Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

Oya utalaaniwa🤔
 
Acha porojo wewe. Kasome kitabu cha Joshua uone balaa lililofanyika
 
Siku zote mnaulizwa swali hamlijibu mnakwepa tu. Mungu ni nini? Yuko wapi? Anajishughulisha na nini? Lawama anazotupiwa anachukuliaje? Kama yupo kwa nini akubali lawama, kama hayupo kwa nini watu wamlaumu? Mi binafsi nahitaji majibu
Hakuna majibu hapo utakayopewa zaidi ya ngonjera.
 
Siku zote mnaulizwa swali hamlijibu mnakwepa tu. Mungu ni nini? Yuko wapi? Anajishughulisha na nini? Lawama anazotupiwa anachukuliaje? Kama yupo kwa nini akubali lawama, kama hayupo kwa nini watu wamlaumu? Mi binafsi nahitaji majibu
Kama wanakwepa kukujibu, chukua msimamo wa kile unachokijua kuhusu Mungu na acha kukaa unaendelea kudodosa dodosa mambo ambayo watu walishashindwa kukujibu. Chukua kile unachokijua na acha HOFU, kuwa na msimamo kwa sababu kawaida mtu mwenye akili timamu huwa ana msimamo usioambatana na hofu
 
Nimeuliza pia kwa niaba ya wajinga wenzangu. Unajua maboya kuhusu hili tupo wengi? Tukielimishwa angalau na si tujipange minauli ya kwenda kuliangalia hilo pepo wanalolisemaga
 
Sijui mengi kuhusu bibilia ila unampa support shetani au vp ???
Hawa wazee wa ndagu,wachawi ,kafara ,wezi ,walio na unnatural depression wanaokufa kwa hizo takwimu zako.
Marekani wanatoa research za covid , tech etc , mbongo wetu anatutolea takwimu kuwa shetani sio muuaji .
Nchi ngumu sana hii
 
Siku zote mnaulizwa swali hamlijibu mnakwepa tu. Mungu ni nini? Yuko wapi? Anajishughulisha na nini? Lawama anazotupiwa anachukuliaje? Kama yupo kwa nini akubali lawama, kama hayupo kwa nini watu wamlaumu? Mi binafsi nahitaji majibu
Hamna haja ya kukujibu atheist .
Ipo hivi ww ishi ukiwa haumtambui Mungu muumba wako uwe muislam au mkristo ,kula bata , tafuta mali n.k
Ukifa tu usijali nakuhakikishia majibu utayapata tu . Cha msingi kwa sasa kama unaweza endelea na kumkebehi tu ,na naomba akupe muda mrefu wa kuishi ukiwa bila maradhi wala chochote .
Majibu uyapate mbele kwa kuwa as the sun surely rises mtapatana tu
 
Mungu hayupo.

Shetani Hayupo.

Wote hawa ni Fiction characters Invented by religion.
 
Jibu swali,kuonana nae shida ni nini? Huenda tunapishana pasipo kujua. Au akawa hakai mbali nauli ya kwenda kwake nkawa nayo. Ila nyie watu siwaelewi kabisaaa. Si umeambiwa maombi hajibu? Ukimuita anakaa kimya? Sasa huyo Mungu mwenye kiburi,wa nini?
 
Sa ata wewe ungekua Mungu ungewaacha Sodoma na Gomora Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…