Shida maswali kwangu mengi nyie hamjibu ila sawa uliza mkuu wakati unatafuta evidence za mwanzo wa ulimwengu na theory yako ya bing bangMzee the issue is that does it make logical sense, is it true, can you answer this why questions..
Yeah, binadamu ndo wanajitia kumpa sifa moja tu ya uzuri ile ya ubaya wanaitoa ila wanasahau katuumba kwa mfano na sura yake so ubaya na uzuri tulionao wanadamu na yeye hizo sifa anazo.Sema tu sisi binadamu tujipendekeza kwa Mungu, hadi watu wanakesha kumuimbia makanisani ila kiundani Mungu anasifa zote hata hasira sijui wivu anao kwa viumbe wake ndo maana kaandaa pepo na moto anawivu tu kama hukuchagua upande wake akutie kiberiti.Bila kuwa na hisia ya aina yoyote Mungu hayupo na kama yupo hana maana yoyote umuhimu wowote kwenye maisha na wala hakuna sababu ya kumwamini π€
Kwasababu vitu vinaonesha vina mwanzo au kutengenezwa na mwenye huo uwezo ndiyo tunamuita kwa kiswahili MunguKitu gani kinakufanya wewe uone yeye ni mtengenezaji wa hivyo vitu.
Hizi ni issue za genetic variation mzee, also fertilization issues ndio maana mwanaume na mwanamke anaweza kuexist Incase kiumbe kama mwanadamu atazalisha chromosome XY basi tu expect kiumbe Cha kiume, pia akizalisha XXY au XYY tugemee kutha(hawa ni watu ambao sio wanawake Wala sio wanaume they have both characteristics) so it's all about genetics and nothing more than that.Leta hiyo biology mkuu si ndiyo kuelekezana huko
Inasemekana shetani aliubwa na mungu na alikuwa mtiifu kwa mungu, lakini baadaye shetani akaanza kuasi ndipo mungu akakasirika na kumtupa.Hata ugomvi wao haukutuhusu binadamu ni vile Mungu aliamua tu kutuumanisha na shetani tupambane nae tumshunde et, wakati yeye kachemka akatutupia sisi dumbwana ambalo linakila aina ya nguvu. Kama lipo kweli basi limetusomba wengi mno. Yaan ukiisoma au kuiisikia hadithi ya Sodoma na Gomola basi ndo dunia nzima ilivyo kwa sasa.Hakuna mtakatifu hata mmoja dadeki, kwa zile sheria na amri zake siku akiamua kututia kiberiti kama Sodoma na Gomola hamna kizazi kitabakiπππ
Nimeishia hapo kwenye genetic tu nimepiga picha na kwenye XXY ila nikimwambia unipe chanzo cha hizi genetics na XXY ni niniHizi ni issue za genetic variation mzee, also fertilization issues ndio maana mwanaume na mwanamke anaweza kuexist Incase kiumbe kama mwanadamu atazalisha chromosome XY basi tu expect kiumbe Cha kiume, pia akizalisha XXY au XYY tugemee kutha(hawa ni watu ambao sio wanawake Wala sio wanaume they have both characteristics) so it's all about genetics and nothing more than that.
Wewe chukua tu upande mmoja mkuu, usije ukapasuka msamba.Ni sawa tu na anayejarbu kuthibitisha akilibkama ni kitu au sio kitu. Sisemi yupo au vp...ila kuprove hayupo ni ngumu kuliko kuprove yupo.
Ila hapo inabidi tuweke dini pembeni kuprove yupo
Zinaelezeka bro everything can be explained within a scope of chemistry and biology vizuri tu.Nimeishia hapo kwenye genetic tu nimepiga picha na kwenye XXY ila nikimwambia unipe chanzo cha hizi genetics na XXY ni nini
Ukinipa hiko chanzo uniambie chanzo chake ni nini tujue mwanzo wake kabisa
Yawezekana ni sisi tu binadam tunampa ujiko Mungu ila usikute hata hajui tukio/ matukio yajayo mbele vinginevyo kama anajua basi ni mnafikiππSema Shetani kawasanua wengi tu. Shetani asingewezA kumgeuka mkuu wake bure tu,hapa kuna kitu tu kilichopelekea Shetani kumzingua Mungu. Mfano ni huu wa kwetu, jamaa alitufunua kwamba tupo uchiπππ na hata swala la kuzaana nadhani nililikuja baada ya kufukuzwa Edeni. Nadhani shetani alikuwa anahitaji viumbe viwe huru na si kukesha kusujudu na kuimba mapambio mbele ya kiti cha enziππππInasemekana shetani alibwa na mungu na alikuwa mtiifu kwa mungu, lakini baadaye shetani akaanza kuasi ndipo mungu akakasirika na kumtupa.
Swali langu hapa ni, je, mungu ambaye anauwezo wa kujua kitakachotokea mbeleni ameshindwaje kujua iwapo shetani siku moja atakuja kumgeuka/kumuasi?
Kwani Kila chenye mwanzo kimetengenezwa na mungu? Kumbuka hata bakuli linamwamzo.Kwasababu vitu vinaonesha vina mwanzo au kutengenezwa na mwenye huo uwezo ndiyo tunamuita kwa kiswahili Mungu
Shetani na mungu kama mchezo wa pwagu na pwaguzi tu.Yawezekana ni sisi tu binadam tunampa ujiko Mungu ila usikute hata hajui tukio/ matukio yajayo mbele vinginevyo kama anajua basi ni mnafikiππSema Shetani kawasanua wengi tu. Shetani asingewezA kumgeuka mkuu wake bure tu,hapa kuna kitu tu kilichopelekea Shetani kumzingua Mungu. Mfano ni huu wa kwetu, jamaa alitufunua kwamba tupo uchiπππ na hata swala la kuzaana nadhani nililikuja baada ya kufukuzwa Edeni. Nadhani shetani alikuwa anahitaji viumbe viwe huru na si kukesha kusujudu na kuimba mapambio mbele ya kiti cha enziππππ
Kwamba Mungu kamuumba shetani ili apate sababu ya kuitwa Munguπ π nasoma huku nafanya kazi za watu nisije aribu bwashee πShetani na mungu kama mchezo wa pwagu na pwaguzi tu.
Elezea sasa mkuu usimalize juu juu tuZinaelezeka bro everything can be explained within a scope of chemistry and biology vizuri tu.
Sasa hivi Kuna watu Wana Tengeneza mpaka genetically modified organisms utawaeleza nini kuhusu ingredients wanazotumia.
Hili swali uzuri Mwalimu wa tuisheni alishanielekezaKwani Kila chenye mwanzo kimetengenezwa na mungu? Kumbuka hata bakuli linamwamzo.
Ukisoma maandiko mengi kumhusu mungu utagundua kuwa jamaa alikuwa anatengeneza tatizo na kujaribu kulitatua kwa minajili ya kujipakulia minyama.Kwamba Mungu kamuumba shetani ili apate sababu ya kuitwa Munguπ π nasoma huku nafanya kazi za watu nisije aribu bwashee π
π π π kwa huyo utaka kusema jamaa yupoje?Ukisoma maandiko mengi kumhusu mungu utagundua kuwa jamaa alikuwa anatengeneza tatizo na kujaribu kulitatua kwa minajili ya kujipakulia minyama.
Wewe unaweza kueleza hizo za kwanza zimetokea wapi?Elezea sasa mkuu usimalize juu juu tu
Kama hao watu wanaweza kutengeneza hizo genetics umejiuliza zile za kwanza kabisa zilitokea wapi
Ulinipinga juu kule nilivyoleta swali sehemu ninayotakiwa kukujibu mkuuWewe unaweza kueleza hizo za kwanza zimetokea wapi?
Ukisema Mungu mimi ntasema cosmology na evolution
min -me kumbe umeshamtupa kapuni kijana Harmful baada ya kuleta janja janja za nyani kula mahindi mabichi π.secretarybird uniombee msamaha kwa bwashee min -me sasa huu ulikuwa mdahalo tu asinikasirikie π