MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
4,994
Reaction score
9,625
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.

Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.

Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.

Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu amemkufuru Mungu.

Ndugu zangu hapa duniani tunaishi mara moja tu....tunakufa na jua kuwa tutafufuliwa na kwenda kuulizwa juu ya imani tulizokuwa nazo na kuzifuata hapa duniani.

Vp utakufa hali ya kuwa ulifuata imani inayosema kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja na amezaa mtoto? au amezaliwa na Mwanamke?

Kumbuka kuwa hakuna chance mbili...!! Tukiipoteza hii nafasi jua huko tuendapo kuna PEPO (paradise) na MOTO (Hellfire). Na huko hakuna kufa ...Kama utaingia Peponi jua utadumu humo milele na kama utakuwa umekufuru na kuingia Motoni jua pia humo utadumu na kuishi milele ukitumikia adhabu kali kutoka kwa Mungu.
 
Quran 9:30-31

"Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"

Wamewafanya makuhani wao na wamonaki wao kuwa ni marabi badala ya Mwenyezi Mungu, na pia Masihi bin Maryamu. Na wala hawakuamrishwa isipo kuwa wamuabudu Mungu Mmoja, hapana mungu ila Yeye. Subhanahu, Ametakasika na hayo wanayo mshirikisha nayo.
 
Enyi mlio amini! Hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Na wanao kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wabashirie khabari ya adhabu iliyo chungu.

~Quran 9:34
 
Kwanini Mungu asijitetee mwenyewe?

Kuishi milele sounds terrible na kuwachoma watu milele ni ukatili. Mungu wenu atakua katili sana akiwa hivyo. Wewe huwezi hata kumchapa mwanao ila Mungu wenu anawachoma milele huku anafurahia show.
 
Mungu ataitekekeza dhambi na muasisi wa dhambi,Hivyo ukiamua kuing'ang'ania dhambi lazima uende nayo
 
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.

Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.

Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.

Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu amemkufuru Mungu.

Ndugu zangu hapa duniani tunaishi mara moja tu....tunakufa na jua kuwa tutafufuliwa na kwenda kuulizwa juu ya imani tulizokuwa nazo na kuzifuata hapa duniani.

Vp utakufa hali ya kuwa ulifuata imani inayosema kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja na amezaa mtoto? au amezaliwa na Mwanamke?

Kumbuka kuwa hakuna chance mbili...!! Tukiipoteza hii nafasi jua huko tuendapo kuna PEPO (paradise) na MOTO (Hellfire). Na huko hakuna kufa ...Kama utaingia Peponi jua utadumu humo milele na kama utakuwa umekufuru na kuingia Motoni jua pia humo utadumu na kuishi milele ukitumikia adhabu kali kutoka kwa Mungu.
Na hiyo ndio imani yako, shikilia hapo hapo, ila usiwatingishe wenzako walikoshikillia
 
Una uhakika Yupo?
 
Kwanini Mungu asijitetee mwenyewe?

Kuishi milele sounds terrible na kuwachoma watu milele ni ukatili. Mungu wenu atakua katili sana akiwa hivyo. Wewe huwezi hata kumchapa mwanao ila Mungu wenu anawachoma milele huku anafurahia show.
Watu waliopita kabla yako walidai kama haya unayoyadai wewe leo hii ila Mungu aliwajibu hivi

Quran 6:8

"Na wao husema: Mbona hakuteremshiwa Malaika? Na kama tungeli teremsha Malaika, basi bila ya shaka ingesha hukumiwa amri, tena hapo wasingeli pewa muhula."
 
Haya ni masimulizi Tu ya Hadithi za kale
 
DUNIANI TUMELETWA NA MUNGU ILI TUJARIBIWE

Quran 67:1-2

" AMETUKUKA ambaye mkononi mwake umo Ufalme wote; na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha."
 
Na hiyo ndio imani yako, shikilia hapo hapo, ila usiwatingishe wenzako walikoshikillia
Hata mitume iliyopita ilijibiwa mfano wa haya unayoyaongea hapa

Quran 7:70
" Wakasema: Je! Umetujia ili tumuabudu Mwenyezi Mungu peke yake, na tuyaache waliyo kuwa wakiyaabudu baba zetu? Basi tuletee hayo unayo tuahidi, ukiwa miongoni mwa wasemao kweli."
 
Watu waliopita kabla yako walidai kama haya unayoyadai wewe leo hii ila Mungu aliwajibu hivi

Quran 6:8

"Na wao husema: Mbona hakuteremshiwa Malaika? Na kama tungeli teremsha Malaika, basi bila ya shaka ingesha hukumiwa amri, tena hapo wasingeli pewa muhula."
Udini hupumbaza.
Unamzungumzia Mungu ila reference unaleta quran iliyotungwa na mwanadamu.
 
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.

Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.

Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.

Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu amemkufuru Mungu.

Ndugu zangu hapa duniani tunaishi mara moja tu....tunakufa na jua kuwa tutafufuliwa na kwenda kuulizwa juu ya imani tulizokuwa nazo na kuzifuata hapa duniani.

Vp utakufa hali ya kuwa ulifuata imani inayosema kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja na amezaa mtoto? au amezaliwa na Mwanamke?

Kumbuka kuwa hakuna chance mbili...!! Tukiipoteza hii nafasi jua huko tuendapo kuna PEPO (paradise) na MOTO (Hellfire). Na huko hakuna kufa ...Kama utaingia Peponi jua utadumu humo milele na kama utakuwa umekufuru na kuingia Motoni jua pia humo utadumu na kuishi milele ukitumikia adhabu kali kutoka kwa Mungu.
Umejuaje au kwa nini hayo unayoamini wewe ndio imani sahihi ya mungu??
 
Back
Top Bottom