Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

Tukiwaambia MUNGU mnaemwabudu Ni Mungu WA wayahudi tu muwe mnaelewa na mnaacha shobo zenu.

Imagine wayahudi walinyanyasika utumwani miaka 40 tu, Mungu akawaonea huruma na akamtuma nabii wake MUSSA ili akawaokoe chap.

Ila Waafrika wamenyanyasika utumwani miaka zaidi 350 Ila Mungu hakustuka na Wala hakuna nabii yeyote aliewai kutumwa afrika ili kuja kuwaokoa waafrika Toka utumwani Hadi waafrika wenyewe walipopambana Kwa marungu na shoka kuudai uhuru wao.

Afu Bado unashangaa Kuna miafrika Bado inahangaika na Mungu WA wayahudi.
 
Ili auoneshe U-Omega wake!
Kama nguvu unazo sasa kwanini unataka uoneshe kama una nguvu mi nadhani ingekuwa ni vizur angejikita kwenye kupambana na majanga makubwa kama vile global warming, njaa na magonjwa
 
Tukiwaambia MUNGU mnaemwabudu Ni Mungu WA wayahudi tu muwe mnaelewa na mnaacha shobo zenu.

Imagine wayahudi walinyanyasika utumwani miaka 40 tu, Mungu ikamkera Sana na akamtuma nabii MUSSA ili akawaokoe chap.

Ila Waafrika wamenyanyasika utumwani miaka zaidi 350 Ila hakuna nabii yeyote aliewai kutumwa afrika ili kuja kuwaokoa waafrika Toka utumwani.

Afu Bado unaishangaa Kuna miafrika Bado inahangaika na Mungu WA wayahudi.
Yaani ina unamiza sana ukiona ndugu zetu wamesahau mapitio yetu
 
Huo uwezo wa kuwa upande wa MEMA na MABAYA hatukupewa na Mungu bali tulijipa wenyewe kwa kuasi maagizo yake!
Yeye ndiye aliyekuambia mti huu ukila matunda yake utakua na uwezo wa kujua mema na mabaya. Sasa anakuwekea mti sehemu unayoweza kuifikia, kisha anakuambia kabisa kuhusu mti huo halafu wewe unajisifia kuhusu kujua mema na mabaya wakati hayo MEMA na MABAYA yenyewe ameyaumba yeye
 
Kama nguvu unazo sasa kwanini unataka uoneshe kama una nguvu mi nadhani ingekuwa ni vizur angejikita kwenye kupambana na majanga makubwa kama vile global warming, njaa na magonjwa
Hayo ni majanga ya kitoto Sana. Wewe ndo unayaona makubwa!
 
Huwa anawasikiliza na kuwakomboa wazungu tu ndio maana watawaliwa wanaomba na kulia na kufanya vituko vingine km chumvi na udongo wa upako na bado majanga yanaishi Afrika. Kumbuka utumwa ulikua miaka zaidi ya 400 sio miwili wala mitano! Karne 4 na zaidi alikua wapi?
 
Aje atuambie alikuwa wapi wakati ndugu na jamaa zetu wanauzwa sokoni kama bidhaa yeye alikuwa anafanya nini
Wakati wewe unaamua kufanya chochote unachojisikia hata kama ni kibaya je,Mungu huwa anafanya nini?. Akiingilia maamuzi yako utamfurahia au utamchukia?.
 
Atheists wa Jf bhana! Mtu mmoja dhaifu kabisa aliyeumbwa kutokana na manii eti anamuuliza Muumba wa kila kitu, aliyeuumba Ulimwengu wote huu, anamuuliza Muumba wa vyote vilivyomo na Mwenye kuvimiliki na Mwenye kuendesha mambo. Muumba wa kila kitu na Mwenye kustahiki kuabudiwa, ALLAAH, Muweza juu ya kila kitu na ANAYEFANYA ANACHOKITAKA.

ALLAAH Ambaye

لَا يُسۡـَٔلُ عَمَّا يَفۡعَلُ وَهُمۡ يُسۡـَٔلُونَ

"He cannot be questioned as to what He does, while they will be questioned"

"Yeye hahojiwi kwa ayatendayo, na wao ndio wanao hojiwa kwa wayatendayo"
(Qur-aan 21:23)


YEYE ni Mkwasi, Asiyehitajia kutoka kwa Viumbe ila Viumbe vinamhitajia YEYE


هُوَ ٱللَّهُ ٱلَّذِى لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ عَٰلِمُ ٱلْغَيْبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ هُوَ ٱلرَّحْمَٰنُ ٱلرَّحِيمُ

"He is Allah, than Whom there is La ilaha illa Huwa (none has the right to be worshipped but He) the All-Knower of the unseen and the seen (open). He is the Most Beneficent, the Most Merciful."

هُوَ ٱللَّهُ ٱلَّذِى لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلْمَلِكُ ٱلْقُدُّوسُ ٱلسَّلَٰمُ ٱلْمُؤْمِنُ ٱلْمُهَيْمِنُ ٱلْعَزِيزُ ٱلْجَبَّارُ ٱلْمُتَكَبِّرُ سُبْحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يُشْرِكُونَ

"He is Allah than Whom there is La ilaha illa Huwa (none has the right to be worshipped but He) the King, the Holy, the One Free from all defects, the Giver of security, the Watcher over His creatures, the All-Mighty, the Compeller, the Supreme. Glory be to Allah! (High is He) above all that they associate as partners with Him."

هُوَ ٱللَّهُ ٱلْخَٰلِقُ ٱلْبَارِئُ ٱلْمُصَوِّرُ لَهُ ٱلْأَسْمَآءُ ٱلْحُسْنَىٰ يُسَبِّحُ لَهُۥ مَا فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلْحَكِيمُ

"He is Allah, the Creator, the Inventor of all things, the Bestower of forms. To Him belong the Best Names. All that is in the heavens and the earth glorify Him. And He is the All-Mighty, the All-Wise."

(QUR-AAN 59 : 22-24)

ALLAAH,

وَهُوَ ٱلْغَفُورُ ٱلْوَدُودُ

"And He is the Oft-Forgiving, the Loving (towards his believing servants, Who is loved by them)."

ذُو ٱلْعَرْشِ ٱلْمَجِيدُ

"Owner of Throne, the Glorious One (or: Owner of the Glorious Throne)."


فَعَّالٌ لِّمَا يُرِيدُ

"Doer of whatever He wishes (with none to hinder or stop Him)."

(Qur-aan 85 : 14-16)

MOLA MLEZI WA WALIMWENGU WOTE.

Wewe unamuuliza hivyo kama nani?


Unamjua unayemuuliza?

Submit kwake na ujisalimishe na unyenyekee kwake, kuwa Muislam.

Ametakasika ALLAAH
 
FB_IMG_1741498847858.jpg
 
Back
Top Bottom