Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

Ilikuwaje tena Taifa teule la Mungu likamuua mwana wa Mungu?! Haya mambo mi mwenzenu sielewi!
 
Kw jinsi ulivoelezea ni kama vile binadamu ni mfugo wa mungu, kama tufugavyo kuku nk. Kwamba mbuzi akiambiwa binadamu ndo mbaya wako atabisha! Binadamu wote tunatambua anaetula roho zetu kajibinafsishia! Na shetani akituambia tunaemuabidu ndo mbaya wetu, tunambishia! Utasikka shidwa kwa jina la muhamad! Khaa..!!!
 
Ilikuwaje tena Taifa teule la Mungu likamuua mwana wa Mungu?! Haya mambo mi mwenzenu sielewi!
Yohana (Joh) 10:17
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.

18: Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…