Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

Mungu wa Israel anawataka wa Israel wachukue watumwa ambao si wa Israel

Leviticus 25:45-47 "Your male and female slaves are to come from the nations around you; from them you may buy slaves. You may also buy some of the temporary residents living among you and members of their clans born in your country, and they will become your property. You can will them to your children as inherited property and can make them slaves for life".

Pia una watuma ni property

Exodus 21:20-21 ""If a man beats his male or female slave with a rod and the slave dies as a direct result, he must be punished, but he is not to be punished if the slave gets up after a day or two, since the slave is his property.

BIBLE IS MANIPULATIVE TEXTBOOK FOR JEWISH SUPERIORITY OVER OTHER HUMAN BEINGS
 
Kuna watu wanatamani babu zao wangechukuliwa utumwa ili wazaliwe mbelez you know. Anyway, kuna kitu sijaielewa kama Mungu muweza wa yote alikua wapi kipindi shetani anashawishi malaika wengine wamuasi na kuanzisha vita kule kwenye makazi yake mbinguni?
 
Ahsante sana Kwa reference hii tusubiri mawakala wake waje watuambie kwanini Mungu mwenyewe aliamua kuanzisha na kuhalarisha utumwa jamii dhidi ya jamii zingine
 
Kuna watu wanatamani babu zao wangechukuliwa utumwa ili wazaliwe mbelez you know. Anyway, kuna kitu sijaielewa kama Mungu muweza wa yote alikua wapi kipindi shetani anashawishi malaika wengine wamuasi na kuanzisha vita kule kwenye makazi yake mbinguni?
Jibu Kwanza hili. Je,Mungu huwa anakuwa wapi wakati wewe unaamua kufanya chochote unachojisikia hata kama ni kibaya?
 
Yeye ni Alfa na Omega hata kwenye ushetani wa watu waliopotoka?. Kwamba yeye ndiye muasisi wa upotofu wao?. Ndivyo ulivyolielewa andiko hilo?
Kama yeye hausiki na huu uovu kwanini anatangaza kutoa adhabu kali Kwa wakosefu
 
Meaning Mungu alikosa njia nyingine nzuri na sahihi hadi kutumia njia ya kutweza utu wa watu... Ila tuna ambiwa yeye ni mbora kwenye kupanga why alishindwa katika hili
Mungu hana njia Nzuri au Mbaya... Njia zake zote ni Njema.

Ni kama baba kwa mwanaye, kumtandika bakora mwanao wakati unamfundisha sio Njia mbaya.
 
Huo uwezo wa kuwa upande wa MEMA na MABAYA hatukupewa na Mungu bali tulijipa wenyewe kwa kuasi maagizo yake!
Hakuna maagizo ya Mungu ambayo tumehasi nakataa ila ukiangilia Kwa picha Pana Uhuru wake ni just an illusion
 
Back
Top Bottom