dormant accont
Senior Member
- Jan 4, 2022
- 154
- 162
Basi sawa!Tangia hapo suala la Mungu ni masuala ya kiimani, ndio maana hata wale wanaoabudu sanamu hawasemi kuwa hilo sanamu ndio mungu mwenyewe.
Kwahiyo sasa kama wewe unaamini kuwa kuna mungu wa waafrika tu basi sawa mwisho wa ndio imani hizo tunazozungumzia hapa.
Wakati wewe unaona hivyo waislamu pia huona kuwa watu walishachafua mafundisho ya Mungu ndio ikaja Qur'an.
Wakati wewe unaona hivyo waislamu pia huona kuwa watu walishachafua mafundisho ya Mungu ndio ikaja Qur'an.
Tangia hapo suala la Mungu ni masuala ya kiimani, ndio maana hata wale wanaoabudu sanamu hawasemi kuwa hilo sanamu ndio mungu mwenyewe.
Kwahiyo sasa kama wewe unaamini kuwa kuna mungu wa waafrika tu basi sawa mwisho wa ndio imani hizo tunazozungumzia hapa.
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri, na mimi nakushauri kwamba usiamini imani kisa ni za mababu zako kwani hata wao walikuwa wanakosea hivyo kuwa mababu hakufanyi kuwa sahihi.Basi sawa!
Kikubwa ni upendo na mantiki.
Kama ukifiria kwa makini unaona ni sawa kuabudu miungu ya wakoloni basi fanya hivyo.
Kikubwa hiyo miungu ikuongoze kufanya upendo 🤝
Mimi siamini kwa miungu yoyote ile.MSawa mkuu nashukuru kwa ushauri, na mimi nakushauri kwamba usiamini imani kisa ni za mababu zako kwani hata wao walikuwa wanakosea hivyo kuwa mababu hakufanyi kuwa sahihi.
Kwahiyo tafuta unachoona ni sahihi na si urithi wa mababu.
Sasa hauamini miungu yeyote ile ila umeshikilia kupiga vita aina fulani ya miungu kana kwamba ndio miungu pekee ambayo una tatizo nayo au una ubaguzi na wazungu na waarabu mkuu?Mimi siamini kwa miungu yoyote ile.
Naishi kwa mantiki na uthibitisho nimechagua kuongozwa na upendo.
Hivyo, acha upendo utuongoze wote.
Na Muislam anamwamini Mwamedi kuwa ndio Mtume wa AllahMkristo anaamini Mungu wake ni Yesu/Yesu ni mwana wa Mungu na Mungu kawaumba kwa mfano wake na huyo yesu wanaweza kumuomba msamaha akawasamehe, na Yesu ndie anatetukuzwa sana katika ibada watu wanaomba kwa jina lake
Muislam anaamini Mungu wake ni mmoja tu hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja na huyo Mungu ndo anafaa kutegemewa na kuombwa msaada, Na anaetukuzwa ni huyo Mungu tu ndo anaombwa kwa jina lake pekee.
Mkristo na Muislam Hao hawaamini kitu kimoja
Unaongea kitu kilekile, kwamba ukristo tumeletewa. Ni sehemu ya tamaduni ya watu wengine.
Tanzania hakuna nabii aliyezaliwa na kuanza kuwahubiria watanzania akaandikwa kwenye biblia.
Unazunguka ila unarudi pale pale, kuwa miungu ya biblia sisi Tanzania tumeletewa na watu toka nje na wala si ya kwetu na hamna wa kuthibitisha kama ipo kweli.
Basi, ngoja nisipige vita miungu yako ya wakoloni.Sasa hauamini miungu yeyote ile ila umeshikilia kupiga vita aina fulani ya miungu kana kwamba ndio miungu pekee ambayo una tatizo nayo au una ubaguzi na wazungu na waarabu mkuu?
Lakini pia Upendo sio suluhu ya kila kitu mkuu kwenye maisha kuna mengi sana upendo ni sehemu tu.
So, tumekubaliana kuwa wakoloni sio waliouleta ukristo kwa mara ya kwanza Africa?.
Ni jibu hapo then tu-expand
Ilianzishwa baada ya miaka 600 Yesu Mungu kupaa mbinguni. Muanzilish wa Uslam mwamedi alikuwa anacopy na kupesti na kuformat kutoka kwenye Biblia takatifu. Angeinzisha kivyake bila kuiga iga INGEPENDEZA sananKwanini unasema waislamu ndio wanaiga?
Uliniquote lkn sioni maneno yko itakua uliandika maneno ya chuki sana ndo mna ata siyaoniIlianzishwa baada ya miaka 600 Yesu Mungu kupaa mbinguni. Muanzilish wa Uslam mwamedi alikuwa anacopy na kupesti na kuformat kutoka kwenye Biblia takatifu. Angeinzisha kivyake bila kuiga iga INGEPENDEZA sanan
Sawa sawa mkuu maana si unajua huwezi kuwakwepa wakoloni hata wewe hapo mkuu hicho kifaa unachotumia kuingilia hapa Jf tukaweza kuwasiliana kama hivi ni kazi ya wakoloni, leo hii tiba zetu ni za wakoloni elimu yetu ya wakoloni yani kila kitu. Si ajabu hata wewe mkuu hadi umekuwa atheist ni kwa sababu ya kusoma vitabu vya wakoloni hao hao.Basi, ngoja nisipige vita miungu yako ya wakoloni.
We abudu miungu ya wakoloni.
Mimi nimeona upendo ni kitu sahihi, wewe chagua kuabudu miungu ya wakoloni na kufanya yaliyosahihi kama unaona yapo mengine tofauti na upendo.
Kikubwa ni miungu yako ya wakoloni isikuongoze kutenda maovu.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu ndani yake kunaelezwa mitume/manabii mbalimbali waliyokuwepo kwenye vipindi tofauti tofauti wakieleza mambo tofauti tofauti.Ilianzishwa baada ya miaka 600 Yesu Mungu kupaa mbinguni. Muanzilish wa Uslam mwamedi alikuwa anacopy na kupesti na kuformat kutoka kwenye Biblia takatifu. Angeinzisha kivyake bila kuiga iga INGEPENDEZA sanan
Tukianza kuichambua hiyo quran yako utaanza kukasirika, nakushauri usikosoe wengine wanachoamini kwani nasi tutakuja huko kwako!weli Mungu ni mmoja tuu
ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa
ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
Na bado kuna watu wanaamini huu upuuzi wa hivi vitu kuwepo mbinguni, nahisi vitabu vingine ni vya yule mwovu.Tatizo mbingu ya wakiristo imetupunja sana wanaume. Yenyewe haina bia, madem bikra 72, haina mito ya maziwa na bahari ya asali
unaona sasa chuki zako izoNa bado kuna watu wanaamini huu upuuzi wa hivi vitu kuwepo mbinguni, nahisi vitabu vingine ni vya yule mwovu.
Bia tamu, asali tamu, maziwa na mademu tunawahitaji. Acha si tufukuzie huku tutapata tunachokitafuta!!Na bado kuna watu wanaamini huu upuuzi wa hivi vitu kuwepo mbinguni, nahisi vitabu vingine ni vya yule mwovu.