Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Pole mkuu hujafa hujaumbika, Mungu akutie wepesi upone haraka uendelee na majukumu yako ya kila siku.

Napenda kutumia wasaa huu kukusisitizia usije ukajaribu kwenda Muhimbili kwa ajili ya matibabu.

Don't Ever.!!

Watu watakuja kukuponda ila ukweli ndo huo jamaa wanafanya maamuzi ya kibabe kwa majeruhi wa bodaboda
 
Pole sana .
Naelewa maumivu yake , pona haraka chief , tunakuhitaji kwenye kuzipambania afya za watanzania.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Dreva wangu alikua yupo right dereva wa gari ndio katugonga sisi..
Hili pia huwa linatokea. Una kutana na dereva kichaa anahamishia balaa kwako. All in all, bodaboda siyo usafiri salama. Kimsingi sehemu kama Dar, uendeshaji ni mbaya sana kiasi ambacho hata ukiwa kwenye gari unakuwa na wasiwasi. Afadhali ya gari ni kuwa unakua uko ndani na impact ya ajali haikupati vibaya kama uko na bodaboda. Tangu siku nilipojiuliza, mbona hakukuwa na bodaboda na maisha yalienda, uchukuaji wa boda kwangu umekuwa nadra mno, tena kwenye barabara ndogo za mitaani tu.
 
Get well soon Brother
 
Utapona mkuu jikaze, na pole sana.

Ukweli ni kwamba...unapopanda bodaboda hasa Dar...

Kuna nusu ya malaika hushika matarumbeta kusubiria signal waanze kuimba...parapanda parapanda italia
 
Pole sana Mkuu.
Catheter habari nyingine Mzee
Halafu ukikutana na mtu akaweka vibaya daaah.
Mungu akujaalie uponyaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…