Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Wewe una amini hivyo , ni muhimu sana uendelee kuamini kwa sababu ili kuua imani yako yakupasa uthibitishe uwepo Mungu
Sasa bwashee mimi naamini hivyo ndiyo na uthibitisho wake nakuthibitishia kwa alivyoviumba

Wewe usioamini hivyo unathibitisha nini kuwa hayupo?????nini uliona ukasema hayupo nini ulihisi ukaona mungu hayupo bwashee karibu
 
Sasa bwashee mimi naamini hivyo ndiyo na uthibitisho wake nakuthibitishia kwa alivyoviumba

Wewe usioamini hivyo unathibitisha nini kuwa hayupo?????nini uliona ukasema hayupo nini uliisi ukaona mungu hayupo bwashee karibu
Kurudia rudia kila siku inachosha , wewe baki na imani yako , siku ukiweza kuthibitisha jua hiyo imani yako itakuwa sio imani tena bali ni fact
 
Kurudia rudia kila siku inachosha , wewe baki na imani yako , siku ukiweza kuthibitisha jua hiyo imani yako itakuwa sio imani tena bali ni fact
😅ningeomba urudie mara ya mwisho ili tuweze kuelekezana
 
Ubaya na uzuri hauwezi kuisha kamwe kwa sababu ni asili tu ya ubinadamu na maisha .

Hayo ya Mungu na shetani ni majina yaliyopewa tu hizi dhana mbili zinazotegemeana ,ili kuzipa picha na personality tu kwenye akili ya binadamu.
Sio kwa Abrahamic God.
 
Basi bwashee nahisi hoja za kumkana Mungu hazipo kwa leo ila me nakuahidi nitakutafuta siku nyengine ukiwa na madini 😁

Ukiwa nje tulia uangalie juu angani kama sekunde kumi tu halafu jiulize Mungu yupo ???
Na wewe Utulie ujiulize alie mtengeneza huyo Mungu ni nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…