Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Masikini Mungu ampe nguvu. Sisi wanawake huwa tunapitia wakati mgumu sana kusikia wenzetu wamepata ajali na majeraha kama hayo.

Mimi wangu hakuvunjika ila nilikaribia kupata kichaa na alinificha kama hivi wewe.
Na nilimlaumu sana japo wewe nakuunga mkono kwa kuwa ni mjamzito. Tafuta sababu nzuri ya kumpa kwa kutokurudi kwako nyumbani, na ikiwa vyema ongea nae kabisa.
 

Nimeongea nae analia tu anasema namficha nini kaambiwa nimepata ajar

Mshituko ni mbaya sana Kwa wajawazito
 
POLE SANA

1.
Unapaswa kumshukuru Mungu na ufahamu kuwa Mungu ana sababu zake za kuendelea kukuacha hai.
2. Unafahamu mwenyewe kuwa katika ajali hiyo nani aliyekuwa na makosa. Pia, kwa kuwa usafiri wako sometimes ni bodaboda hakikisha unamchagua bodaboda aliyesahihi. Usafiri wa bodaboda ni Risky, chagua unayemwona anajielewa.

Get Well Soon Brother!!
 
Mungu akuafuaan
 
Get well soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu akuponye[emoji1431].
 
Sasa unachomshukuru mungu ni kipi?
Kukufanya upande hiyo bodaboda, au kukufanya uvunjike huo mguu? Ama kukufanya uheme na mguu huna?
1:Mungu alikuwa na uwezo wa kumfanya afike monchwari badala ya wodini..
2:Kumfanya ashindwe kuandika hii habari jamiiforum wakati akiwa ana pumua
3:Kumfanya avunjike miguu yote badala ya mmoja...

imeandikwa tushukuru kwa kila jambo mkuu kile ambacho unakiona kama mkosi kwako kuna mwingine anamuomba Mungu ampe walau hicho kuliko linalomkumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…