let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Chief, check fact zako then ndiyo uandike.Sawa,ila kama ulivyosema " imani iambatane na logic na facts, kama si hivyo imani ni mfu".
Mi nakushauri utafute logic kwenye hizi dini tulizoambukizwa na wakoloni. Ukizifata kama zilivyo bila logic na facts, basi imani yako ni mfu.
umepotoka, Mungu wa Wakristo ni Mungu yuleyulew wa Waisrael. yeye hana urafiki wowote na majini.Habari zenu
Husika na kichwa cha habari
Sina shaka juu ya muumbaji wa huu ulimwengu na vitu na limwengu zingine zote tunazozijua na tusizozifahamu; kwamba M/Mungu aliyeumba wakristo na waislamu na watu wa dini zingine zote na wasiokuwa na dini pia ni yule yule tu M/Mungu mmoja;
Aliyeumba bahari,mito, aliyeumba binaadamu, majini kwa wanaoamini aliyeumba dunia na sayari zingine zote zinazotambulika na zisizotambulika na viumbe vilivyoko huko pia ..
Na msioamini uwepo wa M/Mungu sitaki kuwakera katika hili najua mtauliza M/Mungu mwenyewe ndio nani? Sitawajibu hilo swali nawajuza mapema..
Nimekaa nimeangalia sana waislam na waikristo naona hawana tofauti yeyote kimaumbile na kitabia pia yaani bila shaka ni wapo sawa tu wazi kuwa tumeumbwa na M/Mungu mmoja.. sasa kinachoshangaza hizi tofauti zetu kuchukiana, kugombana kupelekea mpaka kuuana na mambo mengine ya hovyo kufanyiana.. kama tumeumbwa na M/Mungu tofauti ...haipendezi..
Na bora nchi yetu chuki juu ya imani/dini tofauti haipo sana haijashika kasi sana mataifa mengine ni hatari zaidi walimu wadini wanapaswa kutoa elimu nzuri kwa waumini wao na kutohubiri au kutotoa mawaidha ya chuki kwa waumini wao..
Asante
We jamaa, unataka kusema ukristo tumeutoa wapi kama sio toka kwa agents wa ukoloni ( wamissionary).Chief, check fact zako then ndiyo uandike.
kabla ya mkoloni ukristo umekuwepo Africa kitambo sana, tena sana.
Mkoloni kaja juzi na kautumia ukristo kwa interest zake kama akina Gwajima wanavyofanya.. ila ukristo upo kitambo Africa.
Wewe jamaa japokuwa umeandika masihara kadhaa lkn ujumbe wako nimeuelewa, ukiwa mbinguni unapewa uwezo wa kimungu so hakuna kuchoka ktk kusifu na kuabudu refer malaika watakatifu,wenye uhai wanne,Wazee Ishirini na wanne,Makerubi na Masherafi wao humwabudu na kumsifu Mungu tangu misingi ya ulimwengu lkn hawachokiTatizo mbingu ya wakiristo imetupunja sana wanaume. Yenyewe haina bia, madem bikra 72, haina mito ya maziwa na bahari ya asali
Yaani hii naona tuwaachie wanawake tu
Sisi wanaume tufukuzie mbingu wa kiislam maana unaishi kibosi kuliko biliget wa leo hapa duniani ila ukijichanganya ukaenda mbingu ya kikiristo basi we kazi mwanzo mwisho.
We nikusujudu na kuabudu bila kikomo. Hebu jiulize kazi moja inavyochosha ukiifanya kwa masaa ma8 tu hapa duniani sana ukaifanye hiyo kazi masaa yasiyo na hesabu kule mbinguni itakuwaje?
HahahaaaaYahweh ni jina wakati Allah ni title.
mungu yoyote yule kwa kiarabu ni Allah.. hata wa wanyonyi (mungu wa Kenya) kwa kiarabu ni allah.
Hizo dini zipo sehemu nyingi tu hapa duniani sasa sijui huko nako wanaziona za wakoloni au ni sisi ndio wenye mitazamo hiyo? Tatizo sisi bado tunawaza habari za utumwa hadi leo.Sawa!
Ni vizuri kama unatumia miungu ya wakoloni kuishi kwa upendo.
Hapo nakuunga mkono.
Itumie imani ya miungu ya wakoloni, lakini itumie kueneza upendo 👏
Hahahaaaa ahsante kwa elimu mkuuMungu anaetajwa ndani ya vitabu vya bibilia sio huyo imposter.
zingatia kwamba, Mungu wa kwenye Qur'an hajataza jina lake hata sehemu moja, kataja sifa Zake tu.
so, hata wafuasi wake hawamjui jina lake halisi . wao wanajua wanaabudu mungu tu ila jina hawamjui.
Sisi tumezitoa kwa wakoloni.Hizo dini zipo sehemu nyingi tu hapa duniani sasa sijui huko nako wanaziona za wakoloni au ni sisi ndio wenye mitazamo hiyo? Tatizo sisi bado tunawaza habari za utumwa hadi leo.
Hebu fafanua kidogo umekimbia sanaKiufupi Mungu ni mmoja na ndie aliyeumba kila kitu Mungu hajaleta dini iwe mkristo au muislamu bali yeye alileta Wokovu na kuhakikishia kuwa Kati ya madhehebu tu ya krikristo sio yote yanamuabudu Mungu huyo mmoja Waroman,walokole n.k pia waislam hivyohivyo
Mimi nawaambia waislam hawamuabudu Mungu wanaedhani kuwa hivyo hivyo kwa waroma, wasabato na mashahidi wa Yehova wote ni wamashetani pia bila kusahau walokole wengi tu kuliko waliopo katika nafasi ya kweli
Mungu wa wakristo aliumba wakristo tu? Hao majini na watu wa dini zengine muumba wao nani?umepotoka, Mungu wa Wakristo ni Mungu yuleyulew wa Waisrael. yeye hana urafiki wowote na majini.
Mungu ni mmoja ili halina mjadala. ila swala la kuwa Mungu anaetajwa katika biblia kuwa ndiye yule yule wa kuran sio tu ni tata, bali ni uwongo wa maksudi.Point ipo palepale kwamba anayekusudia ni mmoja tu, hakuna Miungu miwili tofauti iliyoumba huu ulimwengu pamoja na sisi binaadamu.
Ngoja nilale kesho nitakuja na maelezo mungu akipendaHebu fafanua kidogo umekimbia sana
Kwani kipi spesho kwa hao mababu? Wao waliishi kipindi chao na kuamini waliyoamini hata hao wazungu na waarabu walikuwa na mababu zao ambao walikuwa wanaamini miungu yao huko. Mkuu haya ni masuala ya imani usiingizii uafrika we acha mtu aamini atakacho mwenye kutaka kuamini imani za mababu aachwe aamini ila sio utake niamini imani za mababu au nisiamini imani fulani kisa mie mtu mweusi.Sisi tumezitoa kwa wakoloni.
Babu zetu hawakuwa na miungu ya biblia na miungu ya kuran.
Lakini kama umeamua kuitumia kueneza upendo, basi sawa 👏
Wewe amini utakachoamini, kikubwa ni upendo.Kwani kipi spesho kwa hao mababu? Wao waliishi kipindi chao na kuamini waliyoamini hata hao wazungu na waarabu walikuwa na mababu zao ambao walikuwa wanaamini miungu yao huko. Mkuu haya ni masuala ya imani usiingizii uafrika we acha mtu aamini atakacho mwenye kutaka kuamini imani za mababu aachwe aamini ila sio utake niamini imani za mababu au nisiamini imani fulani kisa mie mtu mweusi.
Hao wakoloni wameleta mengi tu sio dini ila ajabu mnachokiona ni dini tu ndio kitu cha kukipigia kelele ila vyengine mnavitumia tu, kila jambo lina sababu iwe hizi imani zimekuja kwa ukoloni au biashara zote ni sababu.
Wakati wewe unaona hivyo waislamu pia huona kuwa watu walishachafua mafundisho ya Mungu ndio ikaja Qur'an.Mungu ni mmoja ili halina mjadala. ila swala la kuwa Mungu anaetajwa katika biblia kuwa ndiye yule yule wa kuran sio tu ni tata, bali ni uwongo wa maksudi.
Ninachojua baada ya tukio kubwa la pale msalaban Shetan alijifunua katika njia nyingine ya ujanja ili asisitukiwe na wengi.
Yohana, alishangaa alivyoona Shetan anauwezo wa kujigeuza na kuwa malaika wa Nuru at the same time ni Shetan.
sasa hiyo janja ndiyo kaitumia kuiadaa dunia, watu wengi wanamuabudu Shetan bila kujua.
We jamaa, unataka kusema ukristo tumeutoa wapi kama sio toka kwa agents wa ukoloni ( wamissionary).
We ukristo unaouzungumzia uliletwa na na nani Africa?
Au kuna ukristo tofauti na huu wa biblia?
Hakuna Mungu wa wakoloni tu kama ilivyokuwa hakuna Mungu wa watu weusi tu au waafrika tu, haileti maana kabisa. Mkuu imani ni suala mtu binafsi anaamua mwenyewe si sawa na kabila kwamba utakuwa mzaramo tu kwa sababu baba yako ni mzaramo.Wewe amini utakachoamini, kikubwa ni upendo.
Usisahau tu kuweka mantiki.
Ni kweli wakoloni wanetuachia vitu vingi kwenye tamaduni zao, hivyo kikubwa ni sisi kufikiria kwa mantiki kabla ya maamuzi.
Upo sahihi kabisa kama utaweka upendo kuwa kipaumbele hata kama unaabudu miungu ya wakoloni hamna shida yoyote ile🤝
Unaongea kitu kilekile, kwamba ukristo tumeletewa. Ni sehemu ya tamaduni ya watu wengine.nilikupa keyword Nikitumai kwamba utajisumbua walaghu kugugo ili ujue ikiwa madai yangu ni uwongo ama ni kweli lakini hujafanya hivyo.
wakolon walikuja kwa upya na ukristo,ila ilo haliondoi fact muhimu kuwa ukristo ulikuwepo Africa.
Sudan, Misri etc kwa akina MO Salah uko kote zilikuwa ni ngome ya ukristo.
uko kote concept ya trinity haikuwa shida kwao kuikili hadi pale wajahidina walipoyachukua hayo maeneo.
Ukubwa wa miungu ya wakoloni hakuna wa kuuthibitisha. Ndiyo maana imebaki kwenye imani.Hakuna Mungu wa wakoloni tu kama ilivyokuwa hakuna Mungu wa watu weusi tu au waafrika tu, haileti maana kabisa. Mkuu imani ni suala mtu binafsi anaamua mwenyewe si sawa na kabila kwamba utakuwa mzaramo tu kwa sababu baba yako ni mzaramo.
Tuache hiyo mitazamo ya kuwaza utumwa tu hadi leo kana kwamba tulifanyiwa sisi tu waafrika.
Tangia hapo suala la Mungu ni masuala ya kiimani, ndio maana hata wale wanaoabudu sanamu hawasemi kuwa hilo sanamu ndio mungu mwenyewe.Ukubwa wa miungu ya wakoloni hakuna wa kuuthibitisha. Ndiyo maana imebaki kwenye imani.
Wewe utasema miungu ya wakoloni ni yetu sote kwasababu ya imani yako.
Ila hakuna wa kuthibitisha kama kweli ipo na kama kweli miungu ya wakoloni ni kwaajili ya kila mtu.
Hilo ni swala lako la kiimani.