Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Wakiambiwa wathibitishe kama Mungu hayupo huwa wanarukaruka tu.Wafuasi wa Kiranga mna maneno yaleyale
Ni kwamba unataka kujua au ndio umeuliza maswali magumu?Kiumbe binadamu,akiulizwa yeyote hapa anayesema Mungu hayupo aiamuru science imthibitishie kwamba ataamka salama kesho aende salama kazini mambo yawe kama yalivyokuwa leo hawezi kupata jibu,hata sekunde kumi mbele sayansi haiwezi kumwambia kitakachomkuta.
Hata hiyo sayansi inayoaminika kuchukua nafasi ya Mungu haijawahi kuelezea binadamu anapolala akili anapeleka wapi,kufanya nini,kwanini mmoja huamka mwengine asiamke ikiwa wote walilala wakipotelea usingizini?tuseme wanaokufa ni wagonjwa?kama wagonjwa mbona sayansi haijaweza kuwapa dawa wasifie usingizini?au dawa wanatumia mbona dawa zisiwazuie wasife usingizini!
Kuna kitu zaidi ya hiki na kipo nje ya angle za kibinaadamu.
All the best chief!!!Watu dhaifu na waliopandikizwa woga na story za uwongo ndio wanaokiri uwepo wa mungu kwenye nafsi zao mkuu.
Ndiyo maana Kila kukicha akina Mwamposa wanawanyoosha vikali. Mtu anakuambia usipokwenda kanisani au msikitini kumwabudu mungu utakwenda motoni, ukimwambia wale wazee wa zamani waliopata kuishi kabla ya hizi dini kuja wameenda mbinguni ama motoni anaingia mitini.
Kiufupi ninyi mnaojifanya wachungaji, mapadre, mashekhe n.k mtaendea kuwadanganya wale wapumbavu waliopandikizwa mambo ya kipuuzi vichwani mwao Ili mpate kula.
Kwasababu wanaosema yupo wamemuweka kama living object wakati ni mam made theories, ndo maana sasa tunataka watetee hoja yao kama wanavyokujaKama ni dhana tu na si kitu halisi, kwa nini unataka huyo Mungu athibitishwe kiuhalisia?
Mimi siyo mwalimu useme nimeuliza maswali magumu,kama una cha kunijuza na unadhani kitanisaidia andika nisome.Ni kwamba unataka kujua au ndio umeuliza maswali magumu?
Ok, mkuu acha waendelee kuichazea hii neema, lakin wajue Mungu si wa kufanyia mzaha hata kidogo.Wengi ni attention seeker kutafuta likes na kufurahia wakiona threads zao zinasonga page 2 to 6 so on ila deep down kwenye nafsi zao wanajua na wanaukiri uwepo wa Mungu.
Pia wanabebwa na upepo wa mitandao waonekane kichwani wako smart sana as longer as wanaamini na wameaminishwa kwamba ku-challenge uwepo wa Mungu ni jambo kubwa sana.
Mkuu, upumbavu ni huo uliojazwa kwenye ubongo wako. We si Kila siku ulikuwa unaleta uzi wa kumwomba mungu amwangamize Samia? Je yule mungu wako amejibu maombi yako?Ficha upumbavu wako.
Living object kivipi..?Kwasababu wanaosema yupo wamemuweka kama living object wakati ni mam made theories, ndo maana sasa tunataka watetee hoja yao kama wanavyokuja
Kwanza nimependa we ndiyo unafaa kwa mdahalo sio mtu anauliza swal na wewe unampa swali π₯Kwa upande wangu I know life ya viumbe imetokana na nature, na Dunia haijawahi kuongezeka since appearing yake. Kuna concept nyingi zimejaribu kueleza mwanzo wa dunia but all tunaishia kuona ni nadharia na zina uthibitisho na negative side ya kila moja meaning that neither any theory nor faith zimethibisha hili.
So, Dunia haijawahi kuongezeka wewe ni product ya existing material zilizopo meaning that your derived from cells basically but those cells zimetoka kwa wazazi na cell huzalishwa as a result of nutrients from environment, umekuwa ukila na kupata nutrients that's why umekua ulivyo.
Life is a continues circulation unakufa kiumbe mwingine anapata uhai.
Since then mwanadamu based on history ame exist millions and millions of years na past human being alikuwa dumb not as smart as mordern one what we currently see are just agreement may be tuite kitu fulani "Kishkwambi" hii imesaidia kutupa logical thinking by comparing language and translating them into things, feelings, actions so same comes to when we hear the word "God" it's just a meaning we have developed it in our head.
My question to you? Naomba nithibishie kwa kigezo cha fact uwepo wake!
Basi kwishaaaaaaaaUtofauti wa jinsia
Utofauti wa wanyama na binadamu
Kuzama na kuchomoza kwa jua
Hizi zinatosha na kama ukiona ni athari ndogo niambie Chanzo chake nini ndugu mwanasayansi
Haya ndio maswali yako? Mbona hata binti yangu hapa kajibu kiufasaha kabisa , hilo kwata la kujibu maswali ya sayansi la sita hunipigishi kabisa.
Hili ndiyo swali lako π π π π πNa uthibitisho ni nini?
UtotoBasi kwishaaaaaaaa
Mwenye wivu, anatembea, bwana wa vita, anayegawa vitu, blah blah.... utaongezea mwenyeweLiving object kivipi..?
Science ya wapi hiyo, weka hapa tuoneMungu yupo na science imeprove uwepo wa MUNGU.
π
Wapi nimejikuta ? Sio kwa ubaya acha nisione post zako kwa sababu mijadala na wewe itafikia kuvunjiana heshima.Hili ndiyo swali lako π π π π π
Ujue bwasheeee unauliza maswali ya Kitoto sana halaf unajikuta genius π π π π π
Kwishaaaaaa
Sorry naomba niulize kitu kimoja unaweza je tuthibitisha kwamba Mungu ni chanzo?Kwanza nimependa we ndiyo unafaa kwa mdahalo sio mtu anauliza swal na wewe unampa swali π₯
Tuanze kwenye maelezo yako umezungumzia uwepo wa binadamu bila kutaja mwanzo wake???
Turud kwenye swali lako uwepo wa Mungu
Mkuu Mungu ninayesema mimi yupo namaanisha ni chanzo au mwanzo
Kwamba unavyoona kuna ulimwengu kuna usiku na mchana tena kwa vipimo kuna utofauti wa mwanamke na mwanaume kuna utofauti wa dunia na bahari je nini kimeleta utofauti huu bing bang au
Jibu ni Mungu ambaye ndiyo chanzo
Utoto unaleta wewe huoni wenzako wanavyojibu bila kupindisha hawaangalii hiki ni nini hiki ni niniUtoto
Hamna bwana bwashee umeshindaWapi nimejikuta ? Sio kwa ubaya acha nisione post zako kwa sababu mijadala na wewe itafikia kuvunjiana heshima.
La Kwangu ujanijibuSorry naomba niulize kitu kimoja unaweza je tuthibitisha kwamba Mungu ni chanzo?
Je Mungu ni nani, yeye ametokea wapi? Binadamu walimfahamu vp?