ukristo na ni sawa na mitume wa Uislam?
Mimi nimetoa tofauti zao.. Na wewe nipe mfanano wao..Mitume yote ni hiyo hiyo na hadi mtume mmoja makafir mkaamua kumwita mungu
na mimi nilitaka kusema hivyo umeniwahiMambo ya dini ni changamoto sana
Vipi wahindu
Vipi kuhusu wabudha
Na dini nyinginezo
Ok sawa..Nipe mfano wao. Usiniulize maswali .
Swali gumu sanaWataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Kwanini hairuhusiwo kwa waislamu kutaja jina Mungu lugha zao hadi warejee jina alaahSiyo kweli allah maana yake ni mungu hata wakristo waarabu wanatumia neno allah kanisani kumaanisha mungu
Inaruhusiwa mkuu ni kukosa elimu tu na kutofahamuKwanini hairuhusiwo kwa waislamu kutaja jina Mungu lugha zao hadi warejee jina alaah
Madrasut gani walikudanganya huu upupu Mwamba?Kabla ya uislamu waarabu wengi walikuwa wakristo, na wengine wayahudi, wamajusi na waabudu masanamu, ko hawa waliokuwa wakristo kutokana na kuisoma sana injili(kitabu halisi cha yesu na sio biblia human version) ko walisubiri ujio wa mtume aliyetabiriwa kwenye injili naye ni muhammad, then Mungu yuleyule aliyetabiriwa kwenye ukristo wa before Islamic era ndiye yuleyule aliyeabudiwa within muhammad era.
Jamaa ameuliza kistaarabu, ila kutokana na ujinga wako na chuki ukaandika usiyoyajua ili waislamu waumie,,,,,!!!!
Kumbe binadamu mimi nimekuja kujufunza usiyoyajua ikiwamo adabu na heshima.
Hairuhusiwi na nimeshuhudia shahada kibao watu wakishahadia kwa lugha zote mwisho hutaja alaah na sio Mungu kwa lugha husikaInaruhusiwa mkuu ni kukosa elimu tu na kutofahamu
Kwa nini unadhani ulimwengu Lazima uwe umeumbwa?Kwaiyo ulimwengu nani kaumba bro..Tungependa kujua.
Ndio nasema ni makosa ya lugha yanafanyika ila allah maana yake ni mungu kwa kiarabu na hata wakristo wa nchi za kiarabu makanisani mwao wanatumia allah na huyu mkristo mwenzako hapo chini kaelezea vizuri sana kuhusu swala hilo mkuuHairuhusiwi na nimeshuhudia shahada kibao watu wakishahadia kwa lugha zote mwisho hutaja alaah na sio Mungu kwa lugha husika
Kwa mfano waSwahili wasiokuwa kiarabu hushuhudia hivi " Hapana Mungu anayepaswa kuabudiwa isipokuwa "Allah" na Muhammad mtume wake"
Kingereza hushuhudia hivi
I bear witness that there is no God but Allah – i.e. there is none worthy of worship but Allah), and Muhammad is the Messenger of Allah.
Unaona hapo? Lugha mbili zimetumika kushuhudia ila neno Allah limetokea ilhali lugha zote hizo Zina tafsiri ya Mungu katika lugha husika
Sijui kuhusu wakristu waarabu ila basi kama ni hivyo waislamu waache hili kosa la kummiliki Mungu na kumpa jina Allah kama ujumuishi wa uungu katika lugha zoteNdio nasema ni makosa ya lugha yanafanyika ila allah maana yake ni mungu kwa kiarabu na hata wakristo wa nchi za kiarabu makanisani mwao wanatumia allah na huyu mkristo mwenzako hapo chini kaelezea vizuri sana kuhusu swala hilo mkuu
Yes hilo ni kosa allah maana yake ni mungu hata waarabu wakristo hata leo ukienda palestina wakristo wanamwita allah, simply maana yake ni munguSijui kuhusu wakristu waarabu ila basi kama ni hivyo waislamu waache hili kosa la kummiliki Mungu na kumpa jina Allah kama ujumuishi wa uungu katika lugha zote
Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Yahweh ni jina katika utambulisho yenye maana "Mimi ndiye" au "Mimi ninayekuwepo" inayowakilisha ukuu wa Mungu lakini hakuna muislamu atakayekubali kumuita Mungu Yahweh au YehovaYes hilo ni kosa allah maana yake ni mungu hata waarabu wakristo hata leo ukienda palestina wakristo wanamwita allah, simply maana yake ni mungu
Na kwa kihebrew mungu ni yahweh na sio jina lake yahweh kama wakristo wengi wanavyojua ,yahweh maana yake ni mungu
Yahweh ni kihebrew maana yake ni mungu ndio maana nasema tatizo la waafrika ni elimu, sasa wewe mtu mweusi unatakiwa useme mungu ,yahweh sio jina la munguYahweh ni jina katika utambulisho yenye maana "Mimi ndiye" au "Mimi ninayekuwepo" inayowakilisha ukuu wa Mungu lakini hakuna muislamu atakayekubali kumuita Mungu Yahweh au Yehova
Msingi wa dini ni kuwa na jamii ya kutenda mema hata babu zetu katika matambiko yao tabia njema ilisisitizwa sana.na mimi nilitaka kusema hivyo umeniwahi
Ila wazo langu ni kuwa mungu ana majina mengi waarabu wansema Alah,kiswahili tunasema MUNGU kingereza tunasema GOD kiitaliano tunasema Dio,Ugiriki ya kale Sol yaani Jua wengine wasema Yehova wengine wanasema Yahwe hata kilugha changu kuna jina lake
Mambo ya dini yanachanganya sana ya kaizari mpe kaizari ya mungu mpe mungu
Wahindu nao huyu mungu wetu tunayemuabudu wanamtambua kivingine kabisa ukiingiza habari za kina Ibrahim,Yakoo,Ismail,Daudi,Selemani,YESU hawawezi kukuelewa
BUDHA Ndio kabisaa hawaamini uwepo wa mungu yeyote wanasema na supreme being kila kitu kinakwenda kiasili ila ukitenda ubaya ukifa unaweza kuwa simba au mti na roho ya mtu inatoka duniani inakuwa form nyingine
Kuna ujinga umeandikwa hapa.Kabla ya uislamu waarabu wengi walikuwa wakristo, na wengine wayahudi, wamajusi na waabudu masanamu, ko hawa waliokuwa wakristo kutokana na kuisoma sana injili(kitabu halisi cha yesu na sio biblia human version) ko walisubiri ujio wa mtume aliyetabiriwa kwenye injili naye ni muhammad, then Mungu yuleyule aliyetabiriwa kwenye ukristo wa before Islamic era ndiye yuleyule aliyeabudiwa within muhammad era.
Jamaa ameuliza kistaarabu, ila kutokana na ujinga wako na chuki ukaandika usiyoyajua ili waislamu waumie,,,,,!!!!
Kumbe binadamu mimi nimekuja kujufunza usiyoyajua ikiwamo adabu na heshima.
Kwani ulijua ukristo umeanzia kwako???Kuna ujinga umeandikwa hapa.