Mungu ni mwema nimemaliza miezi mi Nne bila kufanya mapenzi, kuvuta sigara, kunywa pombe.

Haya, umepita mtihani wako, kasomee upadre au ushemasi au ukatekista sasa.
 
Huenda hivi vitu vinaenda na umri, sikuwahi kuwaz kuwa naweza kuiona ngono kama kitu cha kawaida, ila leo naweza kukaa hata mwezi na wala mwili haushtuki, is it umri au ni kitu gani!
 
Hongera sana kwa kipindi hiki cha mwanzoni jitahid usikae karibu na hvyo vitu ulivyoacha mm nina utafuta mwaka wa pili bila pombe,sigara,ugoro bangi nimeacha wakati naanza kuacha nilikuw nakaa mbali na hvyo vitu ila sasa hata niwe nao karibu frsh tu
 
Hakika mkuu na mimi nimejiepusha kozi nilianza nikiwa chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…