Mungu Ndiye Anayejua Atakayempokea Urais Rais Samia 2030

Rais ajae ni Jokate Mwegelo na Speaker wa bunge atakuwa Khadija K.Ismail.

Mark.my words
 
Njoo mitaani uwaambie hivyo watanzania uone namna watakavyokufurusha kwa hasira kali.maana watanzania wanamkubali sana Rais Samia na ndio maana wameamua kumpa tena muhula wa pili ili awaongoze Tena.
Cjawahi kumsikia mtu mtaani anamsifia, Mungu wangu shahidi! Lakin nashangaa kuwaona mitandaoni mbona uku mtaani hampoo??
 
Kiongozi wa mpito atakabidhi.

HATOGOMBEA 2025!!
 
Kiongozi wa mpito atakabidhi.

HATOGOMBEA 2025!!
Wakitaka waizike ccm basi wafanye kwenda nae 2025. Unajua ata wabunge wanachaguliwa sometimes kwa ushawishi wa rais anaegombea. Mwabukusi tu atawatoa kamasi wajichanganye
 
Cjawahi kumsikia mtu mtaani anamsifia, Mungu wangu shahidi! Lakin nashangaa kuwaona mitandaoni mbona uku mtaani hampoo??
Rais Samia Anapendwa Sana Huku Mitaani labda kama huishi Tanzania ndio unaweza usielewe hiki nilichoandika hapa.
 
Wakitaka waizike ccm basi wafanye kwenda nae 2025. Unajua ata wabunge wanachaguliwa sometimes kwa ushawishi wa rais anaegombea. Mwabukusi tu atawatoa kamasi wajichanganye
Rais Samia Ndio chaguo la Wana CCM Kama ilivyo kwa Mamilioni ya Watanzania,Ndiye anayekwenda kupeperusha Bendera ya CCM na hakuna mpinzani mwenye uwezo wala Ubavu wa kushindana naye katika sanduku la kura.
 
Mm nipo mtaani wew tena shazi ya kutosha. Cjawahi kuskia watu wanamsifia haki ya Mungu vile wallah!
Labda mtaa wa nyumbani kwako tu,lakini huku waliko Watanzania wengi wanaendelea kumkubali sana na kumuunga mkono.
 
Rais Samia Ndio chaguo la Wana CCM Kama ilivyo kwa Mamilioni ya Watanzania,Ndiye anayekwenda kupeperusha Bendera ya CCM na hakuna mpinzani mwenye uwezo wala Ubavu wa kushindana naye katika sanduku la kura.
Wew unaota kweupeeee! Nani fala weka hapa Mwabukusi pale samia uone moto huo
 
Wew unaota kweupeeee! Nani fala weka hapa Mwabukusi pale samia uone moto huo
Usifikiri Nchi hii ni kama genge ambalo yeyote anaweza kuongoza.Huyo mtu wako alishagombea Mbeya na akashindwa vibaya sanaa.
 
Usifikiri Nchi hii ni kama genge ambalo yeyote anaweza kuongoza.Huyo mtu wako alishagombea Mbeya na akashindwa vibaya sanaa.
Sasa hyo ndio mwamba anaekubalika kwasasa .ukitaka kuprov ilo fungua uzi hapa jf sema watu wapige kura weka samia weka na mwabukusi uone fire!
 
Kama anayetoa madaraka ni Mungu pekee mbona maRais wote wanatokea kwenye Chama kimoja tu tangu tupate Uhuru ??!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…