Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

Nilidhani ni masihara kumbe ni kweli Samuya amedhamiria kumuua makamu wake
Kwani hili nalo alishauriwa na washauri wake wapya Kassim na Mpango, aliowateua hivi karibuni; au ni ushauri ule ule kutoka Msoga?

Napata shida sana kushiriki kwenye mada mbovu kama hii, lakini imenibidi niulize hili swali; kama kuna mwenye jibu.
 
Kwani hili nalo alishauriwa na washauri wake wapya Kassim na Mpango, aliowateua hivi karibuni; au ni ushauri ule ule kutoka Msoga?

Napata shida sana kushiriki kwenye mada mbovu kama hii, lakini imenibidi niulize hili swali; kama kuna mwenye jibu.
Sasa hivi kuna jopo la waganga kutoka Nigeria ndiyo washauri wake wakubwa.
 
Kwani yeye alipatikaneje?
Giza na mwanga hujitenga.

Kwa umri wake na Vyeo ambayo alisha wahi tumikie hawezi kosa hela ya kula hadi mwisho wake.
Bado haja chelewa anyooshe mikono juu.
 
Hii ni mada ya ku IGNORE na kuitupa kwenye trash bin🗑 .

Mtoa mada TumainiEl yeye ni team SUKUMA GANG. Na muda mrefu hajatokea kwenye mkeka kwa vile Sukuma Gang imesambaratishwa.

Hii huruma ya kumhurumia Emmanuel Nchimbi kama kweli amepangwa kuuawa inatokea wapi kwa TumainiEl ?? Kwa jinsi siasa zilivyo kwenye hizi kambi ni kwamba, namna Kambi ya Samia inavyoharibikiwa ndiyo furaha ya kambi ya Sukuma Gang na kambi zingine including ile ya akina Januari.

Hizi ni habari za UWONGO
 
Kosa lake ni kujiunga na hawa ******* aka Serial killers - kazi anayo na alichomoka basi akachinje kuku kwao peramiho.
 
Wanaoamini mashetani wanamuona amewasaliti kwa kuwa neutral kwenye uharamia wao
 
Wazee wa kubeti mmerudi ...tuwaite wa kubeti ama manabii uchwara? Kwanini hua hamuoti sijui kuoneshwa mambo mazuri kuhusu nchi? Nyie mnaoteshwa ama kuoneshwa Vifo na uchawi tu ..mambo ya kimaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…