Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

Kumbe unaitwa myebusi wewe Adui wa Israeli
Israeli hana shida ukimbariki utabarikiwa
Tatizo watu hamijui historia

Mnarukia gari kwa mbele

Hata huyo mnaye muunga mkono mnafuata habari Za kuambiwa bila kufanya utafiti

Ndio maana mnateseka

Acheni kukurupuka
 
Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara? Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake. Mfugaji ndiye hakimu wa mifugo yake. Ushindwe na kuregea kwa jina la YESU.

Huu mfano[emoji28][emoji28]
 
Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso.

Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia.

Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo, including vitabu ambavyo wakristo wengi hawasemi (apocrypha: Mfano: vitabu vya Enoch, na Injili ya Thomas) shetani ameua watu 10 tu!!! Watoto wa Ayubu... Basi.

Kwa kuangalia vitabu canonical tu (Vitabu 66 vinavyosomwa na madhehebu yote) Mungu ameua watu 2,476,633 ambao wametajwa kwamba wameuliwa na mungu au wameuliwa kwa amri ya mungu. Na hii haihesabu watu waliokufa kwenye gharika, au mauaji ambayo idadi haikutajwa.

Israel wanafanya exactly walichoambiwa wafanye kwenye biblia. Kuua watu wote wasio Waisraeli wanaojaribu kuishi eneo la Levant (Caanan).

So, kama unataka kujua mungu wa biblia ni mungu gani, angalia wanachofanya sasa hivi Israel. Huyo ndio mungu wa Biblia. Mungu wa kifo na sio uzima. Mungu wa vita na sio amani.

ASILI KWANZA!
Kuna wahuni hapa katikati ndiyo wanaharibu sifa ya kweli ya Mungu kwamba anaua ili kututisha, kiukweli Mungu ni mwema ila lile genge la kukusanya pesa kwa kisingizio cha sadaka na lile genge la wanaonajisi watoto wakiwa chini ya mwavuli wa vitabu vitakatifu ndiyo waliotengeneza hivyo vitisho na kuupotosha mambo mengi
 
MUNGU wa Biblia ukimbariki anakubariki,ukimlaani unalaniwa,kwa hiyo mzingueni muone

Ukimwendea kwa adabu naye atakujia kistrabu

Ukiua Watu wake na wewe utauliwa

Mwanzo 12:1-
😒 kwahiyo analipa kisasi jaman Sa sisi tunajua nini jaman viumbe wadhaifu sisi.
 
Dini za middle east zimetuvuruga sana,mimi nazitumia kusocialize tu ila imani yangu hasa niya asili ya wazee wangu.
 
Mungu aliyeumba Mbingu na Ardhi yeye haui watu.
Bali anawa ahirishia muda wao wa kuishi duniani kama hawamridhishi.

Kitu unachokitengeneza wewe mwenyewe ukiamua kukifuta itakuwa hujakiharibu bali kuahirisha kazi yako ya kitu hicho kuwepo.

{Mwanzo (Gen) 2:7
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

And the LORD God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living soul.}

Kwenye hiyo Aya panaonesha kuwa Mungu akipenda anaichukua Pumzi yake aliyemwekea Mwanadamu na huyo Mwanadamu anakoma kuishi hapo hapo.

Anaye uwa watu ni yule ambaye hana mchango wowote kwenye uhai wa huyo Mwanadamu.

Hivyo Basi kiumbe chochote kikimtoa roho kiumbe kingine basi kinahesabiwa kama kimefanya mauaji.

Wewe ukimwua mtu umefanya mauaji kwakuwa hukumwumba huyo mtu.

Ushafahamu hapo Shekhe.
 
Aliangamiza nchi nzima ya Sodoma.
Akaangamiza Gomora
Akaangamiza ulimwengu wote kwa gharika. Akapona Nuhu na watoto wake tu
 
Amewaaahidi wanaume wakiislamu wanawake mabikra 72 huko peponi, amewaambia waislamu waoe wanawake angalau wanne, wafalme wa zamani Mungu aliwapenda na kuwainua wale wenye wanawake wengi kama mfalme Daud, mfalme solomon na wengi tu......
 
Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso.

Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia.

Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo, including vitabu ambavyo wakristo wengi hawasemi (apocrypha: Mfano: vitabu vya Enoch, na Injili ya Thomas) shetani ameua watu 10 tu!!! Watoto wa Ayubu... Basi.

Kwa kuangalia vitabu canonical tu (Vitabu 66 vinavyosomwa na madhehebu yote) Mungu ameua watu 2,476,633 ambao wametajwa kwamba wameuliwa na mungu au wameuliwa kwa amri ya mungu. Na hii haihesabu watu waliokufa kwenye gharika, au mauaji ambayo idadi haikutajwa.

Israel wanafanya exactly walichoambiwa wafanye kwenye biblia. Kuua watu wote wasio Waisraeli wanaojaribu kuishi eneo la Levant (Caanan).

So, kama unataka kujua mungu wa biblia ni mungu gani, angalia wanachofanya sasa hivi Israel. Huyo ndio mungu wa Biblia. Mungu wa kifo na sio uzima. Mungu wa vita na sio amani.

ASILI KWANZA!
Takbiiir
 
Unataka ukweli gani we ndondocha, endelea kununua mafuta ya upako na udongo wa Mwamposa, mimi naamini mambo ya natural science na laws of universe, karibu Buddhism world.
Kwani wanitukania nn..je uliona natumia hayo mafuta.
Mbona unasema uwongo.
Kwani ukiwa mhindi ni matusi Acha kukataa asili yako.
 
Na lazima ataua hadi wewe hapo ulipo. Ombea Yesu arudi kabla ya siku zako hapa duniani kuisha, kama unataka asikuue. Vinginevyo hata wewe hapo ulipo lazima atakula kichwa na hilo ndiyo jambo jema sana kwake
Mungu ana standards zake tofauti na za kwako. Kama unaishi huku ukiwa na hofu ya kifo, acha kumkashifu Mungu
Siku zote mnaulizwa swali hamlijibu mnakwepa tu. Mungu ni nini? Yuko wapi? Anajishughulisha na nini? Lawama anazotupiwa anachukuliaje? Kama yupo kwa nini akubali lawama, kama hayupo kwa nini watu wamlaumu? Mi binafsi nahitaji majibu
 
Back
Top Bottom