Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Nadhani umecite kutoka kwenye quran, unayetaka kumhukumu haamini katika hicho kitabu zaidi anaamini katika biblia yake. Je, ni haki?!
Kwanini usitumie kitabu chake kumfanyia hukumu yake iwe ya haki?!
Mm sihukumu mtu bali ni kuelekezana kwenye ukweli tuu
 
huna unachojua.
wewe ndio huelewi kitu na hutaki kuelewa Mungu sio Allah ni ilaha,jina la Mungu kwa aislam ndio Allah,au jina la ilaha ni Allah.ni sawa na useme jina la gari yangu ni ist,ni sawa na mwislam aseme jina la |Mungu wangu ni Allah.ndio maana wanatamka LAA ILAHA ILLA ALLAH.
 
WEWE huelewi kiti Mungu/GOD (ilaha) wa waislam ametaja jina lake ambalo ni Allah ( LAA ILAHA ILLA ALLAH) ILA Mungu/GOD/YEHOVA wa biblia HAKUTAJA JINA lake zaidia ya kusema YEYE YUPO AMBAYE YUPO
 
WEWE huelewi kiti Mungu/GOD (ilaha) wa waislam ametaja jina lake ambalo ni Allah ( LAA ILAHA ILLA ALLAH) ILA Mungu/GOD/YEHOVA wa biblia HAKUTAJA JINA lake zaidia ya kusema YEYE YUPO AMBAYE YUPO

twende taratibu tuelewane.
kiwa Unazungumza kiarabu tu na una abudu ng'ombe kuwa ndiye mungu wako, huyo ng'ombe kwa kiarabu utamuitaje?.
 
twende taratibu tuelewane.
kiwa Unazungumza kiarabu tu na una abudu ng'ombe kuwa ndiye mungu wako, huyo ng'ombe kwa kiarabu utamuitaje?.
utaita ilaha,na utasema kwa kiarabu LAA ILAHA ILLA NG'OME yani yani hakuna mungu isipokua Ng'ome .kwakuwa ngome sio jina itategemea wewe huyo Mungu wako ambaye ni ngome umempa jina gani kama utaamua huyo mungu ambaye ni ngome aitwe krishna.utasiema utaita ilaha ni kriashna
 
twende taratibu tuelewane.
kiwa Unazungumza kiarabu tu na una abudu ng'ombe kuwa ndiye mungu wako, huyo ng'ombe kwa kiarabu utamuitaje?.
Mungu kwa kiarabu ni Ilaha
Allah sio kiarabu wala haina maana ni jina tu kama ilivyo juma,yohana,feisal,Petro,isipokua waislam wamuamua kumpa jina nhuyo MUNGU WAO AITWE ALLAH
 
Mungu kwa kiarabu ni Ilaha
Allah sio kiarabu wala haina maana ni jina tu kama ilivyo juma,yohana,feisal,Petro,isipokua waislam wamuamua kumpa jina nhuyo MUNGU WAO AITWE ALLAH

Chief, nikuombe usinikot ama nitajidhuia kukujibu. unatatizo la kiufahamu.
sijui unapinga nini na unasapoti nini.
kiujumla hata wewe mwenyewe ukielewi unachokitetea.
mara sio jina then waislamu wameamua kumuita Allah. full brah brah.
Uwe na Mchana mwema
 
Mimi naona huyo wa Agano la kale ni kweli ni Mungu mmoja ila huku Agano jipya walikuja kugundua Kuna wasaidizi wa Mungu wenye nguvu wa kuongoza grupu la wafuasi Kila mmoja na nguvu zake za kutafuta wafuasi wake atakao wapeleka kwenye himaya yake huko mbinguni na ndo maana baada ya kuwa wamepata wafuasi Sasa hivi hawashuki tena wameacha wafuasi wajiongeze wenyewe mpaka wakifa Kila mtu anakwenda kwa aliyemfuata , hivyo Kila Dini zile zilizokuwepo zamani ndo zipo sawa yaani zile zilizojiwa na viumbe kutoka mbinguni zikaacha wafuasi Sasa watu wanahangaika kushindana Kila mtu kuona Dini yake ndo sawa ila Mimi naona hakuna haja.
 
MWANZO 2:26

MUNGU akasema: Na tumfanye Mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu, wakatawale Samaki wa baharini na ndege wa angani, na wanyama wa nchi pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi

Alikuwa anamwambia nani?
Wasaidizi wake.
 
Allah ni jina sio title .
Yehova ni jina.
Mungu ni title na jina lako ndio hayo hapo juu
Itakuwa hivyo, na Kila mmoja anawafuasi wake na makao yao baada ya kuondoka duniani yanaonyesha ni tofauti Kila mtu ataenda kuishi jinsi alivyoamini ila Hawa ambao bado hawajashukiwa na kiongozi wao wameachwa hivyo kwasababu tumeshaamini kuwa wafuasi hizo Imani zingine ilitakiwa tusubiri na kwetu ashuke mfalme wetu na akatupa miongozo yetu kulingana na jamii yetu ilivyo.
 
Hakuna muislam anaeomba kwa jina la Muhammad ila wakristo wanaomba kwa jina la yesu
Waislam hawamuombi mtume ila wanamuomba Mungu wao wanae amini hakuzaa Wala hakuzaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja
Muhammad the HUMANIZER
 
Free Mason wanaeleza kuwa kuna Mungu mkuu mmoja wa upendo.

Lakini Mungu wa Israeli tunayemuabudu sisi, yaani Mungu wa wivu naye kaumbwa. Ni hadithi ndefu!
Mtume Muhammad S.A.W ,alikuwa anapenda sana wanawake hadi akafikia hatua ya kuoa binti wa miaka 9 na siku anakufa alifanya mapenzi huku kichwa kinamuuma waislamu wenzangu takbiriiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…