kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Pole mkuu, get well soon! Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu hujafa hujaumbika, Mungu akutie wepesi upone haraka uendelee na majukumu yako ya kila siku.
Napenda kutumia wasaa huu kukusisitizia usije ukajaribu kwenda Muhimbili kwa ajili ya matibabu.
Don't Ever.!!
Pole sana .Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater
Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Dah![emoji29]Ntapiga picha mkuu ntaziwekaa hapa nikipata wasaa
Nimevunjika mguu wa kushoto kwenye kiwiko Cha mguu na kwenye ugoko
Pia kulia Nina majeraha na maumivu sanaa ila sijavunjika mguu
Hapa sijiwez Kwa chochote ni wakubebwa
😂😂😂😂 labda wanawapa wake zao mkuu😂😂😂😂😂Kuna majamaa ya kiume humu utakuta yanabonyeza hii Link.
Hili pia huwa linatokea. Una kutana na dereva kichaa anahamishia balaa kwako. All in all, bodaboda siyo usafiri salama. Kimsingi sehemu kama Dar, uendeshaji ni mbaya sana kiasi ambacho hata ukiwa kwenye gari unakuwa na wasiwasi. Afadhali ya gari ni kuwa unakua uko ndani na impact ya ajali haikupati vibaya kama uko na bodaboda. Tangu siku nilipojiuliza, mbona hakukuwa na bodaboda na maisha yalienda, uchukuaji wa boda kwangu umekuwa nadra mno, tena kwenye barabara ndogo za mitaani tu.Dreva wangu alikua yupo right dereva wa gari ndio katugonga sisi..
Ficha ujinga wakoPole!
Ila wewe ni Dr mjinga sana....unapanda pikipiki?....ulitrain wapi bwashee?....
Get well soon BrotherAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Utapona mkuu jikaze, na pole sana.Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hata wewe mamaUmeadimika jamni
Pole sana Mkuu.Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Amevunjika mguu so hawezi kuinuka kwenda haja lazima awekewe mpira ili amalize shughuli hapo hapo na mguu usipate disturbanceSababu ya kukuwekea urinary catheter ni ipi?
Pole sana upone haraka.