Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Unamwombea afya kwani kwenye madhila tunayopitia sisi watanganyika yeye hausiki? Yupo ndani ya ccm na serekali kwa miaka na mikaka.Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu. Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake. Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi. Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama. Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Kibenten chakeHalafu ampe Bashite hicho cheo
we Red hizi habari umetoa wapi? umeanza lini haya mambo kwanza π±huyo jamaa ndio mafwale kashachora plan nzima ya jinsi ya kumuua nchimbi halafu anakuja hapa kupima upepo je akikeleza hayo mauaji itakuaje,
π zinaogofya sana?we Red hizi habari umetoa wapi? umeanza lini haya mambo kwanza π±
Wapi nimesema ni mgonjwa ? Una akili sawa sawa.Una andika majibu Yako na kushangaa Mwenyewe ulicho andika.Tayari ushaamini nchimbi mgonjwa na atakufa soon, akili zenu bana!
Hana lolote!! Labda atabiri kifo chako.We ni mgeni humu? Alitabiri kifo cha JPM na cha Ben Saanane nyuzi zimo humu.
Emmanuel Nchimbi alikuwa na kejeli sana kwa vilio vya wananchi wanoatekwa na kupoteza. Alifikiri hatafikiwa
Amekuwaje kwani????
Propaganda zinasambaaAmekuwaje kwani????
Duhhhhhhhh!! Siasa sio poaa lo unachezewa mchezo hivihiviii na ukikaa kizembe kwishaaaPropaganda zinasambaa
Yatamkuta kama ya Jenista Mhagama. We subiri tu. Samia ni muuaji na shetani asiyefaa kabisa.Zile ziara kuwatembelea wastaafu alitumwa au alijituma!? Maana baada ya pale ikawa AWOL
πππππIngeanza Moja kisha Mbili
Bila kusahau Nyongeza ya Lopo lopo