MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

Hakuna kitu kinaitwa Mungu bila uthibitisho zaidi ya upumbavu tunaojitwika tu
Sio upumbavu... Ni kukosa maana ya kitu kikubwa kuliko wewe. Kila jamii unaamini kuna source ya ulimwengu nayo ndo chanzo cha kila kitu.... Nacho ni Mungu.
 
Utajijua mwenyewe, wengine maisha yanaendelea.Kwa mimi mnapoteza muda kubishana vitu ambavyo huwezi kuvithibitisha??
 
aliamua vyote viwepo..Yeye ndiye muumbaji, hapangiwi hata akiamua kutuchoma moto wote bado sisi ni wake...hata akiamua kutupa maisha ya raha peponi wote ni wake....So wewe kiumbe huna haki yoyote ya kumuhoji mfalme wa ulimwengu.

Kama hatuna haki tunamjadili wa nini? Kwanini mnatumia sana nguvu kumtetea na kutulazimisha tumkubali wakati hatuna haki anafanya anachokitaka?

Hizi story zenu huwa hazimake sense kabisa.
 
Peleka ujinga huko.
 
Sio upumbavu... Ni kukosa maana ya kitu kikubwa kuliko wewe. Kila jamii unaamini kuna source ya ulimwengu nayo ndo chanzo cha kila kitu.... Nacho ni Mungu.
Haujatosha bado kunijibu hivyo asante kwa kushiriki
 
Chanzo cha taarifa? Au unaripoti kutoka peponi
 
Bwashee ww umejiumba? Ata iyo simu unotumia imetengenezwa na binadamu ambae hata humjui kwanini ukatae kua hakuna Muumba ?
Yaye mungu kaumbwa na nani?
 
Umejuaje kma hafanani na yeyote?
 
Mkuu sema kutokana na imani yako ya kidini ndivyo unavyoamini hivyo. Ndiyo maana hata nukuu unazitoa kwa mkutadha wa kitabu cha dini yako.

Lakini tambua ya kuwa umekuwa na imani hiyo kwa sababu za kimazingira na kiikolojia. Mazingira yame ku shape kutokana na kizazi ulichotokea, yaani kuzaliwa, kukuza, na kukulea.

Ikolojia ime ku shape zaidi kwa kukufundisha elimu mbalimbali, kukupa msisitizo wa kile ambacho waliokutangulia walikutaka uwe hivyo ulivyo.

With this background, kama ungalizaliwa katika jamii ya Kibuddha ungalikuwa Buddha, hali kadhalika Ukristo, Uyahudi, Ujadi n.k.

It is plain reality that subset is the essential part of the set, but universal set is everything to both of them, 'cause they are in it.

Shika ulichonacho, kwa kuwa kile unachoamini wewe ni upuuzi kwa watu walio kuwa na Imani tofauti na yako. Jambo la msingi, tafuta platforms sahihi zenye kuendana na Imani yako ili uzidi kujijenga kiimani na uzidi kupata ufahamu juu ya Uungu, yaani God Head.
 
Wewe ni mfuasi wa taasisi gani ya dini gani hapa duniani
 
Swali ni moja
wewe ulishawahi kumuona mungu au kukutana nae?

Na kama mlikutana nae yupoje?
 
Wewe ni kondoo mana hata historia ya kurani na uisalam huijui na huna akili nje ya huu upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…