Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

All the best chief!!!

Ikiwa tunapumua,tumekula tumeshiba mifukoni kuna tuji-cent twa kutufurahisha kesho mbona wajanja sisi?tuwe na kiasi wengi hudhani tumemaliza ila ukweli ni kwamba hata kuanza hatujaanza.
Mkuu amwamini au usimwamini mungu unaweza ukakutwa ama usikutwe na majanga. Hilo lisikutishe maana Kila kitu kitapita bila kujalisha kama Kuna ugumu ama urahisi.

Usingizi mwema.
 
Andiko hili ni kazi ya shetani

Kijana mwenzangu acha kuchanganyikiwa kwa kufuata mafundisho potofu yanayozuka toka kwa watu potofu

Jitunze rafiki yangu
MUNGU ni mwaminifu sana na anakupenda jinsi ulivyo
Aanze kuamini Mungu ni sawa , hatua ya pili aanze kuamni Mungu yupi ni wa kweli kati ya wale 10000000 waliopo humu duniani na kila muumini anasema wa kwake ndio wa kweliπŸ€”
 
Kuna mambo unachanganya,

1.Sayansi kushindwa kukuthibitishia kwamba kesho utaamka uende kazini na mambo yako yawe kama leo haimaanishi ndio uthibitisho wa uwepo mungu, inamaanisha tu kwamba Sayansi imeshindwa kufanya hivyo.

2.Sayansi kushindwa kusema mtu anapolala akili anapeleka wapi au kwa nini mwingine anakufa usingizini haithibitishi uwepo wa mungu bali ina maanisha tu Sayansi imeshindwa kufanya hivyo.

3.Sayansi haiaminiki na wala haiko katika mashindano ya kuchukua nafasi ya mungu na sijaelewa kwa nini umeamua kuishambulia Sayansi ambayo haihusiki na mjadala wa mungu kabisa.

Mwisho, je umewahi kusikia dhana ya "god of gaps" ?
 
Aanze kuamini Mungu ni sawa , hatua ya pili aanze kuamni Mungu yupi ni wa kweli kati ya wale 10000000 waliopo humu duniani na kila muumini anasema wa kwake ndio wa kweliπŸ€”
Mtumish Kuna MUNGU na miungu

Hao 999999 ni miungu ila MUNGU ni yule aliyeziumba mbingu na nchi kwa njia ya KRISTO YESU
 
Nimekujibu life has arose from nature and life doesn't just exist in Earth as we think. So life we see it's due to evolution, chemistry and biology that's why life has existed.
Nature hii imetokana na nini inabidi ujiulize
Hii mifumo unayoona kwenye dunia imetengenezwa na nini na nani kaitengeneza inabidi ujiulize

Kwamba ulimwengu ulitokea tu dunia ikaja ikatokea tu na hata binadamu na wanyama tulitokea tu

Ndugu jibu la muhimu ni kuwa imetengenezwa/ kuumbwa au kutokea tu

Ukiambiwa sasahiv kuwa hizi simu tunazotumia zimetokea tu utakubali kiongozi???? Elewa hili na uulize swali lako kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…